Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Na mwandishi Absalom Kibanda wa Tanzania Daima 6/10/2010 Wadau nawaletea kipande cha habari ndefu ya mwandishi huyu ila mimi nimependa tujadili hiki kipande karibuni; "Ili kufanikisha hilo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nashindwa elewa kuna shida gani CCM? Mikutano ya kampeni ya Mwenyekiti lazima watu wachuliwe na malori na Mabasi na kupewa posho Kofia, Tshirt na Kanga ili watu wajaae hii ikiambatana na vikundi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani waungwana kwanza mambo vipi? mimi ni mgeni ndo kwanza nijunga mtandaoni kwa wana JF.Naomba kuuliza ngd zanguni hivi jk alialikwa mkutanoni mkoani Ruvuma au alitumia mabavu yake a.k.a...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Na Ruhazi Ruhazi SIJALI bado umbali gani katika safari yetu, lakini nimepata matumani, nimefarijika na kufurahi baada ya kuona kundi kubwa la watu walipo kwenye safari yetu sasa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Leo saa 1 hadi saa 3 usiku vijana wanasiasa watakuwa ndani ya nyumba movenpick hotel kwa mdahalo na Jeneral Ulimwengu, so watakuwa live itv. My concern ni vijana wawili machachari John Mnyika na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau leo Wagombea Ubunge vijana wataumana katika mdahalo unaorushwa moja kwa moja na ITV kuanzia saa moja kamili mpaka saa tatu. Superman upo ha ha ha Washiriki ambao wako hewani ni ZITTO...
0 Reactions
146 Replies
12K Views
Jeshi la Polisi la Polisi Mkoani Mwanza limekamata gari moja la wizi kutoka nchini Kenya likiwa na mabango ya picha za mgombea ubunge jimbo la Nyamagana jijini Mwanza, ambaye pia ni waziri wa...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
NINAILETA KWENU WANAJAMVINI MUOINE NIMEIPATA SEHEMU NIKAIONA NIIRUSHE HAPA, TAZAMA NA HIYO ATTACHMENT: Hiyo ni Profoma invoice ambayo mwenyekiti wa kampeni za kikwete (A. Kinana) ame-present...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Serikali yagoma kuongeza posho za wanafunzi Urusi Na Andrew Msechu SERIKALI imegoma kulipa posho zinazodaiwa na wanafunzi wa Tanzania waliopo katika Chuo Kikuu cha Lumumba mjini Moscow nchini...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
BADO MAMBO YA KUSHANGAZA YANAENDELA KUTOKEA KATIKA NCHI YETU YA TANZANIA. SLAA AMESEMA KUMBE MNADHIMU MKUU NDIYE ALIYEPEWA TENDA ZA KUAGIZA TREKTA ZA KILIMO KWANZA ZA POWER TILLER. KAMA NI HIVYO...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
na Ali Lityawi, Kahama Source: Tanzania Daima MGOMBEA udiwani wa Kata ya Igunda, Wilaya ya Kahama kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Charles Malecha Kasonha (43), amefariki...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Inasemekana Riz1 alinunua nyumba ya thamani ya Tsh bilioni moja (1,000,000,000/=) maeneo ya masaki, Swali: Ana mradi gani wa kupata hela hizi zote? au ndo maana familia nzima inapambana kurudi...
0 Reactions
120 Replies
21K Views
Mambo ya siasa zetu na utapeli wa kuaminiwa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu Sijamsikia Yule mzee wa walaka wa wakatoliki Kingunge ngombale Mwiru. Baada ya kuwepo kwenye kampeni za kule kusini sijamsikia tena kulikoni? au maji ya shingo?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba tusaidiane kuandika nukuu zote za ajabu alizowahi kutoa Yusuph Makamba kwa kuwa mi naona huyu mzee ndiye anayeongoza kwa kuongea mambo pasipo kufikiri kwa umakini. Toa nukuu yoyote...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mtanzania yeyote Mzalendo wa kweli, mwenye akili timamu, asiye na mtindio wa ubongo, wala mtumwa wa hila chafu, wala udumavu wa kiakili, tena asiye na utando wa buibui wala tongotongo za ufisadi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mamia ya waalimu waliohudhuria maadhimisho ya siku ya mwalimu duniani wakiingia kwa maandamano katika uwanja wa michezo wa Majimaji mjini Songea ambapo Rais Dr.Jakaya Mrisho kikwete alikuwa...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wanajamii nisaidieni hili. Hivi huyu mzee wetu lyatonga ni kwanini anang'ang'ania sana madaraka? Wakati wa mfumo wa vyama vingi alitoka CCM na kujiunga na NCCR, Akaharibu akaanzisha NCCR MAGEUZI...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
sijajua kwanini chadema haikushiriki ule mdahalo, au ndio tuseme hawana mgombea aliyesimama kwenye lile jimbo?(ingawa walisema kuna wagombea 3 hawakushiriki-kwani walikuwa 7).kuna mzee mmoja...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zilizopatikana sasa hivi zinasema watuhumiwa wote walioshitakiwa katika kesi ya tindikali dhidi ya mmiliki wa MwanaHalisi wameachiwa huru kwa kukosa ushahidi!!! Mwenye habari zaidi atujuze.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom