RAIA MWEMA UGHAIBUNI
Maslahi ya umma ni zaidi ya vyote
Evarist Chahali
Agosti 11, 2010
MARA ya mwisho makala zangu kuonekana katika jarida hili ilikuwa katikati ya Juni mwaka 2008...
Propaganda:
Katika mazingira ya kisasa, propaganda ni njia inayotumiwa na vyama kujipatia wafuasi kwa kuwaambia lolote linaweza kuwavuta hata kama ni uwongo.
Je Tanzania tunahitaji idara za...
Ndugu wana JF, Jana nilipata habari kupitia TV zetu kuwa Bw. Tambo hizza akikanusha kilichochapishwa na MwanaHalisi, Lakini pia Mwanahabari Mhariri wa gazeti la MwanaHalisi Said Kubenea akisema...
Kwa ufupi:
Mzee Malecela amehakikishiwa nafasi na Lusinde katupwa nje vibaya sana na kudaiwa kuwa alidanganya suala la Elimu yake, Lusinde kakasirika sana kwa hali hii na huenda akachukua hatua...
Wadau,
Leo gazeti la Mwanahalisi limeripoti ufisadi mkubwa wa mabilioni ya mapesa unaofanyika Ikulu ukimhusisha Salva Rweyemamu. Ni kuhusu mapesa ya serikali kutumika katika kampeni za JK katika...
Kwa mujibu wa ratiba ya uchaguzi ya Chadema inaonyesha kesho trh. 12/8 kutafanyika Mkutano Mkuu wa chama hicho. Pamoja na mambo mengine tunategemea utampitisha mgombea wake wa urais Dr. Willibrod...
Sina hakika ni kwa kiasi gani zitasaidia, lakini naamini kwa wakati huu hata silaha ndogo inahitajika katika mapambano.
Siku hizi simu za mikononi zenye camera na uwezo wa kurekodi sauti na hata...
Kubadilisha Chama au Wanasiasa si tija ya kuleta mabadiliko ya kweli nchini Tanzania.
Kujipanga upya kupitia Vyama au kutafuta Wanasiasa wapya si njia bora ya kuleta mabadiliko nchini Tanzania...
Kutoka katika vyanzo vya kuaminika inasemekana matokeo ya Kura za maoni huko Monduli bado ni kitendawili kwani zimesharudiwa lakini bado hazijatangazwa na inasemekana kesho jumatano wanarudia...
Katika taarifa ya habari ya TBC1 saa mbili usiku huu, makamu mwenyekiti wa CCM bara Pius Msekwa amenukuliwa akisema kwamba Chadema wameanza kampeni kabla ya muda.
Kutokana na hilo, katibu wa CCM...
Zanzibar Kuwa Nchi
Na Hassan Shaaban, Zanzibar
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) inafanya marekebisho ya katiba ya mwaka 1984, ambayo yanaipa Zanzibar hadhi kamili kama nchi ndani ya Jamhuri...
Yeah.... najua nimepotea sana mtu mzima lakini nitaanza kuonekana jamvini kwa sana katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi. Hadi sasa sijaamua kura yangu ya urais nimpe nani na so fa...
Kwa jinsi walivyoongea kwenye kongamano lao sikutegemea kama hawa jamaa wangekuwa kimya hivi.
Mbaya zaidi walikuwa wanaongea fact, Mzee Makamba akawaita WEHU!
Nilitegemea wangeshaonyesha msimamo...
Nitafurahi na kuwa na amani sana kama kila kwenye mikusanyiko ya ibada zetu za ijumaa,jumamosi na jumapili hasa mwaka huu wa uchaguzi viongozi wa dini zote kutenga muda maalum wa kutoa elkimu ya...
Hoja ama swali langu linabase kwenye hii sera ya CHADEMA ya kuunga mkono serikali tatu, yaani ya Bara, Ya visiwani(Zanzibar) na ile ya Shirikisho (Umoja), sasa ikitokea Chadema wakachukua nchi na...
NI MWAKA WA MAPINDUZI MAKUBWA KWA KILA IDARA NA KUONDOKANA NA OMBWE LA UONGOZI LINALOSABABISHA KERO NA MATESO KWA WANANCHI,MAISHA NI MAGUMU KWA WAFANYAKAZI NA WATU WA KAWAIDA,TUCTA MTOE TAMKO KALI...
TAMKO lina gharama, tamko la Jakaya Kikwete kwa wafanyakazi limemgharimu uwezo wake kiuongozi, tamko hilo limemgharimu heshima, tamko hilo sasa linamgaharimu kisiasa, pia tamko hilo linamgharimu...
Vunjo ni jimbo lililopo mkoani Kilimanjaro, wilaya ya Moshi vijijini. Jimbo la Vunjo limewahi kuwa chini ya wabunge kutoka vyama mbalimbali vya siasa kwa nyakati tofauti. Anaye maliza mda wake ni...
UKIACHILIA MBALI VYOMBO VINGINE VYA HABARI,HIVI VYA UMMA KILA SIKU VINAZIDI KUWA VITUKO KWA KUEGEMEA UPANDE MMOJA NA TENA PENGINE HATA KMSHAMBULIA MTU TISHIO KWAO KWA MTU WAO KAMA WALIVYOFANYA...
Kila nikiangalia, naona JK anashindwa, au anawaonea haya viongozi wanaotuhumiwa na ufisadi. Kwa maana nyingine, anaonekana anawalea. Swali ninalojiuliza ni jee, anaomba kura ili aendelee kuwalea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.