KAMPUNI ya Reli Tanzania (TRL), imesema kuna uwezekano wa kusitisha huduma za kusafirisha wa abiria kutoka Dar es Salaam kwenda Kigoma, katika siku za usoni na kwamba hatua hiyo inatokana na...
Eti inakuwaje kamanda wa ulinzi na usalama wilayani analaumu wanausalama wenzie kusababisha watoto wetu kufa pale Luxury Pub badala ya kuanza kujilaumu yeye kwa kutowapanga vizuri. Jamani tuanze...
MBIO za Mwenge wa Uhuru zinazoendelea katika mkoa wa Shinyanga, zimeingia dosari baada ya baadhi ya wakimbiza mwenge huo kitaifa kuonyesha wazi wazi kukipigia kampeni Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Salim Said
KAMBI ya wabunge walioangushwa katika kura za maoni katika vyama vyao na kuamua kutimkia vyama vingine vya siasa na kuwania ubunge imezidi kuwa kubwa.
Hivi karibuni aliyekuwa mbunge...
Thursday, 09 September 2010
Waandishi Wetu
MGOMBEA urais kupitia CCM, Jakaya Kikwete ameviponda vyama vya upinzani akisema kuwa huibuka wakati wa uchaguzi tu, ukimalizika vinayeyuka. Kauli...
kwenye taarifa ya habari TBC1 leo nimemuona mzee Makamba anaropoka kama kawaida yake alisema: wanataka mdaharo ila lazima wajue niwatugani wanaenda kukutanao yaani siku ya mdaharo, maswali yapi...
Tumetumiwa hii makala na mwana JF "Kiranga": Mdahalo: Baregu v. Kinana. Na tumeamua kuirudisha JF!
Tuweke ushabiki wa vyama pembeni; hivi kambi ya upinzani inatutendea haki Watanzania? Ukipata...
Ni takribani miaka mitano sasa tangu tumpate kiongozi mpya ndugu Jakaya Mrisho Kikwete. Katika mchakato waa uchaguzi mwaka 2005, alitoa ahadi kemkem kubwa ikiwa ni maisha bora kwa kila mtanzania...
Of pretenders and ideological bedfellows‏
Prince M. Bagenda, 17th September 2010 Daily News
An Election Manifesto is a tool which political parties use to market political, social and...
Wakuu leo Mheshimiwa J Kikwete anatarajiwa kufanya mkutano wa kampeni mjini Arusha muda wa saa 10 jioni kwenye uwanja wa kumbukumbu ya Sheckh Amri Abeid.Tayari shamra shamra za mkutano wake wa...
Jana katika kipindi cha 'This week in Perspective' kinachorushwa na TBC1, mwezeshaji wa kipindi alikuwa anawahoji Prof. Rweitama (UDSM), Maria Shaba (freelance journalist), Dr. Kitine (kada wa...
Tanzania.....Tanzania....Nakupenda kwa moyo wote!
Tanzaniaaa Tanzaniaaaa, nakupenda kwa moyo woooteee, Nchi yangu Tanzaniaaaa Stori zako ni tamuu saanaaa!!
Nilalapo namwaza...
Kuna njama za kuhujumu utu na uhuru wa mtanzania daima dumu
Njama hizi si ndogo, ni kubwa
Na zinatekelezwa usiku na mchana na mabepari
Udhalimu wa mabepari hao kamwe hauwezi kufanikiwa
Bila ya...
Kwa karibu wiki moja sasa nimekuwa nifuatilia kile kipindi maarufu cha enzi zile za ukiritimba wa Chama Kimoja na RTD. Katika muda huo sijasikia kile Kipindi cha enzi na enzi kilichotumiwa na Kina...
Utajiri wa nchi wazidi kuporwa
* Wizara ya Maliasili yaendelea kuwa pango la wizi
* Ujangili, ukwepaji wa kodi za serikali washamiri
MWANDISHI WETU
Dar es Salaam
LICHA ya serikali ya...
Wadau... hatuna budi kutenda haki.... tutembelee hapa kampeni za Dk. Ali Mohamed Shen Zanzibar mwaka huu.
Dk. Ali Mohamed Shein - Tovuti Rasmi ya Kampeni ya Urais wa Zanzibar 2010
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.