TBC wanaoendeshwa kwa kodi yako wewe na mimi. Hawa ndio waliotumiwa na Rostam Aziz kuihusisha kwa nguvu zote CHADEMA na Kifo cha Wangwe.
Mnaweza kukumbuka mtiririko wa mambo waliyoyafanya. Hawa...
KATIKA MOJA YA KAMPENI ZAKE KIKWETE ALIDAI KUWA KTK UTAWALA WAKE HAJAWAHI KUTOA RUHUSA YA KUNYONGWA KWA MTU YEYOTE KAMA SEHEMU YA KUJINASIBU KWENYE KAMPENI ZAKE,KIKWETE KWANGU NI MNYONGAJI MKUBWA...
Arusha sasa hapakaliki, Lema anakata Anga na kuwa tishio kwa Buriani, Cha ajabu buriani badala apambane kiwachani anatafuta ushindi wa mezani kwenye tume ya uchaguzi. Analalama nini? si aendeleze...
Inanitatiza hapa. Inakuaje - katika vyama vikuu vya upinzani – CUF inaonekana kulala usingizi?
Hivi hili pingamizi Dr Slaa alilomuwekea JK kuhusu "hongo" kwa wafanyakazi CUF wao...
Waungwana ni nini kinaendelea? magazeti yote yaliyo mrengo wa kushoto kwa serikali website zake hazipatikani
www.freemedia.co.tz/daima
www.raiamwema.co.tz
www.mwanahalisi.co.tz
zote zina kama...
Wachambuzi wa mambo wanafahamu dalili zote za mataifa yanayoelekea kwenye anguko. Bahati mbaya zimeanza kuonekana hapa kwetu kwa miaka sasa na viongozi wetu hakika hawajaweza kuliuona hili ama...
Kwa muda mrefu elimu ya chuo kikuu imeendelea kudhalilishwa huku serikali ikifumbia macho jambo hili. Majoho tuliyozoea kuona wahitimu wa vyuo vikuu wakivaa miaka ya hivi karibuni yamekuwa mavazi...
Wapendwa wanaJF, ni yamkini tulifuatilia kwa makini tangu mbio za uraisi zilipoanza rasmi 20/08/2010 pale ambapo wagombea wote wa viti vya urais na wabunge walipotakikana kwa utaratibu, kurudisha...
CCM ni chama cha fitna na kimekuwa reduced such that everyting in CCM kina bei yake, hata uraisi. Ni chama kilichofilisika kisera na ndiyo maana kiko bize kununua affection. CCM na wapambe wake...
mkuu wa kaya ame ahidi kwenye kampeni kanda ya ziwa kuwa kuna barabara itajengwa
kwa msaada wa serikaili ya marekani, ziko wapi tsh 300 kwa lt ya mafuta zilizoingizwa kwenye bajeti ya zakia...
Kuna taarifa kuwa msafara wa mgombea kwa ticket ya CCM umepata ajali baada ya gari la ulinzi kupinduka.
Taarifa zaidi zinasema hakuna majeruhi makubwa ingawa imesababisha usumbufu mkubwa katika...
nimesoma kwa masikitiko makubwa sana kwenye gazeti la majira la leo kuwa jaji anasema pingamiza la dr slaa kwa kikwete juu ya kukiuka sheria ya gharama za uchaguzi ni gumu kwa vile anapendwa na...
Ndugu yangu Mtanzania
Nimeandika makala, ambayo ni wosia wangu kwako. Tafadhali usome, nimeyaambatanisha kwenye waraka huu.
Utakapotafakari na kuelewa nilichokuasa, tafadhali fikisha ujumbe kwa...
Majuzi Alhamisi nilikuwa sehemu nyakati za jioni hivi, nikasikia kwenye taarifa ya habari ya Redio Uhuru ikisema kwamba Mwenyekiti wa WAMA (ile Taasisi ya Fisti Ledi wa inji hii ya Bongo)...
Muda mfupi uliopita nimetoka kushiriki kwenye mdahalo wa kuandaa Agenda za Vijana za Tanzania tunayoitaka leo na baada ya uchaguzi kwa kifupi Ilani ya Vijana.
Mjadala huu uliandaliwa na Asasi ya...
Kwa bahati mbaya chama changu kimekuja na hoja nyepesi sana hoja ambazo hazipo kwenye ilani bali zinatoka kwenye vichwa vya wagombea wa chama changu kiasi ambacho naamini baada ya kutoka kumwaga...
President Kikwete has been having his lips dripping with the words of incompetence and unreliability since coming to power, and it's become nearly impossible to keep track of them all. With his...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.