Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
inashangaza kuona rais aliyekaa madarakani kwa miaka mitano jinsi chama chake kinavyopata shida kwenye kulazimisha watu wamkubali mgombea wao kwa kuandaa mabango ya kila aina,kufanya kila aina ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Spin masters kama kawaida yao! Wanasema angefika Mwanza asubuhi mpaka sasa hivi hajafika bado sijui asubuhi haijaisha? Why not take a rest mkuu??????????????????
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Eti wakuu "Profesa na Mwanasiasa" ni nani zaidi "kibongobongo"?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana JF, ma hasa wale Waisilamu napenda kuwafahamisha kwamba kuna uwezekano mkubwa JK hakuwa ana mazoea ya kufunga Mwezi Mtukufu wa Ramadhani -- ila ameanza kutimiza nguzo hiyo miaka hii...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kitu kinachonikera kwa tv zetu zote hasa wa startv na TBC ni pale wanapoacha kazi yao na kujiingiza kupiga kampeni. Wanaeleza hisia juu ya chama fulani kuliko kufanya kazi ya kuripoti kile...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, anayewania ubunge katika Jimbo la Hai, amewekewa pingamizi kwa madai ya kukwepa kulipa kodi ya serikali inayofikia Sh. milioni 48.
0 Reactions
32 Replies
4K Views
wimbo wa harambee unaotumiwa na ccm utakuwa mzuri tu pale ile sehemu ya kuwachanachana na kuwatupa wapinzani itakaporekebishwa kwani inaweza kuleta hisia za ubaguzi kwa watanzania wengine...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF, tumeona jinsi Tume ya Uchaguzi (NEC) ilivyakazania kuvisainisha vyama (kwa maana ya viongozi wao wakuu) kwenye hati kwamba watafanya kampeni za kistaarabu, bila vurugu, bila matusi etc...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wanaJF, Ibara ya 63 na 64 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inataja wazi wazi Majukumu ya Mbunge ni "Kuisimamia na kuishauri Serikali kwa niaba ya wananchi wa Jimbo analotoka"...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukerewe seat MP, Gertrude Mongela. Bahi constituency in Dodoma Region, a CCM candidate, Badwel Omar, Singida Urban Davi Bulala. na mengine mengi.. Muimi naulizaa Hawa Wapinzani wapo serious na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mambo vipi wadau? nimesikiliza hotuba ya mgombea wa c.c.m kiti cha uraisi huko kirumba mwanza leo.................katika hotuba yake amesema amejitahidi kutoa nafasi mbalimbali za maamuzi kwa...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Mi naomba kuuliza hivi taratibu za kuchukua fomu za kugombea ubunge haziambatani na vyeti vya kuzaliwa? inakuwaje mpk Mgombea anaporudisha fomu na baada ya pingamizi ndo suala la vithibitisho vya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Closed
Wadau,tafadhalini sana kwa yeyote anayefuatilia kampeni za CCM Mwanza,kuna habari zimeanza kusambaa kwamba JK kaanguka tena.... tafadhali sana kama kuna anayefuatilia na akiwa na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Baada ya harakati za uchaguzi, mambo mbalimbali yamekuwa yakijitokeza, hapa tutakuwa tunaweka hints ya vituko mbalimbali vilivyojitokeza na vinavyojitokeza kuelekea Uchaguzi Mkuu wa October 31...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Serikali imetukumbuka tumepewa viwanja ndio tuko kwenye foleni hapa ofisi za SHIWATA ilala Bungoni. Kama kuna mwandishi wa HABARI aje anihoji sijawahi kuhojiwa na mwandishi hasa wa TV naomba mjee...
0 Reactions
67 Replies
7K Views
Ndugu zangu watanzania wenzangu (kama kweli mi ni mtanzania kwa mujibu wa CCM) Uchaguzi wa mwaka huu umegubikwa na wimbi la watu waliokuwa wanajijua kuwa ni watanzania kumbe kwa mshangao wao...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Mimi nikiwa kama mpiga kura, nimeamua kutomchagua KIKWETE, hata kama kura yangu haitasaidia kitu bado nitafurahi kuweka alama ya NO kwake!! Sabau zangu ni hizi hapa:- 1. Chini ya uongozi wake...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zitto Zuberi Kabwe amejipanga kikamilifu kulitetea jimbo lake la Kigoma Kaskazini na kurudi bungeni kwa kuweka program ya michango...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimewasikia kupitia vyombo vya habari kwa nyakati tofauti Katibu Mkuu wa CCM Yusuph Makamba na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara wakisisitiza kuwa CCM ina Wanachama Million 5 na kuwa hizo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa wanaopenda Masumbwi, bila ya shaka mtamkumbuka bingwa wa zamani wa uzito wa Juu Mohamed Ali ambaye umahiri wake umeacha historia. Bondia huyu anapokua ulingoni, huwa raundi za mwanzo harushi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom