Naanza kwa kuuliza swali... Hivi ukiwa umekaa umejituliza ukamuona panya anakimbia kutoka sehemu nzuri kuelekea kwenye moto mkubwa unaowaka utafikiria nini? Jibu langu mie nitajibu baadae lakini...
Nafikiri ingekuwa busara kwa Kikwete kuagwa kama Karume, na pindi kama atashinda atakaribishwa tena kwa gwaride. Hasipofanya hivi na akashindwa kwenye uchaguzi, basi hana nafasi tena ya kuagwa kwa...
Nafikiri ingekuwa busara kwa Kikwete kuagwa kama Karume, na pindi akishinda atakaribishwa tena kwa gwaride. Hasipofanya hivi na akashindwa kama atashinda kwenye uchaguzi, basi hana nafasi tena ya...
Kwa wale wengi waliokuwa wakitarajia kuwa Lipumba amepoteza wakati wake na kwa wale ambao walikuwa wakiamini kura za maoni zilizokuwa zikirushwa kwenye vyombo vya habari ndizo zinazoashiria Raisi...
Tuendelee kujadili na kupanuana upeo wa mambo, ninajaribu kujiuliza kwamba iwapo data base ya makampuni ya simu(tigo,zain,voda n.k) itatumiwa na mafisadi wa kuchakachua kura kwa njia ya technohoma...
WanaJF,
Asasi ya vijana ya Tanzania Youth Vision Association-TYVA kupitia mradi wao wa Kijana na Kura Yako 2010 baada ya kutembelea mashuleni na vijiweni katika mikoa ya DSM, Pwani, Dodoma...
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza mabadiliko katika karatasi ya kupigia kura .
Wananchi watakaopiga kura watapaswa kuweka alama ya vema kulia kwa mgombea wa chama anachokusudia...
Watu wa Intellijensia, JF wazalendo mimi nawewe watufanyia kazi tupate majibu. Ikibidi huyu jamaa IGP aweke wazi hilo jambo ili tuweze kupata majibu yaliyo sahihi. Vinginevyo nchi tunaipeleka...
Wakuu leo asubuhi wakati nasikia mapitio ya magazeti RFA nimesikia kuwa NEC imabadilisha jinsi ya kupiga kura itakuwa kuweka Tick kwenye kibox kilichopo mbele ya mgombea Urais.
Sasa nikapata...
UNION presidential running mate under the ticket of CCM, Dr Gharib Bilal, has directed security organs to take stern legal measures against some members of CHADEMA who perpetrated political...
ZIKIWA zimesalia siku 13 kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu Oktoba 31, makundi ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), yanaonekana kukisumbua chama hicho kiasi cha wanachama kutishiwa kutimuliwa...
Jamani kwa hali ilipofikia sasa baada ya JK kukimbia mdahalo na kumwachia Kinana ambaye amezidi kukidhoofisha chama, mi naona ni heri Kinana na Makamba wakasepa na kumwacha JK akiendeleza kampeni...
Pengine maneno yangu yatakuwa ni uchochezi, lakini kwa maneno yao, waone wakina Charles Kimei Junior, a.ka. Mike Vuitton. Bonyeza Hiyo Linki Hapo chini...
Wanachadema, mbona hawaendi lindi na mtwara, nimeona ratiba hii, sijaona akirudia mtwara na lindi.
Mwaka huu hatutaki kudanganywa, AMKENI WATZ, CHANGES HAPPEN ON YOUR DECISION.
PRESIDENT Dr...
Kuna dhana iliyojengeka miongoni mwa viongozi wengi wa serikali na taasisi zake kwamba yeyote anayetofautiana na CCM au kuikosoa kwenye public basi ni MCHOCHEZI. Mifano ni mingi, lakini tishio la...
Baadaya ya mkoa ya pwani, morogoro, kilimanjaro, musoma, sumbawanga na mingine mingi kumzibitishia kuwa wanampa kura asilimia 90, sasa Dr Kikwete ana raha anapumzika kwa raha zake,
wakati huo...
Ndugu wana JF kwa kuwa matatizo ya nchi hii ni mengi kupindukia kwa hivi sasa kama vile mfumuko mkubwa wa bei, umaskini mkubwa kwa wananchi walio wengi, elimu duni,ufisadi,rushwa, katiba ya nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.