Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Waafrika Tulikuwa Hivi ... (Credit Safari_ni_Safari, JF Jamii Photos) Je, Maprofesa wetu wanadanganya wanaposema Wazungu waliturudisha nyuma? Changia mada please.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Dr. Slaa awaahidi wastaafu wa iliyokuwa jumuiya ya Afrika Mashariki kulipwa ndani ya siku mia moja ya utawala wake mpya........... Hii dhuluma dhidi ya wastaafu hao ambao wameitumikia nchi hii...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tulikuwa kwenye ndege ya Precission nikiwa na rafiki yangu. Tukawa tumekaa jirani na waziri mmoja mwadilifu wa serikali ya JK. Tukaamua kuanzisha mazungumzo ya ufisadi na kumweleza waziri kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
naamini wazi katika majimbo ambayo upinzani unaota ndoto za mchana kuyanyakua ni pamoja na geita ambapo kuna roggers hapa geita mjini na tanganyika kule nyang'wale tukimuacha na yule wa busanda...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Na Maggid Mjengwa, MBIO za Urais zimeshika kasi. Media imekazana kuandika habari za JK na Slaa. Habari za CCM na CHADEMA. Kuna aliye kwenye mbio wanamsahau, kwa bahati mbaya au kwa...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Ameonekana Ntwara
0 Reactions
13 Replies
2K Views
nipo huku vijijin kutoa elimu ya uraia kwa wapiga kura,nimekutana na watu wa aina mbalimbali na khojiana nao juu ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu,moja ya maswali niliyowauliza ni kwamba:MNASADIKI...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
JK wakati akiwa Mtwara aliahidi kuwa Mtwara patakuwa kitovu kikubwa cha viwanda, ameahidi atajenga kiwanda kikubwa cha mbolea na cement chenye uwezo wa kutoa tani milioni 5 kila mwaka... Kaahidi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Watajwa hapo wapo katika mdahalo VOA swahili sasa.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
piga kura kuiondoa ccm na tuangamize malaria sugu, the more we vote the harder it is for c.c.m to chakachua the votes more voters less ccm
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nini maoni yako ,ikiwa Chadema itashindwa uchaguzi mkuu katika ngazi ya Uraisi ila imepata viti vingi vya ubunge ,uchaguzi ambao unaotarajiwa kufanyika mwisho wa mwezi huu ? :rip:
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau;kama dakika ishirini zilizopita nilikuwa napita maeneo ya mabibo nikakuta mkutano wa cuf ambapo ndugu mtatiro anahutubia pale na kilichonifanya nimpe dakika chache kwenye ratiba yangu ni...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Moja ya mambo yaliyokuwa yakiwaumiza vichwa wafuasi wa Barack Obama wakati wa kinyang'anyiro kati yake na Hillary Clinton kupata mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Democrats mwaka...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA Dr Willibrod Peter Slaa yupo leo Bukoba. Amekuwa na mkutano maeneo ya Kibengwe Bukoba vijijini na anategemea kuwa Kanyigo baadaye. Sasa hivi anategemewa muda...
0 Reactions
142 Replies
18K Views
Hii ndiyo selo ambayo mafisadi wakibadili matokeo halali ya uchaguzi wa Tanzania hapo 31 Oktoba 2010 watakapokuwa wakisubiri mashitaka ya kusababisha maafa. Mafisadi ni pamoja na wale wote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana cuf walikuwa na mkutano wao maeneo ya kigogo luanga kwa bit-kaenga, huwa mara zote wanatoa upupu kwenye vichwa vya watu kuhusu ccm, wanaichachafya sana ccm....sasa jana nilicheka kwa hiki...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wazee wa afrika mashariki wako mahakamani High Court wametinga kukumbushia tena kilio chao cha mafao. FFU nao wamewahi kuwalinda wakubwa wao. walio karibu watufahamishe nini kinaendelea UPDATE...
0 Reactions
89 Replies
14K Views
Dalili kubwa zinaonyesha ushindi mkubwa wa zaidi ya ule wa kura za maoni za mwanahalisi, kwani kila siku watu wenye roho za kutafuta maslahi zaidi wamekuwa wakijisogeza taratibu kwenye chama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Guinea poll chief guilty of fraud Head of electoral commission sentenced to one year in prison for electoral fraud, ten days ahead of presidential vote. In June, more than three million...
0 Reactions
3 Replies
827 Views
Back
Top Bottom