Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kumbukumbu za Komred Ali Shetani I am not worried about “kibuki” because I may be an even more powerful shetani. In the streets, people sometimes even call me “Ali Shetani” as a joke. Ali Sultan...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Jana vyombo vya habari (hasa magazeti) vimepewa 'in CASH' shilingi za kitanzania Million 8 kila moja kuweza kuyavalisha magazeti yao covers kama inavyoonekana kwenye magazeti niliyoambatanisha juu...
0 Reactions
53 Replies
7K Views
Jamni mimi niko Arusha na tunapmbana kuhakikisha kuwa hawa Majambazi wanaondoka madarakani mwezi wa kumi mwishoni, upepo huku sio mbaya, kwa sababu kwa sasa ukiuliza watu kumi unaokutana nao watu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilijaribu kuangalia hii picha kwa makini sikuweza kupata jibu mapema. Nilifikiri jamaa yuko msikitini lakini hapa anasaini fomu za kugomea Urais Zenji mbele ya Jaji mkuu wa Zanzibar (Mh. Hamid...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kama ilivyo CHADEMA chama kisikivu tunaomba Timu ya Kampeni ya CHADEMA itupatie anuani za email za kuweza kuwasilisha maoni yetu kama wadau kuhusu mambo ushauri wetu kwa kuwa wakati wa kampeni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Haya ni baadhi ya matukio yaliyojiri katika ufunguzi wa kampeni za CHADEMA pale Jangwani: Jamaa wamefunika......Marin aokolewa katikati ya makucha ya wananchi wenye hasira. follow link for more...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Vipi, mimi ni mpya huku TZ, nilianza kuishi hapa kwanzia Januari. Afu, katika ya mooda mfupi nilikuwa huku, niliona TZ mukona party moja ,CCM, na watu wakona maoni tofauti kuhusu CCM. Nieleze ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, pengine nina mapangufu kidogo kuhusu katiba na ningeomba msaada wa kueleweshwa. Hivi karibuni Znz wamebadili katiba [marekebisho] na kuweka wazi kuwa ni nchi kati ya zile zinazounda JMT...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naona wanaCUF huku JF watakuwa wapo kwenye viwanja vya uzinduzi .Uzinduzi wao unarushwa moja kwa moja na TBC..Kuna vijana wametoa ghani tamu kweli za kuibeza chama twawala Kwa sasa anazungumza...
0 Reactions
134 Replies
8K Views
Nimejaribu kufatilia blogs, magazeti, tv nyingi, mitundiko yao yame-base sana kwenye umati wa watu., ili kujaribu kuwahadaa wananchi kuwa,chama husika kinapendwa. TBC wao hawaonyeshi kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana Jamvi Ugonjwa unaomsumbua Rais Kikwete uitwao "AHADIsm" umeendelea kusambaa kwa kasi na hali yake sasa ni mbaya. Wasaidizi wake wanaofuatana naye katika safari za Kampeini wameniambia...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifatilia mambo ya siasa, hasa katika kipindi hiki cha Uchaguzi. Nimekuwa najiuliza sana nini dhamira ya CCM. Kama CCM ina dhamira ya kweli ya kuleta maendeleo kwa wananchi wake. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wale wanaoweza watuwekee ilani za vyama mbalimbali ili tulio katika forum hii tuweze kufanya uchambuzi makini, tuache ushabiki wa majukwaani. Tukiwa na Ilani ndio tutajua mgombea gani anasema...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Slaa`s Top Six Agenda "The Guardian," Dar es Salaam, Tanzania By Polycarp Machira 29th August 2010 Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) launched its election campaign yesterday, by...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kumekuwa na habari kuwa mgombea wa CHADEMA alikumbushwa kuongelea masuala ya Uchumi. Wapo wanaotumia hii kama silaha ya mashambulizi. Lakini kwa miaka mitano mambo mbalimbali ya kitaifa yameenda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mgombea urais kwa tiketi ya NCCR Mageuzi Mh. Hashim Rungwe akionyesha ilani ya uchaguzi ya chama hicho. NCCR itaanza kampeni zake baada ya mfungo wa ramadhani.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama umaangalia kipindi kilichooneshwa na TBC1 mdahalo wa wagombea wote wa ubungo Mnyika, Julius na wa CCM na wengine Mama wa CCM alipoamka kuhitimisha alianza kuzomewa wa wasikilizaji waliokuwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Sipati picha imekuwaje leo Mtanzania linawafagilia Chadema kiasi hiki ambacho si cha kawaida? Pata udondozi wa Kichwa Kikuu Cha Habari: KAMPENI SI MCHEZO Dk. Slaa Naye "Afunika" - Ataanza...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Bwana Issa Michuzi alitoa maelezo marefu kuwa yeye hafungamani na upande wowote ingawa asilimia kubwa tunamjua ni kibaraka wa CCM ,informer fulani wa usalama . Sasa hivi iko dhahiri kuwa...
0 Reactions
61 Replies
7K Views
Nina tumai kwamba Jamiiforums inatekeleza dhana yake ya – WE DARE TO TALK OPENLY, kwa vitendio, na kwahiyo basi waratibu wake hawatafuta maswali yangu kwa wagombea Urais wa Chadema, CUF, na CCM...
0 Reactions
102 Replies
11K Views
Back
Top Bottom