Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
chama cha mapinduzi ni chama amabacho kimejipanga vizuri kuweza kuhakikisha kinapata ushindi wa kishindo, kwani ndio chama chenye Sura nzuri ukilinganisha na cha ma kingine chochote...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
From the Mouth of the Horse . . . . . JK and CCM have managed to steer this country towards peace, harmony and prosperity. Vote CCM, Vote JK! The opposition folks in this country are full of...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Watanzania tumeshuhudia mbinu chafu za kila namna za kuharibu uwezo wa watanzania kutathmini na kufanya uamuzi sahihi juu ya kiongozi anayefaa kuongoza taifa hili ifikapo October 31. Wametumia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Dr. Slaa, Majuzi ulilazimika kusimama kwenye kampeni ukatufungulia maisha yako na mahusiano yao na mchumba wako Bi. Josephina. Hii ilikuwa ni nia wako kuweka sawa kile ambacho CCM wameanza...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Je, Habari Leo wamegundua kuwa wanampa umaarufu Dr Slaa kwa kumwandika vibaya?? Maana ukifungua gazeti lao kwenye website yao, kwenye habari zaidi, zile heading zilizokuwa zinamchafua Dr Slaa...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Kwa jinsi hali ya upepo inavyoelekea kuna dalili CCM maji yako kidevuni sasa! Chadama na mgombea wake Dr. Slaa wanaonyesha wamekubalika kwa kiasi kikubwa. Hadi sasa inaonyesha kuna mtaji wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi karibuni CCM wameanzisha kampeni 'chafu' kwa kuingilia maisha binafsi ya ndoa ya mgombea urais wa CHADEMA, Dr. Slaa. Hivi kama kigezo ni hiko huyu JK alistahili hata kuwa waziri? CCM Ondoeni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Je wajua kwamba wakili A.Kitururu anaye mtetea Mporwa mke wa Dr Slaa ni mgombea udiwani wa CCM kata ya ubungo.Je CCM mnataka wananchi wajifunze nini?.
0 Reactions
100 Replies
8K Views
MWANANCHI: CHADEMA YAMSHTAKI JK KWA WANANCHI TANZANIA DAIMA: MKE WA Dr. SLAA AFUNGWA ''KUFULI'' TAZAMA: SLAA ADAIWA BILIONI MOJA RAIA MWEMA: UNYUMBA WA DK SLAA WALIPUA SIRI NZITO JAMBOLEO: DK...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
deleted
0 Reactions
2 Replies
1K Views
HAPO NDIPO UTAJUA MCHAPAKAZI NA MSANII. TUMIA KURA YAKO KUSAIDIA KUPATA VIONGOZI WACHAPAKAZI NA SI WASANII
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kampeni chafu imeanzishwa na chama cha mafisadi kuhakikisha kuwa Chadema na wagombea wake hawashidi katika uchaguzi wa mwaka huu. Kampeni hii imeanza baada ya kuona kuwa upepo unawaendea vibaya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
jana tume ya uchaguzi imetupilia mbali ombi la wakristu la kubadili siku ya kupiga kura (31 oct) kwani ni siku ya ibada. Ivi kweli ingekua ni siku ya Ijumaa na waislam wangeomba ibadilishwe, ombi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
DAWA YA KUDUMU MIGOMO VYUO VIKUU YATANGAZWA Kuelekea Uchaguzi Mkuu Mwaka 2010, Kupitia ilani za vyama vya upinzani pekee yaani CHADEMA na CUF elimu itakuwa bure na kwa hali hii kwa sababu migomo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tanzania ni chi ambayo inaongozwa na rais mtendaji yaani mkuu wa nchi na mkuu wa serikali. katika kipindi hiki cha uchaguzi rais wetu ambaye ni mkuu wa nchi antumia rasilimali za serikali katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Siaza za "Maji taka" zilizoanzishwa na CCM zimemuweka Dr. Slaa kivutio katika magazeti mengi nchini kwa takribani siku kadhaa na kuzika taarifa nyingi za mpinzani wake JK. Wadau hiyo ina...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jana nilikuwa naangalia kipindi kimoja katika kituo cha Televisheni cha TBC1 kiitwacho MCHAKATO MAJIMBONI, na jana walikuwa jimbo la Arusha mjini, niliwaona wagombea wote wa ubunge jimbo lile...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Chadema: Hatutaki siasa za maji taka Na Waandishi wetu 8th September 2010 Wasema wanakwenda kwa umma Mume wa Josephine aenda kortini...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
mwanazuoni jenerali anatuambia: "Tunachagua kama vipofu, kisha tunalalama kama vichaa. Sasa tuamue: ama tuchague viongozi wetu kwa makini, au tukae kimya wakati wakitunyanyasa. Wachagua hovyo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana-JF: Nimeona ni vyema niwawekeeni hii sehemu ya mwisho ya stori katika Mwanahalisi la leo kuhusu sakata la Dr Slaa, Mahimbo, na Josephine. Ningekuwa na muda ningeweza kui-key in yote, lakini...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom