Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Issue ni kwamba ki haki na kiualali kabisa dr slaa ni rais, ila sasa kwa kuwa mgombea urais wa ccm ndiye mwenye serikali na majeshi yote na nec amewachagua yeye kwahiyo kura lazima zitaibwa...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
By The guardian reporter 7th October 2010 The European Union (EU) has launched an Election Observation Mission (EOM) for the October 31 General Elections. A press statement released by the EU...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Source Mzalendo.net Mwanzoni wa kuingia vyama vingi Tanzania, kulikuwa na upotoshaji mkubwa unaliofanywa na Vyama vingine zidi ya CUF, ikiwemo kuambiwa kuwa: 1.CUF Wakipata madaraka watarudisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kulingana na sheria za uchaguzi aliyefungwa kwa zaidi ya mwaka mmoja hana sifa za kuwa mgombea. Bw. Aden rage ambaye hivi sasa anagombea jimbo la Tabora Mjini na ambaye hivi karibuni amekuwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni bora jamii iweze kutafakari kwa kina na upeo mkubwa kwamba ivi nani hasa anapaswa kuliongoza Taifa. Swala la msingi hapa ni kumtafakari kiongozi ambae anaweza kujinadi hadharani kwa ushahidi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
:A S 465:Wadau naomba anayejua anipe majibu kabla ya siku ya kupiga kura. Nimejiandikisha kupiga kura Dar es Salaam lakini sasa nipo mkoa mwingine, je naweza kumpigia president kura?:A S 465:
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana JF, Katika pita pita yangu huko uswahilini mitaaa ya Mtakuja , Uhuru na baaadae kuelekea maeneo ya home Capri-Point. Nikiwa njiani baada ya kupita uwanja wa nyamgana kama naenda kamanga...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nyerere travelled more widely after retiring than he did when he was president of Tanzania. This is unlikewise to Kikwete.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa kuwa Synovate na REDET wamegoma kutoa matokeo ya kura za maoni zinazoonesha kuwa Dk. Willibrod Slaa amempiku Jakaya Kikwete, na gazeti la serikali Daily News na la CCM Uhuru wameleta mizengwe...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nahitaji namba za simu za Slaa, Mbowe na Zito....! ninalo la kuwaambia.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jakaya Mrisho Kikwete. HAKUNA ubishi kwamba matarajio ya Watanzania wengi katika uchaguzi mkuu ujao ni kuona mabadiliko makubwa yakitokea katika nafasi mbalimbali za uongozi wa nchi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nasikia Lipumba naye ni miongoni mwa watu wa CCM anawayeyusha CUF Za ndani zaidi na zitakak
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Kama CCM wameweza kukodi mabasi na maroli ya kubeba watu kwenda kwenye kampeni, kununua T-shirt na kofia kwa kila mtu mwenye muda wa kwenda kwenye kampeni zao nchi nzima kwa pesa za Umma...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Closed
Nimekuwa nikisoma gazeti la Raia mwema kwa muda kuna mtu ameamua kubadili jina lake na kutumia jina Msomaji Raia ili kumshambulia Rais Kikwete.mtitiliko wa maandishi yake hautofautiani na...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
naona ndugu zetu sasa wameanza kuzidiwa na mashambulizi ya hoja na kuja kivingine
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Hapo basi ndipo ninapopata wasi wasi wa siasa za Tz, mimi nina asli ya upinzani ktk damu yangu,na nishafikia kuapa kuwa siwezi kuwa ccm,kwa jinsi ninavoichukia hii ccm,lkn kuna baadhi ya vitu ktk...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Ndg zangu mie bado ninatafakari habari za wa 16. Wazo langu ni kwamba huko. Tuliko tuhakikishe basi tunafanya kazi ya kufa na kupona kwa kukuwa mabalozi wazuri kwenye zoezi la kusimamia uhesabuji...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya Serikali kutangaza nafasi ya kazi ya CEO mpya wa Tanroads, Ephraem Mrema wa Tanroads amewaambia watendaji wake kwamba tangazo la kazi la CEO mpya ni danganya toto maana ameshaonana na JK...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mpiga debe ambaye pia ni mke wa rais wa Tanzania ameingia katika simanzi ya aina yake pale idadi ya watu waliohudhuria kampeni alizokuwa akiziendesha katika ukumbi wa kibo kuzidiwa na wale...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom