Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wana JF, Last week rafiki yangu toka Arusha alinitumia hii takwimu alioichunguza zaidi ya kati 20 mjini Arusha na akaja na haya matokeo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Na 65,000 walipata sifuri...a record since independence...:becky::becky::becky:
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Kenya hatimaye imeandika ukurasa mpya katika historia yake, wenyewe wanasema new republic imezaliwa. Pamoja na mambo mengine wameondoa mikoa na kuleta majimbo ambayo yana madaraka ya kujiamulia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tupe asilimia ya sifuri sio 4. 4 ni 4 iwe ya 28 au ya 33 zote ni 4. Hoja ni sifuri sio 4. Sasa 4 ya 29 hadi 33 unaweza kufanyia nini? Unajua pass rates kwa level ya div one had div three ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dubo, CUF yazindua ilani 'ya elimu, matibabu' au CUF yazindua ilani 'ya uchuguzi'. Mbona mnatukanganya?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimepata habari leo kuwa Mhariri Mtendaji wa New Habari Corporation ambao hutchapisha magazeti mafu ya Rai, Mtanzania, The African, Bingwa, na Dimba kuwa ndiye Mratibu wa Kampeni za JK. Mhingo...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu, mjumbe hauwawi. Mnakaribishwa sana
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Serikali imekataa kabisa kujihusisha na utoaji wa elimu ya uraia haswa wakati huu kuelekea uchaguzi mkuu,wamefanya hivyo kwa malengo maalum,wanajua wapiga kura wengi ni masikini na wana njaa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati akiwa Mwanza kwenye kampeini za Chama chake Jakaya Kikwete alitoa ahadi ya Serikali yake kulipia pesa za nyanza zilizoibiwa karibu sh bilioni 5. Je kwa sheria za uchaguzi hili haliwezi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna vitu vingine akizungumza rais hata havipendezi kwenye hotuba ya jk mwanza jk alisema 'nataka wasanii wa tanzania wawe kama madonna,marehemu michael jackson, na beyonce...... I mean hata...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Aliposaini Sheria ya Matumizi ya Uchaguzi ya mwaka 2010, Mwenyekiti wa CCM Taifa, Jakaya Mrisho Kikwete, hakutambua kwamba sheria hiyo ingerudi na kumhukumu kwa kuwa kinara wa kuivunja. Akiwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Huyu mzee yuko wapi? Hajasikika toka alipotoswa na NEC ya ccm. Maskini alishajitabiria kuwa wanataka kumfanya grader; atumiwe kutengeneza barabara halafu ikikamilika azuiwe kupita juu yake! na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mzee John Malecela - pole sana kwa ajali ya kisiasa iliyokukuta, in fact hii ni ya pili. Ya kwanza kali zaidi ni ile ambayo ukaenguliwa jina lako na maswahiba wako wa karibu chamani - sababu kuu...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
WANAHARAKATI wa kada mbalimbali nchini, wameanzisha umoja unaojulikana kwa jina la Friends Of Dk. Slaa (FOD) kwa ajili ya kumsaidia kwa hali na mali kuhakikisha mgombea huyo wa kiti cha urais...
0 Reactions
66 Replies
7K Views
Nimekuwa nikijiuliza ni kwa kiasi gani mawaziri, manaibu waziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wanavyoweza kufanya kazi zao kwa ufanisi na hatimaye kutoa tija kwa taifa. Kwa maoni yangu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
JK: No going back on anti-graft fight President Jakaya Kikwete said yesterday, that the war against corruption must be intensified, promising that if elected he would further empower the...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Hivi karibuni kwenye hutuba ya kuvunja Bunge Rais Kikwete aliwatahadharisha wananchi juu ya kuwatumia dini wakati wa kampeni. Lakini cha kustaabisha makundi ya dini yamekuwa yakiripotiwa kushiriki...
0 Reactions
98 Replies
9K Views
Mwaka wa uchaguzi umefika, wakati tuliousubiri kwa miaka 5 kuwatia adabu wale wasiotusikiliza, wale wasiojali maisha yetu na wale wasiojali Tanganyika ya kesho ndio huu. Hiki ni kizazi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Anaanza na mishahara haitoshi! Kazi nzuri itv!Ebo! Kaingia makala kumbe kipindi! Ila kaongoea vema naona kapiga mahesabu ya mshahara wa mfanyakazi unatosha nauli tu! Ametoa na hesabu kabisa ila...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wengi tunajua historia ya Zimbabwe kwa takriban chaguzi mbili hivi Mugabe anashindwa na mpinzani wake wa karibu Tsvangirai. Kwenye uchaguzi uliopita pamoja na chama cha MDC kuwa na wabunge wengi...
0 Reactions
65 Replies
5K Views
Back
Top Bottom