Mabere Marando anatarajia kujiunga rasmi CHADEMA akitokea NCCR Mageuzi
chanzo changu ni watu walioko karibu naye na kuwa atatangaza uamuzi huo muda wowote kuanzia sasa.
viongozxi wa vyama vigine...
Kibinafsi napata kichefuchefu ninapoona ushabiki wa vyama unaendana na kuvaaa nguo zenye rangi ya bendera za vyama.. Jamani hivi kasumba zimepitwa na wakati. hata hao wachina wa enzi za Mao...
KAMANDA mpambanaji wa CHADEMA john john mnyika anatarajiwa kuibua ufisadi unaofanyika kwenye jimbo la ubungo na manispaa ya kinondoni kwa ujumla habari hizo toka chini chini zinasema mbunge huyu...
WANA JF, JE KIMA CHA CHINI CHA MSHAHARA CHA TSH 135,000/= MNAKIONAJE? TAARIFA ZISIZO RASMI ZINASEMA SERIKALI IMEGOTEA HAPO HAITAKI KUPANDA HATA KUFIKIA 150,000/= NA KODI WAMESHUSHA KWA ASILIMIA 1...
Wakati tunaelekea katika uchaguzi dalili zinaonyesha kuwa kama vyama vya upinzani havijawa makini na kuweza kuja na ajenda ambayo itawawezesha kuaminiana na pia kujenga imani kwa wapiga kura basi...
Kila Mtanzania mwenye akili timamu,na mwenye uchungu wa dhati kwa nchi yetu anatambua kuwa miaka mingine mitano kwa JK ni mithili ya kuisukuma nchi yetu kwenye tanuru la vurugu na...
Wakuu tunapoelekea 2010, kuna kauli ambazo naomba mzifuatilie sana.
1. Nimeombwa na wazee, na wananchi wa jimbo fulani nigombee.
2. Baada ya kushauriana na watu fulani nikashawishika kuchukua...
Wadau nijuzeni... Hivi utitiri wa watu kutangaza nia za kugombea ubunge... ni hela za bwerere... Ni kuongeza wigo wa kuatamia fursa za mahela... Kujiongezea umaarufu hata kama watshindwa... Ama ni...
Msomi Ajitosa Udiwani Kata Ya Magomeni
1.Jengo la ofisi ya CCM Kata ya Magomeni.
2.Ndugu Ally Zawadi {kulia} ambaye ni mhadhiri(Lecturer) wa chuo cha usimamizi wa fedha {IFM} akichukua fumu...
Wana-JF wenzangu, nisaidieni, maana nimechanganyikiwa. Hivi karibuni vyombo vya habari, hususan magazeti, vimekuwa vikiripoti vituko, vurugu, umafia na ufisadi katika kampeni za uchaguzi za CCM...
Wanajamvi
Naomba tujipe changamoto ya kuchagua any Decsion Making Post/Position nje ya urais. Baada ya kuchagua tutaje vission/mission zetu katika kutekeleza kazi kazi hiyo post. Jaribu...
Wanajfnina kiu ya kujua nani atamrithi dk.slaa karatu.nia zaidi kuweza kufahamu jinsi chadema itakavyo weza kuweka mtu ambaye hatatuangusha,je kuna mwana jf anayefahamu? Help
Jamani kazi iliyobaki rahisi na tamu ni Ubunge tu!!
Wakati Mwenyekiti wa chama Tawala CCM alipokimbiza muswada wa sheria ya gharama za uchaguzi, leo CCM inazidi kujiingiza yenyewe kwenye tanuri...
Ndugu wana JF salaamu. Mimi si mwanasiasa, ila naomba ushauri/majibu kwenu.
Kutokana na taharifa zinazotolewa na vyombo vya habari, pomoja na baadhi ya post ambozo zimewekwa humu JF, nimekuwa...
Na Maggid Mjengwa,
ZAMANI sana kulikuwa na bendi ya muziki wa dansi ya Kiwanda Cha Urafiki. Iliitwa Urafiki Jazz Band, wana Chakachua. Naam. Wanamuziki wale waliweza kuchakachua ala za...
Tunapoelekea kwenye Uchaguzi Mkuu-2010; haya maneno ya Justice Scalia yanamaana kubwa sana kwa wapiga kura wote:
"[C]ampaign promises areby long democratic traditionthe least binding form of...
Je, kauli hii iliyowahi tolewa na Socrates PLATO, mmoja wa wanafalsafa bingwa wa kale wa Ugiriki,inatupa funzo lolote sisi wa Tanzania, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi...
Aliyekuwa miongoni mwa waasisi na mwanachama front liner wa Chama Cha Jamii CCJ, Mashaka Seif, asubuhi ya leo ametangaza rasmi kujitoa CCJ na kuhamia TLP, katika mkutano na waandishi wa habari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.