Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Jambo JF Members Leo hii nilifanikiwa kukutana na Mzee mmoja wa CHADEMA huku Moshi tukwa na mazzungumzo ya hapa na pale. Mojawapo ya mambo tuliyoongea ni kuhusu Mama Anna Kilango. Alidokeza tu...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Na tuweni wakweli? Katika wagombea URAIS bila kuangalia chama..ukiambiwa pigia kura "UADILIFU, HAKI na UZALENDO nani anastahili? Jibu lako nani apewe uongozi wa nchi? Mtanzania yeyote Mzalendo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna wakati ilisemakana kuwa JK ni mpenda michezo na akatuletea mpaka kocha toka Brazil. Sasa mbona maendeleo ya michezo kipindi chake hatujayaona. Angalia medal table, jirani zetu wote wana...
0 Reactions
3 Replies
981 Views
jumamosi tarehe 09 oktoba 2010 rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania na ambaye pia ndiye mgombea urais wa ccm mhe jakaya kikwete alikuwa mgeni rasmi katika mechi a mpira wa miguu kati ya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hivi karibuni vyombo vya habari vimekuwa vikiripoti kuhusu matokeo ya maoni ya wananchi kuhusu uchaguzi wa October 2010. Matokeo ya utafiti yaliyotolewa na REDEt na Synovate yalimpa ushindi mkubwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tarehe 12 Oktoba 2010. Saa tano asubuhi. Niko kwenye taxi na babu ninayefanya naye kazi ofisi moja. Babu amekaa kiti cha mbele. Mtaa wa Lumumba. Tunaelekea zetu Upanga. Kulia kwetu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu mfanyakazi, Baada ya taasisi mbalimbali kutoa matokeo yake, ni nafasi ya wafanyakazi na sisi kushiriki katika utafiti huu ambao ni jukwaa la wafanyakazi kutoa maoni yao Tafadhali...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kawaangalie wenye uongozi madhubuti wanavyo waokoa wenzao kwenye mgodi, si nyie mnao ahidi kununua meli iliyozama tangu 1977. mlipokuwa madarakani mbona hamkununua?, mnapoona mambo yanawaendea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa maoni yangu nafikiri ni vyema viongozi wetu wakuu km raisi na waziri mkuu, wakistaafu wapewe stahili zao ambazo ni sawa kama watumishi wengine wa umma. Taifa lisienndelee kubeba mizigo ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani naomba kuuliza, hivi kampeni za mama Salma na Ridhiwani za kumsaidia mzee kurudi mjengoni bado zipo?? Nimejaribu kufuatilia lakini toka Riz1 apewe uchief basi tena sijamsikia kwenye news...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Redet, Synovate watetea tafiti zao Tuesday, 12 October 2010 19:41 Fidelis Butahe BAADA ya watu wa kada mbalimbali kuponda tafiti zilizofanywa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna tunayoshabihiana na kutofautiana kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Watu wa Korea (Korea Kaskazini). Hebu yataje machache unayofahamu............
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jana jioni nilibahatika kukutana na Rafiki yangu wa karibu ambaye ni kada wa siku nyingi wa CCM na pia ni askari jeshi mstaafu aliyepigana vita vya kagera akiwa Brigedi ya Mayunga a.k.a mti mkavu...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Leo(23/09/2010) katika taarifa ya habari ya saa 2 kamili wamezidi kuonesha kupendelea upande mmoja kwa kuonesha taarifa za CCM NA CCMB(CUF) kwa kina Reporter we CCM wanareport na sera za chama...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Nimeona asiondoke hivi hivi Certificate
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Chochote kufanyika, wapi? Mwenye taarifa tafadhali taarifu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimepata tetesi kwamba kuna majimbo ya uchaguzi nchini ambayo kwa awamu mbali mbali toka uhuru hayana historia ya kupitisha wagombea kwa zaidi ya awamu moja, yeyote mwenye takwimu ama historia ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika hali isiyo ya kawaida, Meneja wa kampeni za JK abdulraman Kinana sasa imethibitika ya kuwa ni mzigo mzito katika kampeni ya kuokoa JK kufutwa kazi na waajiri wake ambao ni wapigakura:-...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Greetings! As elections approach, the campaign trail gets even more interesting. Thanks to JamiiForums, the online experience have been thought-provoking. While others resort to smear campaign...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom