Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
kweli nimeamini HATAMU IKISHIKWA PUNDA SHARTI LAZIMA AENDE ,,,,WANANCHI wenzangu mnadanganyi kwa maneno ivi hamji kuwa hao mnaowapigania ni mafisadi zaidi jinsi mnavyofikiri ki ukweli CHADEMA si...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mtanzania yeyote Mzalendo wa kweli, mwenye akili timamu, asiye na mtindio wa ubongo, wala mtumwa wa hila chafu, wala udumavu wa kiakili, tena asiye na utando wa buibui wala tongotongo za ufisadi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mengi yamesemwa wakati huu wa kampeni.Mengi yatasemwa wakati uliobakia kabla ya Oktoba 31..siku ya kupiga kura. Kila jitihada zimefanyika kwa ajili ya kushawishi wapiga kura wakatae...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kinana amesema REDET kusema JK anaporomoka katika maoni ya wananchi ni 'fair' lakini ni sio 100% correct. Huyu jamaa simuelewi kabisa kwani anakubali na kukataa wakati huo huo, hivi ana uwezo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Dalili za laana ya Tanzania. Laana inayosababishwa na kushindwa kuitumia fursa ya kupiga kura, kuikomboa nchi: Dalili ya Kwanza, tuna rasilimali nyingi za utajiri katika dunia hii, mfano madini ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SOURCE:By Said Hamdan; GUARDIAN ON SUNDAY Lindi Urban CCM parliamentary candidate Mohamed Abdul Azizi who is also Iringa Regional Commissionerand his campaign manager Khalfani Mandanje, used...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Source: Habari TBC1 Mgombea ubungwe kwa tiketi ya Chadema amefikishwa kwa tuhuma za kutishia kuua. Msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo ndio amefungua kesi hiyo akimtuhumu Lema kumtishia kumuua...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Kuna tetesi kuwa Dr. Slaa atamaliza kampeni zake kwa Sugu (Mbeya Mjini). Yuko sahihi. Lakini chondechonde Dokta. Usiache kwenda jimbo la Songwe. Watu wa jimbo la Songwe nadhani wamerogwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Malumbano yanayoendelea baada ya utafiti wa reDIRT yamebase katika sample wengine wakisema ilikuwa bias na wengine ilikuwa haitoshi. Sample ya 2600 inatosha sana kwa watafiti wazoefu kama Dk Bana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni kama mara mbili JK amekuwa akisema kwenye kampeni zake kuwa vyama vya upinzani ni 'photocopy' na CCM ndio 'original'. Hivyo wadanganyika wachague 'original'. Hivi kati ya 'original' na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu zangu naomba kujua huyu mwenyekiti wa kampeni wa CCM amepotelea wapi? Nauliza hivi kwa sababu nilizoea kumsikia akijibu kila hoja inayotolewa na dokta(wa kusomea).Mara ya mwisho alionyesha...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kimfaacho JK ni asasi za hisani, si urais! Mwandishi Wetu Oktoba 6, 2010 KATIKA miezi ile ya mwanzo baada ya kuingia Ikulu, Rais Jakaya Kikwete aliwashangaza wengi alipoitangazia dunia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Napenda kutoa taarifa kuwa Raisi Jakaya Mrisho Kikwete hadi leo amevunja rekodi ya kuweza kukaa Tanzania bila kutoka nje kwa zaidi ya miezi miwili na nusu. Hii ni rekodi ya ajabu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakati wa uchagazi mkuu unakaribia, kuna wananchi wengi ambao wameokana kutojua muelekeo wa nchi. Lakini kuna hope moja, SHARIA LAW. Wananchi wa Tanzania, huu ndiyo wakati wa kupigia kura chama...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
• Ashangaa watu kuteseka miaka 50 baada ya uhuru Na Janet Josiah, Nkasi MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, juzi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimeliona shairi hili katika FOSI (Friends of Slaa) ni kaona niwashirikishe. Mchagueni Slaa, tuiponye Tanzania Nimelala nimekesha, jambo nimefikira Bongo nimezichemsha, sipati jibu sawia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Chadema na CCM wachapana Rukwa Na Muhibu Said 8th October 2010 Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 31, mwaka huu zinazoendelea nchini kote, jana ziliingia katika sura mpya, baada ya wafuasi wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
08 October 2010 Hussein Issa na Beatrice John TUME ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) imepania kuweka rekodi baada ya kueleza kuwa itatangaza matokeo yote ya uchaguzi mkuu siku moja baada ya kupiga...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Fredy Azzah na Jackline Laizer IKIWA zimebaki siku 23 kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu, waangalizi 92 kutoka nje, wakiwemo 68 kutoka Umoja wa Ulaya (EU), wameanza kuwasili nchini. Kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Maalim Seif Sharif Maalim Seif atumia mbinu mpya kuwa karibu na vijana kwa kuzindua tovuti yake. Je mara hii ataukwaa Uraisi? vision ya CUF "Our dream for Zanzibar is of an open...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom