Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mwenyekiti wa CCM Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na viongozi wa CCM wa Ubungo na Kinondoni katika ukumbi wa Ubungo plaza jijini Dar es Salaam jana. Rais jakaya Kikwete akihutubia...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Tunafahamu kuwa mgombea wa CCM,Jakaya Kikwete,ni mahiri sana katika kutoa ahadi.Wakati wa kampeni zake za kuwania urais kwa mara ya kwanza mwaka 2005 alitoa rundo la ahadi ambazo hata angekuwa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika hali inayoonyesha kuanza kushika moto kwa Kampeni, CCM imeonekana kubadili mbinu zake ambapo sasa katika mikoa ya kanda ya ziwa Maji aina hii yameanza kuingia mitaani yakiuzwa. Na...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Kitendo cha mtatiro kugombea ubungo kimeudhi wengi tukiwemo wanaharakati wenzie tuliokuwa naye pale chuo.kwani hukuwepo wakati mnyika anaibiwa ushindi na keenja? Sasa nawe umeweka ili utawanye...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Aonya wakibweteka wapinzani watashinda Awataka wajibu kero za wananchi Awaagiza Ilani wamwachie yeye Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wanafunzi wetu wa vyuo vikuu ni mafisadi na mazezeta.hawapiganii zaidi ya hela za mikopo.ona sasa hivi karibia wote hawatapiga kura na hatujaona kama hilo linawagusa.wameenda shule ila ujinga bado...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wachambuzi wa mambo ya kisiasa hapa Tanzania wanasubiri kuona kama Tendwa ataamua kujiwekea historia katika siasa za Tanzania kutokana na maamuzi atakayoyafanya kuhusu pingamizi alilowekewa...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Nimekuwa nikijiuliza sana, pamoja na ufisadi mkubwa uliofanywa na kikwete na CCM kwa ujumla ambao hakuna mtanzania yeyote anayeweza kupinga ,maana kila kitu kiko wazi na hata CCM wanakili kufanya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nilifurahi sana baada ya kumpigia jamaa yangu mwenye Number ya tigo...kwa kutumia Tigo na kusikia wimbo wa Kampeni wa CHADEMA "CALLER BACK TUNES" Wenye baadhi maneno yafuatayo "Huzuni kwa...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Mgombea wa Chadema ambwaga Malima baada ya kukata rufaa NEC. Zingine zinakuja! Source: Daily News | Chadema calls for head of Nyamagana returning officer By KATARE MBASHIRU, 3rd September 2010...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi Dr.Slaa atafanya nini baada ya uchaguzi??Cos muelekeo wa upepo unaonyesha hatakuwa Magogoni.Any idea???
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba kuuliza suala la babu seya.mawakili waliojitokeza kumtetea wako wapi?na hivi alifanya nini vile?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Bermuda company granted raw tanzanite export ban exemption? By Correspondent 4th September 2010 Email Print Comments...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wiki iliyopita chombo kikuu cha dola kilitoa matangazo yasiyo ya kawaida katika vyombo vya habari kuwa inatarajia kuajiri madereva wasio na idadi wenye elimu kuanizia darasa la Saba. Na wanaotaka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Kutokana na tabia iliyojitokeza hivi karibuni wananchi kurubuniwa na fedha na kutowapigia kura wazalendo wa nchi hii wenye kusimamia maslahi ya walala hoi. Je mnaonaje kuhusu hii poll naomba...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Kwa mpendwa Mama Maria (Mama wa Taifa ), Natumaini yubuheri wa afya hasa baada ya kukuona amemsindikiza mgombea uraisi kwa tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM) chama alichokiasisi na kukiongoza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwaka 2005 watu waliahidiwa maisha bora kwa kila Mtanzania. Wapo wengi walioamini hiyo ahadi lakini mimi sikuwa mmojawapo. Nilijua tu ni zile zile blah blah za kila siku. Sasa basi kwa vile...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
ILANI YA CHADEMA 2010-15 Ichi kibwagizo kama ni kweli JK hayuko serious “Hivi karibuni Rais wetu, Jakaya Mrisho Kikwete, aliulizwa na waandishi wa habari wa Jijini Paris, Ufaransa kwamba “Nchi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tume ya Uchaguzi Taifa umetengua maamuzi ya Msimamizi wa Uchaguzi Nyamagana na kuamua kwamba uchaguzi utaendelea! Seems funny though as the appeal was out of time and unprocedural! I will now...
0 Reactions
79 Replies
9K Views
Mtanzania yeyote Mzalendo wa kweli, mwenye akili timamu, asiye na mtindio wa ubongo, wala mtumwa wa hila chafu, wala udumavu wa kiakili, tena asiye na utando wa buibui wala tongotongo za ufisadi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom