Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Look at this foolishness....
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ulimi wamponza Yusuf Makamba • wakazi Kariakoo wadai amewadhalilisha • Washinikiza aombe radhi, ajiuzulu Kauli iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bw Yusuf makamba...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Mchumba wa Dk. Slaa, Josephine, akisalimia wananchi wa Karatu mkutanoni, juzi Alhamisi. Dk. Slaa hatumii shangingi. Hiki ndicho kipanya anachotumia katika ziara zake za kampeni. Katika picha...
0 Reactions
25 Replies
8K Views
jamani tumsaidie kikwete kama binadamu mwenzetu kwa nia nzuri tu juu ya mwenendo wa kampeni za uchaguzi na uhuni wanaomfanyia wenzake/timu yake ya kukusanya watu kwa malori,kuwapa elfu hamsini...
0 Reactions
2 Replies
38K Views
Wananchi wenzangu kuna suala nahitaji tuliangalie kwa uzito wake; je ktk uchaguzi wa mwaka huu wafungwa watapiga kura kuchagua rais, wabunge na madiwani? Mwanzoni mwa mwaka huu nilibahatika...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wanajamii watu wamejaa Dr Slaa ndio ameingia uwanjani ni full shangwe,magari,piki za kufa mtu,hakuna cha kuwekewa mafuta.watu wamevaa ujasiri hakuna woga kabisa.mkutano unaendele.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa amedai kwamba wale wasiorudisha Fomu za Gharama za Uchaguzi hawataongezewa muda na wataondolewa katika kujihusiha na uchaguzi! Kazi ipo mwaka huu, wagombea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
AUMIZA VICHWA KAMATI YA MZEE MWINYI Geofrey Nyang'oro na Ramadhan Semtawa SPIKA wa Bunge Samuel Sitta ametoboa siri ya ujasiri wake akisema inatokana na nguvu za Mungu, ambazo zimekuwa...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Jamani mimi nashindwa kuelewa uoga ulio waingi ccm hadi kufikia kutumia pesa kwakukufuru kwenye mabango yao kwakuchukua picha za Ikulu nazingine za kwenye masanduku yaliyoota kutu na kama siyo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Team, I have been going Through a lot of Blogs around and am Seeing almost 90% are covered by green and yellow news!! Has anyone else noticed this?
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Tangu JK aingie madarakani hajawahi kukosa mkutano wa UN general assembly hapo New York. Kwa mwaka huu mkutano huo unaanza kesho tarehe 20 September hadi tarehe 22 September 2010, na sijasoma...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wanajamvi nimeitafakari kauli mbiu ya MH Lowassa kama inavyoonekanaa katika mabango yake ya kampeni huko Monduli na Kusomeka: Tulihuzunika pamoja....na tutashinda pamoja. Je kwa hisia za kawaida...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimenawa mikono kuhusu ombi la mgombea ubunge wa Urambo Mashariki, Samuel Sitta la kutaka mdahalo na mgombea urais wa Chadema, Dk Willibrod Slaa kikisema hakihusiki na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimeelezwa na jamaa aliyekuwapo uwanja wa mashujaa Moshi katika kampeni za JK Moshi kuwa hali haikuwa kama picha zilizoonyeshwa TBC1 ktk taarifa za habari. Ukweli ni Kuwa CCM walitangaza kuwa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Ni kauli ya aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Ikulu Asema wasipoangalia watashangaza Oktoba 31 CCM ikifanya mchezo itashinda kwa jasho jingi Adai hata hivyo JK ana nafasi kubwa kushinda...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwenye kujua kusoma gonga hapa KULIKONI UGHAIBUNI: CHAGUO LA MUNGU: "Mafanikio" ya Kikwete 2005-2010 Katika Picha.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
WanaJF tarehe 01/09/2010 Television ya CCM (CCMTV) au kwa kifupi TBC1 muda wa kuanzia saa 3 usiku warusha kipindi maalum "utendaji wa Jeshi letu" kabla ya hapo serikali ilitoa taarifa kuwa tarehe...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tufikiri upya na kwa makini zaidi. Nadhani ni wakati mwafaka sasa tukae na kujiuliza kama mtu/chama kinaweza kuwa madarakani kwa miaka mingi na mtu ukasema hakijafanya chochote.Kujifunza nini...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
katika mkutano wake wa kampeni huko Arusha Dr. Slaa ameahidi kuunda baraza la dogo la mawaziri ambao hawatazidi 20 ukichanganya na manaibu wao, wizara zitakuwa kama ifuatavyo: 1.fedha na uchumi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamani, baada ya kasi mpya, nguvu mpya kushindwa, sasa waja eti na kasi zaidi, 'maisha bora' yaliposhindikana, wakaona walete 'kilimo kwanza'. sentesi hizi sizielewi kabisa, bora waseme ufisadi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom