Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
CCM inapata wakati mgumu sana katika jimbo la Mbulu, Wananchi kutoka vijiji mbalimbali hawataki kumwona Mgombea wa CCM Marmo, anazomewa sana sehemu mbalimbali mfano maeneo ya Haydom siku...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sio lelemama, ni lazima uwe umekamilika katika nyanja zote. Ninaelewa kuwa kila mmoja wa watanzania takriban 40 mil, angependa kuwa raisi wa Tanzania...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Huku akionekana mwenye furaha tofauti na wakati alipokuwa analalamikia Chadema walipodai SYNOVATE wameficha matokeo, Abdulrahaman Kinana ameikosoa REDET kwa kile alichokiita ni kutumia mtindo wa...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Mods nadhani sijavunja mashariti ila naquote tu, nsije nkafungiwa katika kipindi hiki muhimu cha kuchangia. Kuna bwana anachangia sana hasa katika jukwaa hili la uchaguzi 2010 lakini hajui siku...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
By Jerry Okungu Nairobi, Kenya October 7, 2010 Why is our media obsessed with the usual sideshows even at moments when we should focus on the bigger pictures of our society? How come there...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
kila ofisi ya kata ina daftari la watu wanaotarajiwa kupiga kura,fanya yafuatayo,nenda na ufahamu idadi ya watu waliojiandikisha na weka kumbukumbu ili mwisho wa siku tuibane nec na uchakachuaji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zilizonifikia hivi punde zinalonga ya kuwa wataalamu ndani ya Chadema wanaendelea kukusanya takwimu za mali ambazo CCM imelipora taifa hili masikini na chama hicho kongwe kuutumia mali...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Unachotakiwa kufanya kwenye post hii yenye motto " 31 OKTOBA TUNAMPELEKA IKULU DR. SLAA". just gonga "thanks Button"!
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifuatilia kwa makini taarifa za habari zinazotolewa na vyombo vyetu vya habari has kipindi hiki cha kampeni,televisheni,radio na magazeti.Pia Nimekuwa msomaji mzuri wa magazeti ya kila...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UTANGULIZI: Kwa muda mrefu nimeulizwa na baadhi ya Wananchi wa Wilaya yetu ya Ngara ni kwa nini sigombei ubunge wa Wilaya hii. Kila...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Habari niliyopata kama nusu saa iliyopita ni kuwa ccm imeandaa pesa za kujikimu kwa wanafunzi wote ambao ni wanachama wa chama hicho waende kupiga kura katika vituo vyao" naona ni ufisadi mkubwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
WAKATI TAARIFA YA IMF INASEMA KUWA UCHUMI UMEKUWA KWA 2.7% JK ANASEMA UMEKUWA KWA 5.5% SASA NANI MKWELI??? SOMA REPOTI YA IMF.. CHINI... Katika mkutano wa leo kati ya Bw. Olivier Blanchard...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mtu makini a. Jk b. Slaa c.lipumba chama makini a. Ccm b. Cuf c. Chadema ndivyo vitakavyo sukuma tanzania yetu kufikia mafanikio tufanye maamuzi sahihi 31 october jk. Kiwkete ndio jibu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Subject: YAH: MWALIKO WA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI KESHO IJUMAA-08.10.2010 Habari za leo ndugu zangu, Napenda kuwaalika katika mkutano na Waandishi wa habari kukutana na Mwenyekiti wa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Waziri wa Mambo ya Kigeni, Bernard Membe hasemi ukweli hata kidogo alipojigamba ya kuwa serikali ya CCM itahakikisha uchaguzi huu unakuwa huru na haki. Kauli hii aliitoa kwenye mkutano wa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wanajamii tufanye nini ili tuweze kupata taarifa za kila siku toka majimbo mbalimbali za uchaguzi. Nakaribisha mapendekezo mbalimbali ili hili lifanikiwe. Karibuni sana.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za uhakika tulizozipata masaa machache yaliyopita ni kwamba JK ameingia mkataba na nchi moja kubwa ili shirika la ujasusi la nchi hiyo liweze kumsaidia kupata ushindi kwa wizi bila...
0 Reactions
58 Replies
5K Views
Waheshimiwa wanajamvi, waheshimiwa wagombea uchaguzi, waheshimiwa wazalendo, mabibi na mabwana. Napenda kuwakilisha mchango wangu wa mawazo na mali kufuatia Serikali hii ya mafisadi kutaka...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
ktk uchaguzi ujao kutakuwa na waangalizi wa nje na ndani wa uchaguzi,wao pia watashiriki pia ktk zoezi zima la kuhesabu kura ktk vituo mbalimbali,je matokeo ya waangalizi pia yatangazwe kuona kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom