Zikiwa zimebaki siku kama 20 kabla ya uchaguzi mkuu, napendekeza vyama vya upinzani kugawana majimbo kama ifuatavyo: Ubungo (CHADEMA); Ilala (NCCR); Temeke (CUF); Kawe (NCCR); Kinondoni (CHADEMA)...
Nimejaribu kumfuatilia MS na nimegundua kuwa ni mpenzi sana wa Dr. Slaa may be posho anayopata upande wa pili ndiyo inamfanya asitoe msimamo wake hadharani. Ukiangalia kwa undani thread zake...
Siku zote nilikuwa nikijiuliza, hivi hawa wenye makampuni ya simu wanapata vipi faida kwa mtindo wa shilingi moja kwa sekunde katika kipindi hiki ambapo karibu kila mtu ana simu (mijini) na cha...
jamani nimependa hii video ya Policy Forum
http://www.youtube.com/watch?v=A3fJTCd9PWY
Policy Forum has released television and radio spot to promote transparency and citizen engagement in the...
Na Gerald Meshack
MJADALA mkubwa kwa Watanzania kwa sasa bila kujali itikadi, dini, kabila ama jinsia, ni Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 31.
Ni siku muhimu na yenye...
Hussein Issa na Salome Kuga
TAMKO la mnadhimu mkuu wa Jeshi la Wananchi (JWTZ), Luteni Jenerali Abdulrahman Shimbo bado linakosolewa baada ya waangalizi wa uchaguzi mkuu kutoka Jumuiya ya Umoja...
Kuna taarifa kuwa samani zitakazotumika siku ya kuapishwa rais wa awamu ya tano zimekamilika na zimetengenezwa na jeshi la Magereza.SAmani hizi ni viti watakavyokalia HIGH TABLE ambavyo...
Jana nilibahatika kusikiza kwa kiasi fulani taarifa ya habari ya saa bili usiku kupitia TBC1. Nilianza na taarifa iliyokuwa ikimgusa Prof. Lipumba. Ilianza kwa mtangazaji wa TBC1...
Wazee wamepigiwa magoti ili warudi kuokoa meli ambayo imetoboka shimo kubwa na maji yanajaa kwakasi sana meri yenyewe haina hata maboya, ndio maana baadhi yao wanasema watasaidia lakini huku...
Wadau, hili limekuwa linanitatiza sana kuhusu JK, mgombea urais ambaye kutokana na fedha kufuru ya fedha zinazotumika ni dhahiri si fedha zinazochangwa na wananchi masikini, bali mafisadi...
UNAWEZA UKASEMA NINA MAWAZO MGANDO LAKINI HII NCHI NI YA CCM! WAMETAWALA KILA KITU KUANZIA MEDIA,WASANII WETU MASKINI,WAKULIMA WETU MASKINI NA WW UNAESOMA HII MESAGE, ANGALIA KAMPENI ZA CCM...
Katika hali inayoonyesha CCM kuzidiwa nguvu kulitetea jimbo la Bukombe linalowaniwa na mbunge anayemaliza muda wa Mm.Emma Luhahula anaonekana kuzidiwa nguvu na mgombea wa CHADEMA Prof.Kulikoyela...
Ndugu Zangu wanaJF uchaguzi mkuu unapofanyika katika nchi nyingi hapa duniani, mada kuu ambazo hutawala mijadla ni masuala ya uchumi. Cha kushangaza hapa kwetu badala ya suala la uchumi kupatiwa...
Huyu bwana anafanya kampen kesho mjini Mtwara...Tutegemee tena Meli kubwa mpya na ya kisasa,mzee wa ahadi!,nitashangaa sana akiacha kutoa hii ahadi. STAY TUNED, Naisubiri hiyo kesho...
Sasa nidhahiri kabisa CCM imeishiwa cha kuwaeleza wapiga kura ili kuwashawishi badala yake Kikwete ameanza kurukia kuhubiri matumizi ya udini,ktk kampeni
Tukumbuke kabla ya hili alivituhumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.