Binadamu wenye ubinadamu tunasikitika sana na kumpa pole JK kwa kuanguka jukwaani akiwa kwenye kazi za chama. Tunamtakia afya njema rais. Hali hii imemtokea JK mara nyingi akiwa kwenye kazi za...
Jijini Dar es salaam, mgombea urais wa CCM, Kikwete ndiye aliyekuwa wa kwanza kurejesha fomu na alisindikizwa na mamia ya wafuasi wa chama hicho waliokuwa wamevalia nguo za rangi ya kijani na...
Nimeendelea kufungua threads nyingi za uchaguzi na kuzisoma, kinachonishangaza ni watu wengi kuwa na imani za gizani, ati CHADEMA ishinde uchaguzi wa kiti cha Urais bila maandalizi! Mimi nadhani...
Habari nilizozipata muda mfupi uliopita zinadai Mhe. Mohammed Dewji mbunge wa Singida Mjini ameshinda kesi iliyokuwa imefunguliwa na wapinzani wake na yeye kuwashinda katika pingamizi alilowawekea...
Wadau,
Kampeni ndio zimeshaanza rasmi.
Lakini nashangazwa na baadhi ya Tv stations na blogs maarufu hapa nchini kuonyesha habari za CCM tu kana kwamba ndio chama pekee cha Siasa hapa nchini...
Wakuu leo nimesikia asubuhi katika radio Wapo kuwa kuna baadhi ya majimbo wagombea ubunge wa CHADEMA hawakurejesha fomu zao hadi ilipofika jana kwa muda waliotakiwa.
Majimbo hayo ni pamoja na...
Ndugu wanaJF najua mnalichukulia kwa uzito mkubwa suala la kutenda haki katika uchaguzi wa mwaka huu. Naamini kuwa kwa kiasi kikubwa utakuwa mchango mkubwa katika kuwezesha taifa letu kukombolewa...
WANAFICHA UKWELI,WANALAZIMISHA WATU WAENDELEE KUCHOKONOA NA KUDADISI,HAWAPO MAKINI NA KAULI ZAO,WANA UPOFU WA FIKRA WA KUSHINDWA HATA KUKUMBUKA KAMA JANA WALIZUNGUMZA NINI NA LEO WANAPASWA...
Pichani wasanii mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari na watu wengine wakimimika hivi karibuni kwenda kuviona hivyo viwanja vyao vinavyodaiwa kuwa ni "FEKI"!
Angalia video hapa chini...
Nakumbuka niliwahi kusema kwenye Post yangu ya kwanini tumeamka sasa na sio simetime before kwamba tunahitaji rais anayemjua mungu na kumtegema mungu katika uongozi wake, anayejua kulitumikia...
Kwa nin hawa madaktari wanaoshughurika na afya ya JK wanapenda kutoa majibu mepesi, kila anapoanguka tunaambiwa sukari ilikuwa imeshuka, uchovu wa safari, tulimshauri apumzike akagoma, na...
Ndugu Wanabodi,
Katika Mchakato wa kutafuta wagombea Ubunge kupitia Chama Tawala (CCM), kumetokea mwamko mkubwa kutoka kwa wananchi wa kawaida kutaka ridhaa ya kuwawakilisha wenzao Bungeni...
Watu wanasema ukimwita mwanao Shida, Tabu, Mjeuri, Jinga atakuwa na tabia hiyo hiyo.
Sasa sisi tuna viongozi wetu wana majina wewe wacha tu.
Rais anaitwa Kikwete, kazaliwa kijiji cha...
Tena nahisi kwa mtu aliye makini, kibwagizo hicho ni tusi kwake! Ni tusi kwake kv mtu yeyote kupandikizwa kitu ambacho si sahii na kumtaka akiamini tafsiri yake ni kwamba umemuona juha! Kama...
In very vageu terms, general argument, generic terms and generalization of everything, Kikwete has asked Tanzanian of their votes to continue with his presidency.
No that I was expecting...
Hii michezo ya kuigiza itakwisha lini?
Watanzania tumechoshwa na michezo ya kuigiza, vyama vya upinzani vikuwa ni vichekesho vitupu, sisemi kwamba watanzania hatuna uchungu na nchi yetu au...
CRUSHING POVERTY - These kids are forced to perform what could easily be defined as one of the worst forms of child labour by helping their parents to crush stones into gravel for sale to builders...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.