Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Jamani leo ni siku ya tatu sasa nimekuwa najaribu kutafuta website ya Chadema na habari kutoka mtandaoni zinazomhusu Mkombozi Slaa lakini link zote zinaonekana zina mshikeli, je zimefisadiwa? Au...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kwa kweli fahari yangu kuu ndani ya moyo wangu ni Tanzania na kamwe si kuiona Zanzibar iliogawika kati ya Zanzibar na Tanganyika najisikia fahari nisemapo nchi yangu Tanzania ambayo ina visiwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
.....HAIWEZEKANI kwa mazingira ya sasa mpaka haya yafanyike: TUME HURU YA UCHAGUZI KUKOMESHA MATUMIZI MABAYA YA FEDHA ZA WALIPA KODI MAREKEBISHO YA KATIBA KUPUNGUZA MADARAKA MAKUBWA YA RAIS ELIMU...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mchana uhu jk ataitingisha,utete kwa mkutano mmoja kabambe, wana ccm mpo?ccm oyeee!
0 Reactions
1 Replies
948 Views
Nawasilisha tu: ------------------------- Umaarufu wa Kikwete 'feki' | Gazeti la MwanaHalisi KILE kinachoitwa umaarufu wa Jakaya Kikwete, mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi Rizi na mama yake wa kambo wamekata tamaa kumkampenia JK?? Sijawasikia kwa muda mrefu sasa
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa mtu anayefuatilia kwa karibu kinyang'anyiro cha Uchaguzi wa mwaka huu ni wazi kwamba chama Twawala CCM(Chama cha Mafisadi au Majambazi) mwaka huu kimechezeshwa mchakamchaka kiasi kwamba...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Any comments? 1.Rais wa kwanza duniani kudanganywa vibaya mno na wasaidizi wake 2.Rais wa kwanza kuwa na...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Jakaya Kikwete, akipungia wananchi waliofika uwanja wa ndege wa Mbinga mkoani Ruvuma kumuaga mara baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni jimboni humo Oktoba...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Mashaka yangu yanatokana na matamshi yake ambayo hayaonyeshi kama ana wajibika kwa Wizara yake. Naona kama hayana ufahamu tunaoutegemea kutokana na kisomo chake. Kuna wakati nilimuona...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana Jamii inasemekana kwamba makamba wikendi hii amewasiri Mkoani Arusha kwa lengo la kukinusuru chama chao ambacho kiko katika hatua za mwisho kuondoka IKURU,Chanzo changu cha habari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Juzi kwenye mahafali ya shule moja ya sekondary Bagamoyo, Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi aliwahasa wananchi wachague viongozi wazuri na makini, wasije wakafanya makosa (Mwananchi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Haya mabango nayo ona kila sehemu 1.Jk na kikongwe="anajali wazee" VIPI WASTAAFU WA EAC? 2.Jk na watoto/pipi kwa mtoto="anajali watoto" vipi kuwakosesha elimu kwa gharama za juu vyuoni na mikopo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
tukisema watawala wetu ni vichwa maji wanasema tunawatukana na kuhatarisha amani ya nchi,hivi hili tamko la waziri marmo lina mwelekeo upi haswa?anasema nec ni taasisi huru na hawezi kusemea juu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
joto la kampeni za uchaguzi limezidi kupanda hapa dodoma baada ya malumbano ya hoja za kuchafuana kwenye kampeni za kuwania udiwani kata ya kizota baada ya joseph marandu wa chadema na juma bakari...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wandugu, Heshima Mbele, Lets discuss this, najua kwamba we have less than two weeks kabla ya kujua mbivu na mbichi, kuhusu safu za uongozi wa Taifa letu tukufu. Takwimu mbalimbali, za kisanii...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Slaa: Nitawalipa wazee wa EAC ndani ya siku 100 Edwin Mjwahuzi na Victor Kinambile, Nzega MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chadema, Dk Willibrod Slaa, ameahidi kuwalipa mafao yao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza juu ya wimbo huu. Ninawapatia hapa kwa hisani ya Phillip Mugendi. Unaweza kuupata katika sauti pekee yake ukiwa remastered by moi. BONYEZA HAPA while you...
0 Reactions
10 Replies
10K Views
1.Sasa kumekucha *2 Jogoo limewika Tanzaniaa! Oktoba 31,2010, Kada wa CCM anyimwe kura za Ndio *2 Yupo wapi? /Yule pale,yule pale Fisadi mwenzao,Fisadi wa CCM anyimwe kura za ndiyo*2...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Pamoja na mbinu zote za CCM na Tume ya uchaguzi ya Taifa za kuiba kura, kama wakala wa chama wa upigaji kura ni makini, mhadilifu, mwaminifu, hana tamaa, anaona mbali basi ushindi kwa wapinzani ni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom