Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kwa kiasi kikubwa tumekengeuka kimtazamo na kutekwa na masham-sham ya kampeni. Tunatumia msuli mwingi kujadili vitu na watu badala ya masuala (issues). Sehemu kubwa ya mijadala yetu ya leo ni ile...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Well, wale wanobeza nguvu ya Chadema, kwa kutumia misemo ile ya zamani kuwa wapinzani hawakubaliki Vijijini hizi harakati za Zitto Kabwe zinawasuta. Zitto na Demokrasia Wanaopenda kusema...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Wahehe wana msemo; Isenga imbofu na isenga indenyeefu. Kwamba ng'ombe kipofu ni sawa tu na ng'ombe aliyevunjika mguu, wote watakufa njaa. Ng'ombe kipofu hawezi kuyaona...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Jamani, nashauri tuanze kupiga kampeni kwa njia zote. Siku ni chache, kila mtu pale alipo awajibike. Message kutoka Finland ziliwafikia watu wengi. Tusipuuze madhara yake, nashauri tufanya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Rais Robert Mugabe na Bw Morgan Tsvangirai Waziri Mkuu Morgan Tsvangirai amewaandikia viongozi duniani akisema mabalozi wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna habari zimenifikia hivi punde kuwa wakati wa kikao cha kamati kuu ya CCM, taarifa za siri za Usalama wa taifa zilisema kuwa JK hata afanye nini hawezi kushinfa kwa sababu tafiti zote...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Martin Luther King Jr aliyasema haya...bahati mbaya hakuwahi kuiona ndoto yake akiwa hai...naamini aliiona huko aliko. Nami nathubutu kusema ninayo njozi... Ya kuiona Tanzania mpya amabayo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mikoa ya kusini ilikuwa ni karata yake ya mwisho ya Mh Slaa katika kujigamba kuwa REDET NA SYNOVATE walipiga mahesabu vibaya. Lakini Rais mtarajiwa baada ya 31.10, JK ALIPOINGIA Songea hata...
0 Reactions
60 Replies
6K Views
Tuhuma zinazodaiwa kumkabili mgombea ubunge wa CCM, Sumbawanga mjini, Bw. Aeshi Khalfan Hilaly zinadaiwa kutua mezani kwa Katibu mkuu Yusufu Makamba,zikiwemo picha za mtu anayedaiwa kutekwa na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Tetesi nilizopata ni kwamba Manji ndiye yuko behind mgombea udiwani wa Kata ya Kivukoni, Didas masaburi katika azma nzima ya kuukwaa umeya wa Jiji, iwapo atafanikiwa kushinda udiwani. Habari...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kampeni zilipoanza tu thamani ya TShs ilianza kuporomoka dhidi ya USD na Euro haijarudi tena.Hii inaashiria nini?Governor yupo kwenye kampeni au ni nini?Ameshinda kuishauri serikali?Kuagiza vitu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Pichani ni marais wastaafu wakionekana wame 'relax' wakati wakishiriki kwenye 'Pre wedding celebration' ya mtoto wa Adadi. Tukio limejiri katika siku hizi za mwisho mwisho wakati wana CCM wakiwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
The Security Council will include countries that have been fighting to revamp the UN's most powerful body India, South Africa, Germany, Colombia and Portugal win seats on the United Nations'...
0 Reactions
0 Replies
904 Views
Kama ilivyokua mwezi wa kwanza 2005, natabiri haya yafuatayo kama SISIMU itashinda mwaka huu. 1. Vitu vingi vitapanda bei kwa kasi sana kama ilivyokua 2005 baada tu ya Kikwete kushinda...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Leo jioni, katika hali inayodhihirisha kuporomoka kwa maadili ya uandishi wa khabari ITV katika taarifa ya habari yao saa mbili usiku walitumia picha za kampeni za JK za Songea ambako alifunika...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
CCM imezidi kujidhihirisha zaidi kama chama kinachoongoza kwa kufuata siasa za Umafia. Mfululizo wa viroja vya CCM vya hivi karibuni vinatoa picha ya wazi bila kubakiza shaka yoyote. Baada ya...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Mada kuu zitakuwa,pan africanism,jumuya ya afrika mashariki,vijana na mustakabali wa taifa letu,njoo ushiriki kumuenzi mwasisi wetu
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Unashangaa nini matokeo kupinduliwa? Mosi, Chama chenyewe ni cha MAPINDUZI, kwa hiyo kupindua matokeo si jambo la ajabu. Pili, Viongozi wake wote wa juu ni Wanajeshi Mwenyekiti: Luteni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimeipitia kwa makini Ilani ya Uchaguzi ya CCM lakini nimeona ipo bubu juu ya misamaha ya kodi. Yaelekea hiyo ni sera ya kimyakimya ya CCM ambayo hawataki wapigakura waifahamu. Hili ni kukosa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom