Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Hivi tunaenda wapi na hii serikali yetu jamani.......? Mbona inasikitisha hivi
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Jakaya Mrisho Kikwete, amemtambulisha Mwalimu wa Kimataifa wa Ujasiriamali, Eric James Shigongo kwamba ndiye mpigadebe mkuu wa...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
There are fears for the health of Tanzania's President Jakaya Kikwete after he collapsed at the official launch of his re-election campaign. About 15 minutes into his speech, he slowed down...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
NIMEFANIKIWA KUWA MGOMBEA WA KITI CHA UBUNGE WA JIMBO LA KINONDONI, DAR-ES-SALAAM KUPITIA TIKETI YA CHADEMA. NILIZALIWA WILAYANI KINONDONI, NIKASOMA CHUO KIKUU CHA DAR-ES-SALAAM, NIMEJENGA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nasikitika kusema kwamba watanzania, tukiongozwa na viongozi wa kidini, kisiasa na mambo ya huduma ya jamii tumeng'ang'ana na kampeni ambazo tunajua kwa zimeshachakachuliwa na kusahau mambo muhimu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau – kuna masuala yananitatiza hapa kuhusu hawa wasimamizi wa uchaguzi ambao tunaambiwa ni wafanyakazi wa Tume ya Uchaguzi (NEC) kwa hivyo wako huru. Lakini pia tunajua hawa ni watumishi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Tanzania itajengwa na wenye moyo. Watu wanahujumu wazi wazi, lakini si mhasibu, Bunge au mkaguzi mkuu wa mahesabu aayefanya kazi zake kwa umakini fedha yapotea na kutumika isivyopaswa yaja...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Mwenzenu mie nina maswali kwa Kikwete. Natamani nimuone Kikwete popote, iwe ni Ikulu au safarini katika kampeni ili nimuulize maswali haya: Kabla ya kuanguka siku ya tar 21/08/2010 wakati...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Limited edition jakaya kikwete tshirts for sale. Available in green,black and yellow (small,medium,large and extra large) tzs 15,000 only get yours today.call 0719 37 31 31 to place orders.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TUCTA: JK amechelewa • Yadai amechelewa kutamka nyongeza ya mishahara na Christopher Nyenyembe KAIMU Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama ya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Nicholaus Mgaya...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
  • Closed
Habari zilizopatikana sasa hivi zinasema kwamba Dk. Slaa ndiye mgombea urais wa Chadema mwaka 2010. Kikao kilichomchagua Dr. Slaa kuwa mgombea urais wa CHADEMA More to come
0 Reactions
504 Replies
43K Views
Wiki iliyopita nilimwona katika TV Profesa Lipumba akiwa katika mkutano wa waandishi wa habari na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa ulioitishwa na Idara ya Maelezo kutoa maelekezo namna ya...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
RAIS Jakaya Kikwete amesema ni matusi anapoambiwa kwamba hajali maslahi ya wafanyakazi nchini, wakati serikali yake imekuwa ikiboresha maslahi ya wafanyakazi mwaka hadi mwaka na kusisitiza...
0 Reactions
87 Replies
7K Views
RAIS Jakaya Kikwete amesema, tangu aingie madarakani Desemba 2005, hajawahi kuidhinisha kunyongwa kwa mtu yeyote. Kikwete amesema, atatoa uamuzi wa kunyongwa au la kwa watu waliotiwa hatiani kwa...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Willibrod Slaa akiongea leo Na Waandishi Wetu MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wajibu Wa Wananchi Kwenye Uchaguzi Mkuu ZIKIWA zimesalia miezi michache kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Oktoba ni muhimu kwa kila mwananchi kujua jukumu lake katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Idadi kubwa ya wanafunzi wa vyuo vikuu, pamoja na wale wa sekondari nchini Tanzania wamenyimwa haki yao ya msingi ya kushiriki ktk kumchagua Rais wa taifa hili, atakaye waongoza kwa kipindi cha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naileta hii unedited...... Pengo aonya uhusiano wa mapadri na wanasiasa Imeandikwa na Martha Mtangoo, Dodoma; Tarehe: 22nd August 2010 @ 22:30 Imesomwa na watu: 16; Jumla ya maoni: 0...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Mapingamizi mengi yamefunguliwa na wagombea sehemu mbali mbali. Wagombea wa ccm walipomtuhumu mgombea wa upinzani kwa kumwekea pingamizi, yule aliyewekewa pingamizi ndie aliyetakiwa kuwakilisha...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom