Miaka michache ya hivi karibuni tumekuwa tukisikia ama kuona katika vyombo vya habari kuhusu watu wa huko U.K. kuendelea kufungua utitiri wa matawi ya C.C.M.
Mbona hatuna hayo matawi huku USA...
Kulingana na makubaliano yaliyofikiwa baina ya tume ya uchaguzi(NEC) na vyama vya siasa ikiwemo kutunga sheria mpya juu ya matumizi ya fedha pamoja na taratibu zingine za kuendesha uchaguzi. Mimi...
Ndugu wanaJF, nimeanza kuwasiliana na baadhi ya maadvocate kuona ni kwa vipi tunaweza kumwekea pingamizi Kikwete asigombee Urais kutokana na sababu zifuatazo:
Sababu ya kwanza Inatokana na afya...
"Kwa ugonjwa huu; nitakufa.. Watanzania wale watalia sana.., nitawaombea kwa Mungu"
Ndugu wanaJF nimeona nianze kwa kunukuu sehemu ya maneno ya Baba wa taifa katika siku zake za mwisho pale St...
People are divided into three main groups depending on the mind set..
1. Lower mind - (Discuss other people)
Group hili wao ni kujadili mambo binafsi ya watu.. Ambayo ki u halisia hayana...
He accuses the Tanzanian government of corruption. From the lowest ranked member of Police force in Moshi to the highest officer, from a local magistrate to Chief Justice, from a DC to the...
Serikali imeamua kwa makusudi kukandamiza haki za wananchi walioiweka madarakani, imeamua kuwapora haki zao, maisha yetu yapo mikononi mwa nani? Mwizi wa kuku yupo Segerea anatumikia kifungo cha...
Hatuko mwanzo,wala hatuko mwisho,inawezekana tuko mwanzo wa mwisho.Hapa nazungumzia safari ya taifa hili la Tanzania kuelekea kwenye ukweli,kuelekea kwenye mwanga.Ukiona giza totolo limetanda kila...
Makala hii ilichapwa kwa mara ya kwanza kwenye gazeti huru la Dira Zanzibar, Na. 45, la Oktoba 10-16, 2003. Nimeamua kuileta tena hapa ukumbini baada ya kuiona hii video ilowekwa jana kuhusiana na...
In the same way that a baby is branded an angel, and goes unpunished for mistakes the creature makes, due to newness in the world into which he or she has been thrust, crazy behaviour and...
Pingamizi ndio kama tulivyotarajia,Tendwa katekeleza maagizo aliyopewa Ikulu na JK.Sasa kila dakika ni mithili ya muujiza usiojirudia. Tumeshanyanyaswa vya kutosha, utawala wa sheria umeshachezewa...
MGOMBEA ubunge wa jimbo la Vunjo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour (TLP), Agustine Mrema, amenusurika kupata kipigo kutoka kwa kundi la vijana wanaodaiwa kuwa ni wafuasi wa...
Hoja za maisha binafsi ambazo ni dhahiri zimepikwa na CCM, Makamba ndio alianzisha, akafuatwa na makada wengine, zitaijenga Chadema na mgombea wake wa urais. Kwa nini hizi hoja zitajenga badala ya...
Kwa walio Jijini Dar es salaam, Msajili wa vyama vya siasa Ndg, J. Tendwa alitegemewa kuzungumza na vyombo vya Habari leo kutoa maamuzi juu ya Pingamizi la CHADEMA dhidi ya JK wa CCM, je maamuzi...
Tendwa aionya CCM kuacha kutumia nyenzo za Ikulu
BARAZA la Ushauri wa Vyama vya Siasa nchini, limekishukia CCM na kukitaka kutotumia picha zilizopigwa Ikulu katika kampeni zake.Onyo hilo...
Ukitaka kutuma pesa nchi nyingine kupitia western union Tanzania imekuwa vigumu mno.Wanataka uwe na passport sijui na viza za huyo unayemtumia na vikolokolo vingine kutegemea wanavyojua wenyewe na...
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chadema, Dk Willibrod Slaa, amesema kuwa vigogo wa CCM hawana ubavu wa kumnyooshea kidole kuhusu maisha yake binafsi.
Akihutubia wananchi katika mji wa Babati...
Kuna kitu kimoja kimenifurahisha sana kwenye kampeni za uchaguzi wa congress wa marekani mwaka huu. Kuna mgombea mmoja wa senate toka jimbo la Nevada anaitwa Sharon Angle. Mrs Angle bana alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.