Habari za kuvunjika vunjika zilizoifikia JIACHIE mapema leo (jana) asubuhi zinaeleza kuwa mmoja wa Wasanii wa muziki wa kizazi kipya,Fred Marik a.k.a Mkoloni (kulia) ambaye pia ni Mwanachama wa...
Dah,nimetoka mkutano wa ccm na bilal alikuwepo. Iringa wamechoka ccm na hawaoni aibu kusema hadharani kwenye mikutano. Hii ya leo AIBU, mama mbega lazma anataka kujiuzulu ni noma but encouraging.
Mimi najiuliza kama kweli Upinzani ukishinda je CCM watakuwa tayari kuachia madaraka??Au ndo kutumbukiza nchi katika vurugu je Upinzani unaweza kuongoza nchi??Je Kwa nini unadhani Jakaya Kikwete...
• Kisa, mitihani ya darasa la saba
na Mwandishi wetu
KAMPENI za Uchaguzi Mkuu wa rais, wabunge na madiwani zinatarajiwa kusitishwa kwa siku mbili ili kupisha...
Source: Michuzi Blog
Mkazi wa Matombo, Morogoro vijijnini Mashariki, akiinadi CCM
My take:
CCM ni Chama ambacho kila wanachama wa kada mbalimbali bila kujali dini, kabila, rangi wala...
Yes:
Nchi yenye zaidi ya miaka 45, imeshindwa kutoa quality presidentt material... hii inathibitika kwenye kampeni za siasa zailizo sasa. Tumeshindwa kubaki na sera, na ubora, sasa tupo kwenye...
Do we actually believe questioning Mwalimu is showing a lack of respect?
It appears so to us Tanzanians especially here in JF, no wonder we are in this state of dire poverty, and lack of...
WanaJF inabidi tukae tayari tujiandae nchi hii haitakuwa salama siku za mbeleni
Taasisi za kidini enzi za mwalimu zimekuwa kimya zikifanya mambo yake lakini baada ya kuingia utawala wa JK mambo...
Mwaka 2005 alikuja na kauli mbiu tamu sana, eti maisha bora kwa kila mtanzania. Nimeona sehemu nyingi, picha nyingi pamoja na maelezo ya watu wengi kuwa mambo sia kama walivyotaka iwe.
Mwaka huu...
Pasipo kutarajia,CCM inaweza kulazimika kuuambia umma kwanini mafisadi waliotajwa kwenye List Of Shame (orodha ya mafisadi sugu iliyowekwa wazi na Chadema viwanja vya Mwembeyanga) hawajachukuliwa...
MAALUM KWA WAKAZI WOTE WENYE KUMILIKI ARDHI NA NYUMBA PEMBEZONI MWA JIJI LA DAR ES SALAM NA MJIJI YOTE MIKUBWA.
Eneo lote la mkoa wa Dar es Salaam zamani lilikuwa na Vijiji vya Ujamaa 52...
Akinukuliwa na Clouds FM radio na Channel 10 naye amesema:
CHADEMA Hawajatumia lugha ya kistaarabu kwa mgombea wao
Adai hawawezi kukaa kimya Mwenyekiti wao na Rais akitukanwa
Adai wote...
MWENYEKITI wa kampeni ya mgombea urais wa CCM, Abdulrahman Kinana juzi alisema kwamba wapinzani hawana jipya.
Alitoa kauli hiyo wakati akimnadi kwa wananchi wa Arusha mgombea ubunge wa tiketi...
Dk. Slaa awindwa
• Mikakati ya kumchafua yashika kasi
na Asha Bani
MGOMBEA wa urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), hivi sasa ndiye anayeonekana kuwindwa...
Wadau nimepata hii habari kutoka kwa blog ya Michuzi. Hivi huyu Lyatonga ameugua ugonjwa gani au ni kweli kuwa alipandikiza ili aue upinzani?
Mwenyekiti wa TLP Mh. Augustine Lyatonga Mrema...
Leo nimesoma makala ya Privatus Karugendo nikaipenda sana na anachokizungumzia kina ni cha msingi sana. Kikwete Tunajua amekuwa akianguka mara kwa mara ambapo tunapata mashaka na afya yake. Huyu...
Wana-JF,
Gazeti la Mwanahalisi la leo ni moto wa kuotea mbali. Ndani ya stori yao kuu ya leo kuna habari kuhusu yale aliyoyatamka Marando katika Viwanja vya Jangwani siku ya Jumamosi hadi TBC...
Naona mpaka Judge Mkuu kaingia mkenge akizani video wanayo TBC peke yake. Sasa kwenye hii vieo kuna matusi gani jamani Wewe Tido Mhando ebu angalia? Makamba tuambie ni kipande ipi hapo ni matusi?
Kijichi Ward Chairman Jackson Gabriel (CCM) this week led a group of over 200 CCM members to allegedly defect to Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) when Chadema was launching...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.