Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
CHADEMA’s leadership is contemplating whether or not to field a candidate to contest a Parliamentary Seat in Mlele constituency , which Prime Minister Mizengo Pinda passed unopposed on CCM ticket...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Na Mwandishi wetu 12th August 2010 Barua mbili zilizoandikwa na Waziri Mkuu Pinda Mbunge wa Igunga...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Umaana wa kuwa na wagombea huru/binafsi ndio unaonekana sasa. Wengine tulipopiga kelele watu wakatuona kama "hamnazo". Sasa waliokaa kimya wanatamani kubebwa wakati kama kungekuwa na wagombea...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari zilizonifikia punde zimesema kuwa rafiki mkubwa wa MH. waziri mkuu mstahafu EL, Mheshimiwa Pelo amepatikana na kashfa ya kuleta mganga wa kienyeji toka mkoa wa Manyara na amekamatwa usiku...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana JF nimehaha kutafuta Ilani za Uchaguzi za vyama vya siasa bila mafanikio nilienda CCM nikaambiwa zinauzwa lakini mara bado mara anayeuza hayupo..nikatia timu CHADEMA nikaambiwa hazijatoka mtu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nionavyo ni kuwa wanafunzi wengi wamejiandikisha kupiga kura katika vituo vilivyo karibu na vyuoni kwao. Kitendo cha kufungua vyuo vya elimu ya juu baada ya uchaguzi hakutawanyima wanafunzi haki...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nilishatoa kwenye jf nia yangu ya kugombea ubunge kwa tiketi ya chadema mnamo may 2010, sasa baada ya kura za maoni kupigwa pale jimbo la lushoto mjini na shekifu kuibuka kidedea sasa naona njia...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hebu wana JF anayejua japo anijuze! Tatizo hili la kugawa mikoa na wilaya ni kwa manufaa ya nani au ni ongezeko la watu ktk hayo maeneo kama ndivyo mbona DAR hizo mikoa hazina wakuu wa kila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM wa Mkoa wa Iringa ambaye pia ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu John kilichoko Dodoma, Fadhili Ngajilo (32) amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
tangu Jumatano wiki iliopita nilikua Jijini Dar es salaam, na nikapata bahati ya kutembelea pale Ofisi za Habari Maelezo mtaa wa Samora, kilichonishangaza ni ule Ubao wa matangazo kujaa picha za...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndg zangu wana JF, Tangu nimezaliwa sijawahi hata kuwa monitor darasani lakini katika mshangao jana wakati natoka kazini nilikuta kamati ya wazee nyumbani ikinisubiri kunipa gud news kuwa...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Wana JF, Ninapenda kusema haya machache tuu kwa wafanyakazi wa TAKUKURU, Kuwa hii kazi yao waliyoifanya kipindi cha kura za maoni naona waliishindwa 100% kwanini, Ntaanza na maswali machache...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naona kata za KARIAKOO watakuwa wanaongoza kwa kufanyiwa uhuni kura za maoni na natabiri hawa watakuwa wanaongoza kwenye kuzirejesha kadi za CCM Ya nini kwenda mbai? Tafuteni chimbuko la DR...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Chanzo cha Habari hii ni Gazeti la Tanzania Daima;13 August 2010 walidai inaonyesha wazi kuwa chama kimekuwa na tabia ya kumbeba Chiligati kwa kuwa anayo nafasi kubwa katika chama hicho jambo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Link hii inaonyesha Shein na Bilal wakipita kwenye mitaa ya Zanzibar na Pemba "http://www.youtube.com/v/fw3L02j_lGM" Link hii inaonyesha Kikwete na Makamba wakimtaja kwa jina mgombea fulani...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Chini na juu tano barabara kujenga nimeamua magumu yamakuwa mambo kuona ya baada Juha mzee. chini na juu barabara nitajenga umepaa uchumi unasema matongotongo kutoa ya kabla asubuhi unaamka mtu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Was it not only yesterday that we couldn't open our mouths without endangering our lives? I recall vividly my life as a liberal, beer-drinking undergraduate who would be lovingly cautioned by...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Binafsi kauli ya TUCTA sioni kama inaniwakilisha mie km mfanyakazi wa Umma. Kiuhalisia katika mambo ambayo nilitarajia TUCTA ifanye si la kunishawishi nani awe kiongozi wangu bali kutetea maslahi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ingawa uchaguzi wa kura za maoni CCM umeshafanyika na mbunge anayeshikilia kiti hicho ndugu Abdulkarim Sha au BULJI alimshinda OMAR KIMBAU lakini katika kuonyesha kutoridhishwa kwa maamuzi ya...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam Juma Simba Gadafi (mwenye baraghashia kichwani) akijaribu kuwatuliza wana CCM kutoka Kata ya Mchikichini Ilala na Miburani Temeke...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom