Chadema wamepigwa chini na Mkulu 'Tutendee' kwenye juhudi zao za kumuwekea pingamizi JK asigombee Uraisi.
'Tutendee' amewaambia kuwa kama hawaridhiki na maamuzi yake wanaweza kwenda mbele.
Chadema...
Kwanini hili Tanzania Daima nao wanachelewesha taarifa mtandaoni?
Tanzania Daima - Sauti ya Watu
Bado kuna gazeti la jumatatu, 6 septemba 2010
Au ndo wanasubiri wauze kwanza?
Sisi wengine tuko...
Awali yote napend kuwaslimia ndugu zangu wa Jamii Forum,Leo napenda kuzungimzia pingamizi la CHADEMA dhidi ya mgombea urais wa CCM kuhusu kukiuka mkataba wa Sheria ya gharama za Uchaguzi ya mwaka...
Ndugu watanzania tukiwa tunaelekea uchaguzi mkuu ni vema tukatumia nafasi hii kuwachambua wagombea wetu ili kuangalia uwezo wao wa kiutendaji na sio uwezo wao wa kisanii. Kama picha zinavyoonyesha...
Katika utetezi wake CHADEMA ilisema malalamiko yamewasilishwa nje ya muda na pia CHADEMA iliwasilisha maelezo na vielelezo kuthibitishwa kilichozungumzwa jangwani ikiwemo ilani, orodha ya...
Wakuu niliwahi kuisoma hii story ya the self-proclaimed Lebron's father sometimes ago. Well baada ya kusikia hii habari ya case ya Mahimbo Vs (Josephine na Dr. Slaa)
Nimeona ni vema kushare...
Nilifurahi sana na nikashukuru moto uliowashwa na CHADEMA ambao ulipelekea Mkuu wa nchi kutangaza nyongeza ya mshahara ha kwa bahati nzuri nilifanikiwa kuona secular iliyoonyesha mshahara mpya...
Na Exuper Kachenje
CHAMA cha Mapinduzi(CCM), kimebadili ratiba za kampeni kwa mgombea wake wa urais, Jakaya Kikwete na sasa atafanya kampeni bila kupumzika tofauti na awali alipopangiwa siku za...
Tayari yamesha divert attention kutoka kwenye madhambi yao ya ufisadi na kushindwa kuongoza na sasa tupo hapa tunamzungumzia Josephine na "kuibwa" kwake NA Dkt. Slaa.
Nimekoma nayo haya majamaa...
Najua kuwa JF ni jukwaa la watanzania wa kada mbalimbali. Kwenye home page kuna kura ya maoni inayohoji ni nani anayekubalika zaidi kuwa raisi. Majibu yake wote tumeyaona. Lakini tunajua kuwa...
Wengi watakubaliana na mimi kuwa biashara ya mavazi ni moja kati ya biashara isiyopitwa na wakatati, ni kama vile ilivyo biashara ya vyakula, kwani mtu atahitaji kula na kuvaa kila siku...
Wapinzani wamekuwa wakilalamika kwamba ukosefu wa ajira kwa vijana mchini unatokana na elimu duni.Je ni kweli tatizo ni elimu duni,ongezeko la watu au uchache wa ajira tatizo ambalo ni la...
On salary increment, Mr Marando said Mr Kikwete told a rally on 22nd August, (according to the media), that he had increased the minimum wage from 135,000/- to 235,000/-, was a lie because...
Wadau nimetembelea blogu ya Zitto Kabwe na kufurahishwa na jinsi Kampeni zake zinavyoendelea kule Jimboni kwao. Haya ndo mambo ambayo CHADEMA nzima walipaswa kuyafanya. Jambo ambalo inambidi Zitto...
Ni mara ngapi tumechagua wasaii kuwa viongozi wetu? Angalia hizo attachement uone kiongozi anatakiwa aweje na msanii utamtambua.
FANYA MAAMUZI SAHIHI WAKATI NDIO HUU.
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetupilia mbali pingamizi alilowekewa mgombea ubunge wa jimbo la Karagwe kupitia Chadema, Deusdedith Kahangwa.
Kwa mujibu wa barua ambayo gazeti hili limeona...
Wajameni, habari za leo tena. Kuna tetesi kuwa yule mgombea wa chadema aliyeenguliwa Karagwe NEC imemrudishia hadhi ya kugombea. Kama ni kweli tujiulize "wasimamizi wa uchaguzi majimboni ni wala...
SERIKALI inatarajia kuanza kutumia njia ya reli kwa ajili ya kusafirisha abiria kwa mkoa wa Dar es Salaam ili kuondokana na adha ya foleni ambayo inazidi kila kukicha.
Kauli hiyo ilitolewa jana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.