Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Waungwana niko Mtwara leo, na kama nusu saa iliopita nikiwa kituoni nasubiri dala dala niendelee na mizunguko yangu, yamepita maroli yanawarudisha wana CCM majumbani mwao, kutoka kwenye campaign...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Watanzania acheni udokozi mpate ajira – JK Imeandikwa na Na Paul Sarwatt, Arusha; Tarehe: 19th December 2009 @ 23:59 Imesomwa na watu: 762; Jumla ya maoni: 1RAIS Jakaya Kikwete amesema tabia ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
'' Mimi nakwenda kule (ulaya na Marekani) kuhemea .Nikirudi narudi na Kibaba'',Kauli hiyo ilinikera kiasi cha kusababisha mapigo ya moyo kuongezeka,Kwa mtazamo wangu ,haya ni maneno ya ajabu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
MAJIBU dhidi ya mke wa Rais Jakaya Kikwete anayokabiliwa na tuhuma za kutumia fedha za serikali katika kampeni limekanushwa na kutolewa ufafanuzi na chama hicho...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Please, kuna anayejua matokeo ya Kura ya Maoni yanayotarajiwa kutolewa hivi karibuni na Kampuni ya Snovate (zamani Steadman)? Nani anaongoza kura hii ya maoni baina ya wagombea urais wa Jamhuri ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Residents of Mathare slum in Nairobi fetch water at one of the watering points. Access to safe dinking water is one of the indicators used to measure progress made on MDGs. By Jeff Otieno...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna ule ukweli kwamba DAMU nzito kuliko maji ambao ndio hasa unambeba mtanzania hyyu ambaye ameandamwa na kila aina ya harufu ya ufisadi na ujambazi wa mali za umma. Kwanza kwa kulazimika...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
katika hali inayoonyesha kuwa kuingia kwa Dr. Slaa katika uchaguzi wa mwaka huu ni pigo kubwa kwa CCM na Kikwete, CCM wanahaha kutafuta ushindi ambao wanadhani unaweza kuwaponyoka wakati wowote...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
OPEN FOR BUSINESS: This traffic police office at the Buguruni Police Station compound in Dar es Salaam looks overwhelmed as accident exhibits keep piling up at its doorstep, making operations...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jana nilikuwa mitaa ya Sinza Kumekucha,nilikuwa napita nikakuta wana CCM wako kwenye Kampeni,na mgeni wa heshima alikuwa Hiza Tambwe,kwa hakika nilishangaa kuona vijana wengi wahuni wasichana kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Revealed: The secret of victory votes to Ikulu By Guardian on sunday team 19th September 2010 Email Print Comments About ten regions holds crucial key to decide who...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Urambo Mashariki, Tabora, kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samuel Sitta, ameelezea kushangazwa na kauli za baadhi ya wagombea wa vyama vya upinzani kwamba...
0 Reactions
62 Replies
6K Views
Mgombea urais wa Ccm amekuwa akifanya mikutano ya kampeni sehemu mbalimbali nchini. Mikutano hiyo imekuwa ikifanywa ionekane mikubwa sana kwa kusomba watu kwa mabasi na malori kutoka sehemu za...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Mark Mwandosya Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Mark Mwandosya, ameainisha sababu kadhaa za kumpigia kampeni...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu zanguni wana JF, ninaomba kueleweshwa kidogo juu ya urejeshaji wa mkopo wa vyuo vikuu 1. Ni kwa nini wanasiasa waliweka seal yaani watakao lipa ni wale walio maliza vyuo vikuu kuanzia 1994...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
na Tamali Vullu, Mbulu MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete, amesema serikali yake ijayo itazipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini ziwe za rufaa, ili...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
wakati kampeni zinaendelea kupamba moto mpaka sasa hatujawasikia Mkapa, Mwinyi, Msuya, Warioba na Sumaye wanampigia kampeni Kikwete....kuna tatizo gani? au ndo wamemtosa? Nyerere alimsaidia sana...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ninasikia vyuo vingi vya Tanzania hasa vikuu vitafunguliwa baada ya uchaguzi except SAUT ambao wanafungua kesho. Implication I. Vijana waliojiandikisha maeneo ya vyuo wasipige...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimemesoma kwa masikitiko makubwa kuwa wananchi wa monduli wataendelea kumchagua lowasa kwa sababu amewaletea maendeleo makubwa katika jimbo lake. Kwa mtazamo wangu naona hii inaonyesha jinsi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu Wana-JF: katika gazeti la Mwanahalisi la leo kuna hii makala ya Saed Kubenea (Uk wa 10) ambayo nimejaribu kuweka hapa sehemi yake kubwa tu. Makala inaibua mapya kuhusu namna wajumbe wa...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Back
Top Bottom