Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Hamjambo Watu Wazuri, Nilisoma juu ya "ubuntu." Bado ni tumilia mazungumzo ya kila siku au ni oni ya historia tu? Nafahamu ubuntu kama "mimi ni mtu kwa wengine watu tu, mimi si mtu bila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi majuzi tu huyu bwana alisema yaliyopo hapa chini, wengi sana tukaumizwa kwa ulevi huu na jeuri. Tukajiuliza anatoa wapi jeuri ya kejeli hii? Je, watanzania, tutakumbuka ufinyu wa fikra...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wengi tumesikia jinsi vigogo wa CCM walivyotoswa katika kura za maoni... japo NEC ndo itatoa jina la mwisho.Zoezi hili la kuteua wagombea nafasi za ubunge kwa upande wa vyama vya upinzani nahisi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama kuna kitu ambacho CCM watakuja kukijutia maishani ni kitendo chao cha kubadilisha mtindo wao wa zamani wa kumpata mgombea na kuanzisha mtindo huu mpya wa kura za maoni wakati uchaguzi mkuu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kura zachomwa moto Singida Thursday, 05 August 2010 06:30 Na Kitiko Mpacha, Singida JESHI la Polisi mkoani hapa linawashikilia watu wanne wakazi wa Kijiji cha Iglansoni Kata ya Muhintiri...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Zipo taarifa za kuaminika kuwa tume ya uchaguzi mwaka huu haitawatumia tena walimu katika shughuli zake wakati wa uchaguzi mwaka huu. Badala yake tume imewachukua baadhi ya wanafunzi wa vyuo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Usipoteze muda wako umeshaumia kiasi cha kutosha, kataa kuendelea kuumia tena. Yote haya yatawezekana kwa kupiga kura yako na kuchagua CHADEMA. Kumbuka Dr. Slaa ni silaha yako ya kupambana na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanajamvi ni muhimu tukatengeneza slogan nzuri kwa ajili ya uchagu huu. Mimi napendekeza kati ya hizi moja itumike: KATAA CCM, KATAA UFISADI KURA KWA CCM NI KURA KWA UFISADI SEMA HAPANA KWA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
SMZ Yapendekeza Muundo Mpya wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Z`bar Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), imependekeza muundo mpya wa serikali ya umoja wa kitaifa, ambayo itaongozwa na Rais na...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Kweli uchaguzi wa CCM una mambo Baada ya wana kinondoni kutema upupu wa meya wao na huku sehemu aliokimbilia kugombea ubunge akimwagwa kama ana akili nzuri;aliekuwa meya wa jiji letu S LONDA...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani wasomi wa sheria(UDSM) ,i guess huyu hakimu ni gradute wa Law UDSM! Je kuna sheria yoyote ya kwamba personal debts between individuals inaweza kumweka mtu gerezani????????????????? Hii...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Ama kweli tungepata TARIME Kama 10 kati ya 25 hakika akuna uupuuzi wa CCM wangeufanya ...kwa walioona TBC mwenyekiti wa CCM tarime amesema ameshindwa kutangaza matokeo baada ya kukaa na wagombea...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
haijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa tanganyika rushwa nje nje, ngumi mkononi, takukuru kama chui wa karatasi. Wasimamizi wa mkutano wa wanachama wa CCM Kata ya Kigogo, Dar es Salaam wakimtoa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa mlioona taarifa ya habari ya tbc; pastor/rev/appostle wetu machachari ambae majuzi chombo cha sheria kilimhukumu miezi sita kabla ya kukamatwa kwenye street ametoka na kurudi tena uraiani...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Dk. Slaa abeba makombora 20 • CCM nao waandaa mamluki kummaliza na Waandishi wetu MGOMBEA urais kupitia Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), Dk. Wilbrod Slaa, ameandaa makombora...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Imeandikwa na Tumaini Msowoya, Iringa na Brandy Nelson, Mbeya Mwananchi August 3, 2010 MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chadema, Willibrod Slaa jana aliendelea kuvuta watu wengi kwenye mikutano yake...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Shibuda ambaye alijitoa kuwania kiti cha urais hivi karibuni kumpisha Rais Kikwete, anadaiwa kuwa katika wakati mgumu wa kuamua hatima yake kisiasa kutokana na matokeo ya kura za maoni na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Courtesy of GLOBAL PUBLISHERS Siandiki uchochezi huu kwa sababu mjomba wangu kashindwa kura za maoni ndani ya CCM, naamini familia yetu haitateseka kwani alichochuma akiwa mbunge aliniambia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ushindi mwembambaa alioupata hadi sasa aliyekuwa mbunge wa Ukonga, Makongoro Mahanga kwenye kura za maoni katika Jimbo jipya la Segerea umepingwa na wagombea wote 11 wa jimbo hilo. Inasemekana...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
this is the high season in which a massive exodus of politicians happens, its in this reason that i am starting this special thread to enlighten the general population and discuss politicians...
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Back
Top Bottom