Wakati Bw. Edward Lowasa akiwa Waziri Mkuu aliwahi kuulizwa swali na mwanafunzi wa shule ya msingi huko Mwanza vijijini na hakulijibu bali aliomba muda zaidi wa kulifanyia kazi. Bw. Lowasa baada...
Ole wenu wazee wa CCM.
Ole wenu Mmemchunia Jamaa ana-fight peke yake na Mkewe na Wanawe,
Ole wenu akishinda Kiti cha Enzi.
Ole wenu na yeye atakavyowachunia kwa staili ya "Si Mlinichunia? Sasa...
MAKAMO Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi CUF Bw. Machano Khamis Ali, amesema kuwa ameshangazwa na kauli ya Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya ya Mrisho Kikwete ya...
Kikwete kuanza kuzungumzia maneno ya uchochezi ya kumwaga damu siku moja baada ya kusambazwa inaashiria kitu gani? Lini kafanya uchunguzi na kujiridhisha kuwa si maneno ya kubuni. Je tukisema...
Jamani hivi hawa wanaongea nini hasa...! mimi binafsi sijawaelewa...Kama watanzania watachagua chama hiki basi Tanzania tuna tatizo kubwa kuliko ninavyofikiri....!
Watoto wa halaiki walio kuwepo jana katika uwanja wa Tanganyika tar.14/10/2010 wakati wa kuzima mwenge wameandamana kwenda ofisi ya mkuu wa Mkoa Kigoma wakiimba "Tunataka haki zetu" Wanadai pesa...
<p>Naomba kikwete ujibu swali linaloulizwa na mwanafunzi ktk tangazo la polisi forum, mwanafunzi anamuuliza mwalimu baada ya uhodari wa mwalimu wa kutaka kuonyesha jinsi nchi yetu Tanzania...
Mgombea urais wa Chadema dr Wilbroad Slaa amepokewa na umati mkubwa sana wa wananchi wa Urambo leo hii, kampeni imekwenda vizuri sana, watu wamehamasika sana, hakuna aliyebebwa kwenye malori...
Hali ya JK na CCM kisiasa kwa ujumla wake si nzuri na dalili zote zinaonyesha anguko kuu la CCM, silaha ya mwisho atakayotumia JK na CCM ni ya kuhahirisha Uchaguzi mpaka mwakani, miongoni mwa...
Historia ya familia yetu: Baba na Mama > 65 Years
Last Born: 30 years
Dini: Mixture of Christian and Moslem
Makabila: Mchanganyiko wa Makabila mawili. In fact manne kama ukienda generation...
Houston mnachekesha sana!
Kisa gani cha kuanzisha tawi lenu then mliite tawi la CCM Marekani? Kuna 50 states hapa US na kila state ina sheria zake, watu wake wenye tabia tofauti na mambo yake...
jamani hii habari sijaielewa huyu anasema kweli au just ndio fitna zenyewe?
iweje donge wakatae kufanyika mikutano ya siasa hule kwao?
source Michuzi
ZENGWE LA KAMPENI JIMBO LA DONGE...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) in Mpanda District, Katavi Region, has suspended indefinitely five of its members from the party for allegedly campaigning for an opposition aspirant.
The suspended...
Send to a friend Friday, 15 October 2010 07:40 0diggsdigg
Patricia Kimelemeta, Kigoma
MGOMBEA urais kwa tiketi ya NCCR-Mageuzi, Hashimu Rungwe jana alipata wakati mgumu baada ya wananchi wa...
Jamani wana JF. Leo majira ya asubuhi nimeona kitu cha ajabu.
CCM wamethubutu kutundika bendera za chama chao kwenye yadi ya makaburi ya wafu pale maeneo ya Buguruni.
What is the meaning of this?
Wizi na uwongo, ni ujanja nilorithi kutoka kwa mama yangu mimi, vyote mkagundua, mkaona silingani kabisa kuwaongoza.
Na kama haitoshi, mkakata kabisa na shina la mabango yangu mimi, eti kisa...
UCHAGUZI WA MWAKA 2005 WACHUNGAJI WALIMWITA JK KAMA NI CHAGUO LA MUNGU MWAKA HUU INAONEKANA WACHUNGAJI WAMETOFAUTIANA KAMA VILE KURA ZA MAONI ZINAVYOTOFAUTIANA HABARI ZAIDI GONGA HAPA: HabariLeo |...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.