Waheshimiwa nisaidie kitendawili hiki:
Tangazo la kazi limetolewa. Sifa za nafasi hiyo ninazo. Barua ya maombi na CV nimeandaa na kuomba kazi hiyo. Sasa wameniita kwenda kwenye interview pamoja...
Wadau: hii ni sehemu ya stori kuu katika Tanzania Daima ya leo. Nilipohighlight in red yaonyesha kwamba Tanroads katika uchaguzi huu ndiyo 'EPA' nyingine ya mchoto kwa ajili ya kampeni za CCM...
Leo nilipakia kidaladala, baada ya muda nilisikia driver akizungumza na mwenzake ndanii ya gari kuwa leo nilimtumrudishia tajiri yangu funguo za gari kwa sababu alifngia bendera ya ccm kwenye gari...
Conclusion
The findings of Uwezos large scale assessment involving over 20,000 households and over 40,000 children reveal that there is a crisis in education in Tanzania. By the time they enter...
Nimengalia kwa makini na kutafakari sana kisha nikaona kuwa kuna watu wanadhani kuwa watanzania wote ni wajinga kwa kiwango wanachotufikiria wao. Sasa hivi mama Salma Kikwete ana ziara Tanzania...
Ndugu wanaJF:
Uchaguzi wa mwaka kuna mapungufu makubwa kwa upande wa CCM -- kukosekana kwa mpiga debe wao mkubwa aliyekuwa BBC London Tido Mhando ambaye katika chaguzi za huko nyuma alikuwa...
Saturday, October 9, 2010
Wagombea wa CHADEMA Tanzania Bara na Visiwani
CHADEMA-CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO
NO. CONSTITUENCY CANDIDATES
KILIMANJARO
1 Moshi Mjini. Philemon...
VYAMA vya CUF na CHADEMA, wilayani Pangani, mkoa wa Tanga, vimemlalamikia Mkuu wa Wilaya hiyo, Zipora Pangani, kwa kitendo chake cha kushusha bendera ya vyama vyao bila sababu za msingi...
Nimekuwa nikizitafakari mbinu za kusaka madaraka za Bwana JK.
Zimejaa ubabe wa kutaka kulazimisha mambo kwa gharama yoyote, ili mradi yeye awe salama, wengine waumie.
Aliingia kwa nguvu ya...
Katika hali isiyo ya kawaida, Jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania limeamua kuingilia kati mastakabali wa amani ya nchi kwa madai kwamba amani imetishiwa kuvunjika na damu kumwagika.
Ni jambo...
Wakuu jana Godbless Lema alishikiliwa kwa muda na polisi baada ya kushtakiwa kwa kosa la kujipatia fedha isivyo halali.Inadawa Bwana Lema alimkopesha fedha [kiasi hakijulikani] Bi Maimuna Rashid...
Naibu katibu mkuu wa Chadema anaendelea kuhojiwa sasa hivi ktk televisheni ya ITV. Kwa jinsi anavyofafanua ilani ya Chadema na changamoto zinazoikabili taifa letu, na namna gani wao wakipewa...
Leo nilivyoamka tu nikawasha simu yangu, na mara moja nikapokea message 2 kama ifuatavyo:
''Slaa ni mropokaji na mgomvi anayelumbana na vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi.Anataka damu...
baba wa taifa alikuwa hakika mzalendo asiye na mfano,aliweka maslahi ya umma kwanza na kutufanya watz kujiona kama watoton wa baba na mama mmoja na chochote ndani ya tz ni chetu wote,ila sasa...
Leo J'mosi 9/10/2010 nimefanya ka utafiti kadogo kuhusu upatikanaji wa magazeti yenye habari nzuri ya wiki nzima ya lugha ya Kiswahili (RaiaMwema na MwanaHalisi). Nimezunguka Mwenge, Magomeni...
Tumesikia jinsi dr slaa alivyozimiwa umeme kule mbeya na rukwa,sasa leo ni zamu ya lipumba hapo geita,alipoingia tu asubui kufikia saa 5 umeme ukakatwa na wakazi wa geita leo watalala giza maana...
Hivi kwa nini mikutano mingi ya kampeni za hawa wagombea wa CCM zimekuwa zikitumia muda mwingi sana kupiga ngoma na kuwaimbisha nyimbo wananchi badala ya kutumia muda huo kuwaeleza wananchi sera...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.