Mwita Waitara Mwikwabe ameshinda kura za maoni za CHADEMA kwa kura nyingi dhidi ya Mbunge wa Sasa Charles Mwera, ambaye ni Mwenyekiti wa Halmashauri akimfatia. Nafasi ya tatu imeenda kwa John...
Stephen Ngonyani alias Prof. Maji Marefu amemshinda dokta Edmund Mndolwa kwa kula 12,441 dhidi ya 2,289 za Dokta Mndolwa. Naona bunge la safari hii lina watu kutoka 'matabaka yote'.
Zaidi soma...
Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Dk. Wilbroad Slaa akihutubia umati wa wakazi wa Mtwara alikoenda kutafuta udhamini
sehemu ya umati mkubwa wa wakazi wa Mtwara mkutanoni hapo
Mmoja wa...
Wakati wa uongozi wake Julias Kambarage aliwahi kutoa nasaha nyingi, miongoni mwa hizo nasaha kama vile kuwambia watu wake msije mkafanya makosa na kumpa urais John M.
Na miongoni mwa sababu...
Tumeona jinsi gani taifa letu linavyoendelea kuwa la takwimu na watu kuishi kutegemea takwimu ya watawala wetu bila kuzingatia hali halisi,ni kejeli na dharau ya hali ya juu kwa wafanyakazi kuja...
Wakuu mwenye CV/ maelezo ya kina kumhusu huyu Mchungaji aiweke jamvini tumfahamu huyu Mheshimiwa. Binafsi nimeshindwa kumuelewa/kumsoma ni Mwanasiasa wa aina gani
Katika gazeti la Majira la tarehe 04.08.2010, Bw. Paul Mhozya amepinga Mahakamani Kikwete kugombea Urais 2010 Kwa sababu ya matumizi mabaya ya madaraka na ufujaji wa fedha za umma katika safari za...
05 August 2010
Joyce Joliga, Songea
WAFUASI wa Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema Dk Willibrod Slaa na wale wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliokuwa wakisubiri kumdhamini Rais Jakaya Kikwete...
Mie ndiye muajiri mkuu nisikilizeni mimi, msimsikilize Mgaya (Kaimu Katibu
Mkuu TUCTA) mtafukuzwa kazi wala Mgaya hamtamuona! Mtapoteza haki zenu…akili ni
nywele kila mtu ana zake mtu...
Kweli huu ni uchaguzi wa mwaka ama wa historiah
Huko Tanga habari zinasema naibu meya wa ccm ameamua kujiuzuru baada ya kuona rafu za ajabu zikitendeka na wazi wazi uongozi wa juu ukibariki...
:crying:Wapendwa,
Kwa TZS 100,000 watu 100 JF tunaweza kuandaa mdahalo wa urais.
Muda wa kupiga domo umekwisha je? Tunataka na mwaka huu kusiwe na mdahalo kama 2010? Je unadhani kuna mtu...
Slaa awaambia wafanyakazi, Nazitaka kura zenu
Thursday, 05 August 2010 06:36
Baptist Mapunda,Songea na
Charles Mwakipesile, Mbeya
MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia...
Jully 2010
DONOR FUNDED PROJECTS
Hospital to benefit from Sh30m drug
IMA World Health has donated drugs worth Sh30 million to the Ocean Road Cancer Institute (ORCI) for treatment of burkits'...
Ukifikiria kwa haraka haraka, namna watu maarufu walivyoshindwa katika chaguzi za CCM unaweza ukahitimisha kuwa wananchi wameamua kubadilika. Lakini huu ni upande mmoja tu wa angalizo. Upande...
Nawashauri wapambanaji wa ufisadi walioangushwa kwenye kura za maoni wajiunge na vyama vingine na wakagombee ubunge kwenye majimbo ambayo wagombea wake ni utata
mfano:
Selelii akagombee igunga...
BAADHI yetu hatuna kawaida ya kuunga mkono wanasiasa kwa kiwango tunachoonyesha sasa kwa Dk. Wilbrod Slaa.
Wanasiasa ni vigeugeu; wengi ni wasanii na mafisadi. Watakutumia leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.