Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Dr Slaa akiwa wodini Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Dk. Willibrod Slaa, amelazwa katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili. Blogu hii ilizungumza na Dk Slaa hospitalini hapo, akasema alilazwa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Ndugu wadau, huyu mwanaharakati amekuwa kimya sana kuelekea uchaguzi mkuu. Kuna taarifa zozote juu ya ukimya huu au anavuta pumzi kwa ajili ya kampeni ili waunganishe nguvu na Marando?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
ILE MISEMO YA KISWAHILI ISEMAYO "WA MBILI HAVAI MOJA" NA "HATA UKIOGA NA KUOGA VIZURI HATA MJINI HUENDI" IMEANZA KUJITOKEZA NDANI YA CCM BAADA YA HALMASHAURI ZAKE ZA WILAYA, MIKOA NA TAIFA KUANZA...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu naomba yeyote anayemfahamu first lady wetu ikiwa Lipumba anakuwa president wetu baada ya oct 31.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
MAANDAMANO, urudishwaji wa kadi na vurugu zimeendelea kutawala maeneo mbalimbali nchini kutokana na wanachama kupata taarifa kutoka ndani ya vikao vya kamati za siasa za mikoa za CCM zinazoonyesha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
UONGOZI wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania(Tucta) umeamua kuingilia uhuru wa wafanyakazi kwa kupanga kuwashawishi kumchagua mtu unayemtaka awe Rais wa Tanzania. Kaimu Katibu Mkuu wa...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
nimesikia habari kuwa dr slaa leo anachukua fomu za urais toka NEC!! nimefuatilia nimeona kama ifuatavyo.... 7.7.10 Kazi za Mkutano Mkuu wa Taifa ni:- (a) ............. (b) ........ (c) Kuteua...
0 Reactions
81 Replies
7K Views
TUCTA to ask for briefing from all presidential candidates By ROSE ATHUMANI, Daily News 9th August 2010...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Nimekuwa nikifuatilia historia za nchi mbali mbali kuhusu njia mbali mbali walizotumia na ambazo wanaendelea kutumia ili kupambana na rushwa. Mojawapo ya nchi hizo ni uholanzi. Wanasema hata wao...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Jamani mtalii wetu mtukuka yuko wapi? mbona kaachia ngazi kwenye daladala? Imepita muda sijamsikia akishika mchuma au kuzamia mtemba kutembeza ungo kukusanya unga, kauzu na mchunga! Je...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna tetesi kuwa Mhe. Kagasheki hivi majuzi akiwa safarini toka jimboni kwake kwa ajiri ya uchaguzi aligonga na kuua mtu maeneo ya Nzeha. Watoa habari wanasema pia kuwa tayari I.G.P Mwema...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
*Ahamishia Ofisi ya Spika wa Bunge Urambo Mashariki *Thamani yake yamduwaza Kikwete, asema nchi itafilisika Na Waandishi Wetu MBUNGE wa Urambo Mashariki, mkoani Tabora, Samuel Sitta...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Wakuu kama kuna mtu anayejua namna sera ya uongozi kwa majimbo inavyofanya kazi anijuze hapa... Inaonekana sera hii imeweza kuleta mafanikio makubwa katika nchi kama Rwanda na Finland...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Leo katika umbeya wangu wa kisiasa nimepitia tovuti ya The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage kuangalia taarifa za vyama vya siasa nchini, miongoni mwa vituko ni huyu katibu wa DP...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Slaa achukua fomu, hajathibitishwa Imeandikwa na Theopista Nsanzugwanko; Tarehe: 10th August 2010 @ 08:35 Imesomwa na watu: 356; Jumla ya maoni: 1 MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Hivi hakuna namna nyingine ya kupata uongozi km hizi tunazozitumia. Aina hii inagharama kubwa saana hata ethics wise ni tatizo saana. Ni lazima nchi iongozwe kwa utaratibu wa kisiasa au kijeshi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana jf naomba kuuliza swali ni yupi anafaa zaidi kuchanguliwa kuwa mbunge yule mwenye uwezo mkubwa wa kuibana serikali itimize wajibu wake kwa raia huku akiwa na uwezo mdogo sana wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hawa watu ni muhimu na kwa jinsi CCM ilivyowatekeleza, inahitajika wawepo katika kampeni ya Chadema
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Watanzania tumegubikwa na jinamizi la kuwafanyia siasa chafu watu wanaoweza kufanya maamuzi magumu yenye tija na nchi yetu. tumekuwa vipofu wa kuona yale wanayofanya viongozi hawa wenye bidii ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom