Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Narudi tena kwa huyu mgombea ubunge wa Muhambwe, Jamal Tamim! Ametajwa huko nyuma kuwa elimu yake ni ya darasa la saba. Lakini ametajwa pia kuwa alitumia pesa sana kununua kura za maoni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wabunge wengi wa ccm wapo tayari kufanya lolote ili wapate kurudi bungeni.....uchunguzi wa kina unaonyesha wananchi wamechoshwa na wanaitaji mabadiliko..
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Uendeshaji wa Serikali - Chadema imefanikiwa kunishawishi kuwa ukubwa wa serikali iliyopo ni tatizo kubwa la kuendesha nchi hii. Serikali ni kubwa mno na CCM wala CUF hawalizungumziii suala hili...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa uchunguzi wa kina inaonekana wananchi hawana hamu na wagombea ubunge wa ccm,kwani wengi wao wanonekana kujali maslai yao,kitu ambacho wananchi hawana huwakika nacho ni mgombea uraisi,kikweke...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Jakaya Kikwete ameshangazwa na Wapinzani kwa kushindwa kuishukuru serikali ya CCM hata kwa jinsi ilivyowasomesha na badala yake wamekuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana JF, Tumeshuhudia na tunaendelea kushuhudia jinsi kituo cha TV cha TBC kinavyokandamiza upinzani, hasa chama kilichojidhihirisha kuwa ni tishio kwa chama tawala mwaka huu,kwa kuwalimit...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mheshimiwa Makamba, uliwahi kufukuzwa kazi ukiwa kama mkuu wa wilaya, uliondolewa si kwa utendaji wako mbaya wa kazi bali wakuu wengi wa idara wilayani kwako walikuangusha. Ukiachilia mbali siasa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Leo nimejikuta nacheka sanaaa.. Mwenyekiti wa Kampeni ya Urais ya Kikwete Bw. Kinana akihojiwa mapema leo asubuhi na ITV amevisihi vyama vingine visiwaeleze sana mambo mabaya na yenye kubebesha...
0 Reactions
67 Replies
6K Views
ktk uchaguzi wa usa uliopita kulikuwa na ushindani mkubwa kati ya chama cha democratic na republican,wagombea wao walikuwa obama na mzee macain,dakika za mwisho za kampeni kada mtiifu wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Umati Mkubwa ulijitokeza kumlaki Dk. Slaa katika eneo la Haydom, jimboni Mbulu Dk Slaa anamtambulisha mgombea ubunge wa Hanang, Rose Kamili, katika eneo la Endosak, jirani na nyumbani kwa Waziri...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
The month of August 2010 is a unique one. It has 5 Sundays , 5 Mondays, and 5 Tuesdays in one month. This happens once in every 823 years.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimemuomba Msajili wa Vyama vya Siasa kuiagiza Chadema kuisoma na kuielewa vizuri Sheria ya Gharama za Uchaguzi na sheria nyingine za uchaguzi ili kuepuka usumbufu. Ombi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimeshtushwa sana na baadhi ya watu nadhani ni mashabiki wa CCM ambao wamekuwa wanasema viongozi wa chadema wanaelimu ndogo. Naomba kuuliza kutoka kwa mashabiki hao wenye shahada the so called...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Bado naikumbuka ccm ya Mwl. Nyerere; wakati ule chama kilikuwa na maadili na miiko ya uongozi. Chama hakikuwa sahihi 100% lakini angalau kilikuwa kikimjali kila mtanzania. Wengi tulitegemea ccm...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa mtazamo wa haraka haraka katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, nimeshuhudia wanasiasa wengi wakishidwa kutimiza ahadi walizotupa hapo mwanzo. Na sasa wanarudi tena katika majukwaa ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dear JF Members, I know some of you, have much expectation in this year general election... e.g. expecting president coming from opposition camp or even thinking of better composition of...
0 Reactions
1 Replies
864 Views
Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu zoezi la kampeni na mbwembwe zote za wanasiasa.Mwaka huu inaonesha wapinzani kweli wamepiga hatua tofauti na huko nyuma.Swali langu kwa wana JF na wote...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama ni kuelezea sera mbona CCM wao 80% ya muda wa kampeni wanapiga miziki Kama ni kuelezea sera mbona CCM wanatumia muda mwingi kukejeri wapinzani(tutawachana) Kama ni kuelezea sera mbona CCM...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Gazeti la habari Leo limekuwa kama la Udaku kwa kuweka vichwa vya habari vinavyojaribu kumchafua Dr Slaa lakini nadhani nao wanataka kukataliwa na kuonekana Vipeperushi kama RAI, Mtanzania, na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kisa ni wakazi wa Kigamboni kuambiwa mpango mji unataka kubomoa nyumba zao. Fuatilia kwenye video hii...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom