Ni wazi kwamba baada ya kura ya ndio kushinda katika kura za maoni Zanzibar kutakuwa na serikali ya umoja wa kitaifa/serikali ya mseto baina ya chama kitakachoshinda na vyama vitakavyo shindwa je...
Ufisadi wa kutisha
Trilioni 1.7/- zatafunwa serikalini
na Edward Kinabo
SERIKALI ya Awamu ya Nne imeendelea kukumbwa na jinamizi la matumizi mabaya ya fedha za umma (ufisadi), baada ya...
Mshindi wa kura za maoni za CCM kugombea ubunge jimbo la Karagwe Nd. Gozibert Begumisa Blandes yuko mahakamani kwa rushwa.
Kesi hii ni ya mwaka 2007, ila jana mahakama imesema kulingana na...
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe jana akiwa kwenye Uwanja wa Manyema mkoani Kilimanjaro alizindua rasmi kaulimbiu ya chama hicho kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu, ambayo ni CHADEMA MWAKA 2010...
Kwa mtazamo wangu, hatua ya Msajili wa vyama kukataa kukisajili Chama Cha Jamii ((CCJ) imekuwa ni baraka kwa Chadema bila kila pande kujijua. Iwapo CCJ ingesajiliwa, moto wa Chadema usingepamba...
Rais Jakaya Kikwete leo amepatwa tena maswaibu yaliyomkuta Mwanza wakati wa kampeni 2005 akiwania kura za Watanzania huko Mwanza, safari hii siyo kwa kukabwa na Msukuma, bali afya kutetereka...
Nimesoma posts nyingi sana humu za baadhi ya watu na naona ni wale wanaompinga Dr. Slaa. wengi wao wanasema huyu ni mkatoliki mara ni padre n.k.
napenda kutoa angalizo kwa watu hawa...
Salamu wana JF wote,
Ukiiangalia Tanzania ya leo kwa umakini inaonekana kana kwamba mtu hawezi kuendelea bila kumrudisha mwenzie nyuma kwa namna fulani. Angalia nyanja zote unazozijua wewe, anzia...
PCCB decalred yesterday that investigations on CCM bigwigs and other members recently implicated in election related scandals will be completed before the forthcoming General elections...
Former Ugandan President Binaisa is dead
Kwa wale wanaokumbuka enzi za miaka ya 80, Mtamkumbuka huyu senior Queen's Counsel (QC).
Former President of Uganda Godfrey Lukongwa Binaisa QC...
January Makamba, mtoto wa katibu mkuu CCM na msaidizi wa raisi uandishi wa hotuba, ametangazwa kuwa mshindi katika kura za maoni jimbo la bumbuli baada ya kuwashinda wagombea wenzie kwa zaidi ya...
Ngome ya JK kusambaratika?
Na Waandishi Wetu, jijini - Dar Leo.
KATIKA ngome ambayo Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, anaishi na kufanyia kazi, Kivukoni...
Wandugu salamu,
Katika pitapita yangu nimekutana na hii.
ETI MWAKA HUU TUME YA UCHAGUZI HAITATUMIA WAALIMU KUSIMAMIA UCHAGUZI!
Je haya ni ya kweli? Na kama ni ya kweli, Je ni kuthibitisha kuwa...
Wakuu, nalazimika kuomba public plea kwa wapiganaji kadhaa ambao walikua chachu ya habari na mijadala hasa yenye kuelimisha members na non members wengine humu jamvini
Bado tunawahitaji, hasas...
Nadhani wengine bado hatujasikia...mfano morogoro mjini na maeneo mengine kama Zenj kule
Orodha ya wabunge waliochemsha CCM
Tuesday, 03 August 2010 22:12
MAWAZIRI zaidi, vigogo wa CCM na...
MKE wa mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA, Dkt. Willibrod Slaa, Bi. Rose Kamili aliyekuwa akigombea ubunge Jimbo la Hanang kwa tiketi ya CCM, ametangaza kujitoa kwenye chama hicho tayari kujiunga...
Habari nilizosikia asubuhi hii toka ndani ya udondozi wa magazeti katika gazeti la Nipashe ni kuwa John Malecela-Mbunge wa Mtera ameshauriwa kutogombea Ubunge tena katika uchaguzi wa mwaka huu...
Wakuu,
Toka nilivyosikia kuwa mwanasiasa na mwanasheria mkongwe nchini Mabere Marando kahamia CHADEMA, nimekuwa katika upembuzi yakinifu kutokana na historia yan nyuma ya mheshimiwa huyu.
Mabere...
Maskan kaka ya ccm ya kisonge iliopo unguja eneo la michenzani round about, ambayo kwa miongo mingi ikitamba kuendesha siasa zanzibar na kuamini kuwa wao ndio wenye nchi wako ktk hali mbaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.