Huyu sijui TAKUKURU wamemkosaje? Alikuwa anatoa rushwa waziwazi.
Shughuli zake hazieleweki vizuri na kuna malalamiko mengi dhidi yake toka kwa wananchi juu ya Ujambazi.
Hivi Millenium hii ya...
Sasa naona ccm wameamua kuhamishia kampeni zao kwenye magazeti
ya mwanachama wao shigongo kama ijumaa,risasi,champion,magazeti ambayo yanawadharirisha mama na dada zetu kwa habari zao za...
Nimeona kwenye list ya wagombea wa CCM kuna wagombea kadhaa ambao elimu yao ni shule ya msingi, swali langu je hawa wakiwa kwenye kamati za bunge wataweza kutusaidia? Mfano mikataba karibu yote...
........................................
CURICULUM VITAE(BIODATA)
Full Name: Willibord Peter Slaa.
Date and Place of Birth: 29.10.1948,Kwermusl,Mbulu,Tanzania.
EDUCATION:
PRIMARY: 1958-1961...
Hatimaye Mkapa aikana Kiwira
RAIS Mstaafu Benjamin Mkapa amevunja ukimya na kutoa kauli kuhusu tuhuma zinazomkabili za kununua mgodi wa makaa ya mawe wa Kiwira, akisema: "Hayo ni maneno ya...
Ukweli gazeti la Rai la leo tarehe 26Aug2010 limeniboa sana. Kwamba ni mwendawazimu tu ndie atakayempigia kura upinzani. Hoja yenyewe sio ya kweli zaidi ya upotoshaji. Kwamba wapinzani...
na Grace Macha, Moshi
UMOJA ya Makanisa ya Kikristo mkoani Kilimanjaro, umetoa waraka unaowataka wananchi kuchagua viongozi bora, huku wakisisitiza umuhimu wa kuchagua watu badala ya vyama...
LICHA ya sheria na kanuni za Uchaguzi kuzuia matumizi ya magari ya serikali, msafara wa mgombea urais wa CCM Jakaya Kikwete umetumia magari kadhaa ya serikali katika mikoa ya Mwanza, Geita na...
Wote tumeona jinsi JK alivyoanza kampeni yake kwa rafu kubwa (achilia mbali ishara ile (tafsiri utakavyo) iliyotokea Jangwani siku ya ufunguzi wa kampeni.
Rafu hizi, kama alivyoziainisha Dr...
Kuna habari kwamba waandishi wa habari hasa kutoka habari corporation wanatumika katika kampeni za kumnadi Rais Kikwete, na wale wote wanaokwenda kinjume na maslahi ya CCM wanafukuzwa katika...
Ukimya wa Reginald Mengi wa IPP, aliyewahi kuapa hapo nyuma kuwa moto aliouwasha dhidi ya wahujumu na mafisadi wa nchi hii kamwe hautazimika, unatisha. Kwa mbali nakumbuka hotuba ya Jakaya Kikwete...
To what extent i dont know....
On the morning of July 15, I spoke to William Mitchell Law Professor and
international criminal defense attorney Peter Erlinder about the grisly
assassination...
Rais Jakaya Kikwete
Na Waandishi Wetu
Wakati Shirikisho la Vyama vya Wanyakazi nchini (TUCTA) likidaiwa linajipanga kutoa tamko la kuwataka wafanyakazi wote nchini kutompigia kura Rais Jakaya...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KUJITOKEZA KWA UKIUKWAJI MKUBWA WA MAADILI YA TAALUMA YA UANDISHI WA HABARI KATIKA HABARI ZA UCHAGUZI MKUU
Kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu 2010...
Katika kinachooonekana kuwa serikali ipo hoi kifedha kwa mara ya kwanza tangu tatizo la kuchelewesha mishahara kuwa historia nchi hii ..watumishi wa uma wameanza kupigwa kalenda kupewa mishahara...
ALIYEKOSA nafasi ya kuwania ubunge katika Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Rachel Mashishanga, ametangaza kumuunga mkono Fred Mpendazoe anayewania ubunge...
Kikao kilichoitishwa na Katibu wa CCM mkoa wa K'njaro ndg. KAZIDI, wiki chache kabla ya kuanza kwa kampeni za uchaguzi na kuhudhuriwa na wanafunzi wa vyuo kadhaa vya mjini Moshi, kiliazimia kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.