Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
25th July 2010 Waandishi wa habari wawili waliokuwa wakifuatilia mchakato wa kampeni za kura za maoni ili kuwapata wagombea wa udiwani na ubunge wilayani Mbinga kupitia CCM...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Mbunge wa Bukoba Vijijini anayemaliza muda wake, Nazir Karamagi Kashfa za Richmond na Buzwagi zimeendelea kumtoa jasho Mbunge wa Bukoba Vijijini anayemaliza muda wake, Nazir...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Waheshimiwa nimepata taarifa mda si mrefu kuwa ule umeme wa tanesco umeshindwa kupita kanisani kwa kakobe. Kama kuna mtu anataarifa zozote tunaomba mtujulishe.
0 Reactions
62 Replies
9K Views
Kwa kweli kelele za wana CCM kufisadiwa katika kura za maoni na wana CCM wenzao kuchukuliwe kwa tahadhari kwani wengi wanaolalamika wanajua chama kimezoea kufanya nini ili kupata unaoitwa "ushindi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nilifahamu juu ya mazungumzo ya baadhi ya uongozi wa juu wa CCJ na Chadema kwa muda kidogo; Yalitokana vile vile na ushauri wa watu mbalimbali kuwa CCJ iunganishe nguvu na Chadema. Hata hivyo...
0 Reactions
184 Replies
15K Views
  • Closed
Yes, yeye Malaria Sugu, na pacha wake Tumaini, na binamu yake Kanda2. Kwa kadri ambavyo mods wanayakubali yale wanayobandika hapa na kuacha yaendelee kukaa kwa miezi na miaka kadhaa (kitu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
WanaJF Nina mpago wa kurudi nyumbani kabla ya Uchaguzi ili nitoe kura yangu kwa DR Weapon(Slaa) juzi ndo nimesikia kuwa anagombea Urais. Niliposikia habari hii nilishutuka kidogo nikaona Dr...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimeipongeza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), kwa kuonyesha utendaji na uwepo wao hasa katika kufuatilia mchakato mzima wa uchaguzi kwa kuanzia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Na Mwandishi Wetu Mtangazaji anayekuja kwa kasi kwenye ‘field’ hiyo Zamaradi Nketema ambaye anapiga mzigo katika Kituo cha Radio Clouds Fm, naye ameamua kwa moyo mmoja kuingia kwenye siasa huku...
0 Reactions
19 Replies
11K Views
Ni mkakati wa CCM kuhakikisha watu hawapati elimu ya uraia hasa viijini,na wanatumia njia hiyo kushinda changuzi mbalimbali.Naomba tutumie njia mbadala kuhakikisha watu wetu walio vijijini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
22nd July 2010 Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa, amesema kitendo cha Jeshi la Polisi kukataa kutoa kibali kwa vyama vya siasa vinapoomba...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tangu wiki iliyopita Chama cha Mapinduzi CCM kimeanza Mchakato wake wa Kuwapata wagombea wake wa viti vya Udiwani na Ubunge, katika michakato hiyo watoa nia Mbalimbali wamekuwa wakipita katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kishatumbuiza Vick Kamata kisha wakatumbuiza wasanii wa TMK wakiongozwa na Juma Nature, wametinga mavazi ya CCM kwa raha zao. Sasa anatumbuiza Flora Mbasha, anaimba "Kikwete Kiongozi bora...
0 Reactions
204 Replies
18K Views
CCM ni chama cha Dhuluma, hili lipo wazi. Tumesikia tayari wagombea wa CCM wameshaanza kumwagiwa mchanga wa macho. Peter Msola (waziri wa mawasiliano) amefanya ghiliba ili awanie kiti cha Ubunge...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mbunge Limbu akamatwa, ahojiwa Diwani kortini, vigogo UVCCM matatani Nape alalamika kuhujumiwa Ubungo Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Nape...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Katibu mkuu wa ccm Yusuph Makamba SIKU moja baada ya kuripotiwa matukio rushwa katika mchakato kupata wagombea ubunge ndani ya CCM, chama hicho kimesema mgombea yeyote atakayekamatwa na...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mawaziri na baadhi ya watendaji wakuu wa serikali ya Rais Amani Abeid Karume wamekumbwa na hofu kufuatia upinzani mkubwa unaowakabili katika kutetea nafasi za ujumbe wa Baraza la Wawakilishi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Viongozi wa Kiislamu Zanzibar, wamesema wanaunga mkono Serikali ya Umoja wa Kitaifa na kusisitiza kuwa watabeba jukumu la kuzunguka visiwani na kushawishi wananchi kupiga kura ya ndiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Msajili wa vyama vya siasa nchini, John Tendwa, leo hii amefuta rasmi usajili wa muda wa Chama Cha Jamii (CCJ) baada ya viongozi wa chama hicho kushindwa kutimiza masharti ya usajili na wengine...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Na Ally Sonda, Moshi KATIKA hali inayoonekana kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekusudia kumng'oa Mbunge wa Moshi Mjini, Phillemon Ndesamburo (Chadema) ifikapo mwaka 2010, kimeamua kuutumia Umoja...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Back
Top Bottom