Nilitoa changamoto kwamba nieleweshe ni namna gani tunaweza kuwa na mapato ya ziada yatakayoweza ku-accomodate mshahara wa kima cha chini wa Sh.315,000/=! Kama kawaida yao, hamna aliyejibu hoja...
Dont celebrate yet,Nec tells unopposedrunners
By Mkinga Mkinga
Its too early for unopposed parliamentary candidates to celebrate after their rivels were disqualified through...
1. Mpaka sasa kumekuwa na maswali mengi kuliko majibu kuhusu kuanguka kwa JK jukwaani, hasa nyakati za uchaguzi.
2. Kama kawaida wanasiasa Watz walishapata majibu hata kabla ya JK kuzinduka...
Wananchi wengi katika umati mkubwa wa watu waliohudhuria mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM kule Jangwani siku ya Jumamosi iliyopita walifika hapo baada ya kuliupwa kufanya hivyo.
Baadhi...
Uelevu wa watendaji wakuu wa Serikali ya JK kila wakati umekuwa ni kubabaisha tupu.
Katika tovuti ya Wizara ya Mambo ya Ndani http://www.moha.go.tz/ambayo inaongozwa na Msomi wa Sheria Laurence...
ni kawaida binadamu kutofurahia maanguko au mateso ya mtu mwingine waziwazi. lakini kwa nini hili la kikwete nachelea kumsikitikia?
ninazo sababu zangu nyingi lakini baadhi tu ni hizi
1...
Mojawapo ya faida alizonazo mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu ukiondoa kuwa yeye ni Rais ni ukweli kwamba yeye pia ni Mwenyekiti wa Taifa wa CCM. Hivyo, licha ya kwamba ni...
Kuna taarifa kwamba kikao kimoja kimefanyika leo na watu wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) wamepewa jukumu la kuandaa karatasi za ziada za kupigia kura na masanduku.
Kikao hicho...
SIKU tatu baada ya mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, kuishiwa nguvu wakati akizindua kampeni za Uchaguzi Mkuu wa chama hicho akiwa jukwaani, jana...
Wakati wa kuelekea kampeni za uchaguzi mkuu wa hapa Uingereza kulijitokeza tetesi za wasiwasi kuhusu afya ya aliyekuwa Waziri Mkuu Gordon Brown.Katika kilichotafsiriwa kama kukata mzizi wa...
TUCTA lakebehi kauli ya JK
Monday, 23 August 2010 11:48
Na Job Ndomba,Jijini wa Dar Leo
SHIRIKISHO la Vyama Vya Wafanyakazi Nchini (TUCTA) limesema kwamba kauli ya Rais Jakaya Kikwete kuwa ni...
:juggle: KAMPENI KUANZA KESHO KTK VIWANJA VYA JANGWANI.....MAANDALIZI NI KABAMBE.....TUFIKE TUSIKIE SERA ZAO...KAMA NI PUMBA AMA MCHELE.....nadhani personaly ntakuwepo kusikiliza namna...
Ndugu Watanzania, napenda kungia kwenye jukwaa hili kwa kujiuza hivi Taifa letu linaendelea kweli au tunarudi nyuma bila kujijua?
Kwanza kabisa najiuza Tunajenga miji ya aina gani? Inasikitisha...
Mojawapo ya mafanikio yaliyotajwa ambayo taifa limefikia chini ya utawala wa CCM ni kuboresha elimu. Hvi ndivyo elimu ilivyoboreshwa nchini. Huu ni mfano wa darasa moja tu. Hali hii inajirudia...
Kitendo cha yeye kusema kuwa hakuzikataa kura za wafanyakazi ni sawa na kutuona tusio na ufahamu.
Hotuba yake aliyoitoa akihutubia wazee wa CCM wa DSM tunayo.
HATUDANGANYIKI NG'O!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.