Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
I wish our words, writings would be translated into actions, Watanzania tu wanafiki sana, including myself. Everyone seems tired with the current system, but what have we done? Talk as usual...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau, Tumeshuhudia sisi wenyewe kwamba tangu JK na Makamba washike uongozi wa chama hiki kikongwe nchini, mwenendo wa chama hicho umezidi kudhoofika na kuwa wa hovyo hovyo tu -- ni kama vile...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Someone sent me, you can read if you want……… It has been long since our Humanity, Personality, Democracy & Resources being explored; the count down of almost 50 years has passed across with...
0 Reactions
0 Replies
884 Views
Ni dhahiri kwamba CCM ikipata mpinzani wa saizi yake inatikisika.Sio siri,tangu Chadema wamtangaze Dkt Wilbroad Slaa kuwa mgombea wao wa kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano katika Uchaguzi Mkuu...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Kitendo cha Kikwete kutokabidhi chama chake fomu ya kutafuta wadhamini bado kimekuwa kikihojiwa na baadhi ya wana-CCM walioonekana kuudhiwa na hatua hiyo ya Rais Kikwete kuonesha kukosa imani na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kupigwa kwa kura za maoni zanzibar juu ya kuwa na serikali ya umoja wa kitaifa kwa kiasi kikubwa ni jambo lililoleta faraja kwa wananchi wengi wa visiwa hivyo. Na huenda ikawa ni tiba ya matatizo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi kwa nini Chama cha Wananchi (CUF) kimekosa umaarufu kiasi kwamba kilikosa kiti hata kimoja bara 2005? Wabara wengi hawakioni kama Chama mbadala bali Chama Cha Waislamu kutokana na viongozi...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
CHONDE CHONDE CHADEMA, msije mkasahau kutumwagia sera zenu wakati wa kampeni! Wakati nikikumbusha hilo, vilevile napenda kukumbusha kwamba kKuna mwanaharakati mmoja (katika masuala ya upigaji vita...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
REDET walishazungumza mapema! Watu wakawakejeli kwamba eti wanatumiwa!! Gazeti la Tanzania Daima likadai eti REDET inatumiwa na Kikwete; kwamba REDET wanapotoa utafiti kuonesha kukubalika kwa...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Jamani nimesoma magazeti ya sikumbili tatu huyu mama ati anadai kaibiwa kura nahisi awakumchagua na ni mmoja wa waheshimiwa wa sasa wanaokimbia mashangingi ya uwaziri/unaibu anyway mama pole sana...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Siandiki uchochezi huu kwa sababu mjomba wangu kashindwa kura za maoni ndani ya CCM, naamini familia yetu haitateseka kwani alichochuma akiwa mbunge aliniambia kinatutosha kula kwa miaka 50 ijayo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Watanzania wamechoka na maisha kuwa magumu hawaoni direction ya maisha yao mbeya walishaonesha ukomavu wao wakampiga JK mawe. Je watanzania katika kuelekea uchaguzi watamzomea na kupiga mawe baada...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Mabadiliko Ya Katiba Visiwani Zanzibar Na Salma Said, WAJUMBE wa baraza la wawakilishi jana wamekutana na kujadili rasimu ya sheria ya mabadiliko ya katiba itakayowezeshwa kuundwa kwa serikali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamaa kwa Jinsi upepo unavyovuma sasa hv katika Siasa za Tanzania, kutona na Kura za Maoni ndani ya JF pamoja na Kura za Maoni zinazoendeshwa na Gazeti la Serikali ya Kikwete ni wazi kwamba Dr...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
I am watching live as the elections returns are announced and being desplayed on The television and other journalist..its is the first time in East Africa that a country is using these degital or...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa miaka mingi CCM kimejivuna kwamba ni chama kikubwa na chenye wanachama wengi zaidi ya vyama vingine, lakini ktk chaguzi hizi zilizopita, Ktk majimbo yote hakuna hata jimbo moja lililokuwa na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
nimekuwa nikifuatilia Vyombo vya Habali,, na kusikia Mgombea Mmmoja anapiga Campaign katika mikoa mbalimbali na Juma mosi alikuwa Jangwani DSM,, na nikajaribu kuulizia nikasikia ETI ANATAFUTA...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Dar es Salaam, Hussein Siyovelwa (Ilala); Kimangale Mussa (Segerea); Heko Pori (Ukonga); Shaban Mapeyo (Kawe); Shabaan Nassor (Kinondoni) na Mustafa Mungwe (Kigamboni). Tanga Mussa Mbarouk...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Leo nimeona kwenye Magazeti Julius Mtatiro atagombea Ubunge katika Jimbo la Ubunge kwa tiketi ya CUF. Huyu Jamaa nilikuwa sifahamu kwamba yuko CUF, anyway kila la kheri lakini Mnyika lazima...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Akizungumza wakati wa kutangaza majina ya wagombea wa nafasi ya ubunge na uwakilishi yaliyopitishwa na Baraza Kuu la Uongozi, Dar es Salaam jana, Profesa Lipumba alisema pamoja na umakini wa Dk...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom