Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
MWAKA 1919, aliyekuwa Rais wa Marekani, Woodrow Wilson, aliugua kiharusi kilichopunguza uwezo wake wa kufanya kazi. Katika kipindi hicho, mkewe, Edith, inasemwa ndiye aliyekuwa akifanya kazi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mbunge wa zamani wa jimbo la ukonga Mahanga ameamua kurejea jimbo jipya la Segerea baada ya kuona maji yapo shingoni.. Kwa sasa akiwa na kiasi kikubwa cha fedha za kumaliza ubunge na uwaziri...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
HOPE DIES LAST Hayawi hayawi yamekuwa. Wengine walitucheka ila ninaamini kuwa JF tumechangia Dr. Slaa kubadili mawazo na kugombea. Asanteni wote waliojiandikisha hadi namba 95. Ila sasa...
0 Reactions
230 Replies
18K Views
Taifa la Tanzania halitaongozwa tena na wapiga ramli na washirikina. Kiongozi mzuri ni wewe chukua hatua sasa, fomu za uongozi kupitia chama BORA zipo hapa chini.
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Vifungu viwili vya bajeti ya wizara ya sheria na mambo ya katiba vimepangiwa shilingi milioni 900 kila kimoja kwa ajili ya mahakama ya kadhi. Wakipitia kifungu kwa kifungu, bunge wa la muungano wa...
0 Reactions
104 Replies
11K Views
Kampuni hii ambayo inatajwa kuwa inamilikiwa na mwanamama, kwa nini ipewe nafasi ya ukiritimba kwenye sekta ya kutengeneza nambari ya magari? Kipindi hiki cha soko huria, kwanini wawekezeji...
0 Reactions
37 Replies
12K Views
Vyanzo vya ndani toka Wizara ya Habari, Michezo na Utamaduni ambayo ndiyo inasimamia tasnia ya habari vinadokeza kuwa Serikali imechukizwa sana na makala iliyoandikwa na gazeti la Mwanahalisi...
0 Reactions
131 Replies
12K Views
Court backs S Africa exile vote BBC News Online Britain has a large South African diaspora community South Africans living abroad should be allowed to vote, according to a ruling by...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Wakuu,............Je nikiwasaidia wagombea cash hipo shida?au namimi nitafwa na takukuru??Pesa hii hapa!!!:usa:
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Inasemekana kuna mtu katoka marekani anakoishi amekuja kumpokea ubunge dr ngasongwa, kama kuna mtu anahabari zozote kuhusu jamaa tunaomba atujuze tafadhali. jamaa nasikia ni mtu mkali.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi naomba mnijuze kama Mh Basili Mramba bado amechukua fomu kutetea kiti chake cha ubunge Rombo huku kesi yake ya matumizi mabaya ya madaraka ikiwa bado yaendeleaa!!!! Kisheria imekaaje...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwandishi wetu “UFISADI umeishika nchi pabaya. Tukiendelea kuwa na wabunge legelege na madiwani legelege, watendaji wetu wa halmashauri wataendelea kufanya vitendo vya ajabu hujapata kuona...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
(This was my contribution in one othe threads in 'Tanzania 2010 election' forum but I think it should be new thread in this forum) Since I was born about four decades ago, now I see the light at...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Na Maggid Mjengwa INATUHUSU sisi Watanzania. Mnyama simba ana uwezo wa kumfukuza, kumkamata na kumla panya pori. Lakini, simba huyu atakuwa si mwenye busara kwa kutumia muda na nguvu zake...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
President Jakaya Kikwete has cited unfriendly international environment for Africa as a key factor accelerating poverty in the continent and suggested seven steps to get the continent out of...
0 Reactions
1 Replies
922 Views
Viongozi wa Tanzania na CCM elites wanasumbuliwa na Acquired Phd Deficiency Syndrome! Nimesome kwenye blogu ya Michuzi kuwa Msanii Chrisant Mzindakaya ametunukiwa Phd ya heshima toka California...
0 Reactions
52 Replies
10K Views
Nimekuwa nikufuatilia kwa karibu jinsi vyombo vya habari vya IPP vinavyoripoti matukio ya Raisi mstaafu wa awamu ya tatu, Mh B.W.Mkapa nikagundua kuna kachuki binafsi ya vyombo hivyoo na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
President Jakaya Kikwete has outlined seven reasons why Africa is poor, and suggested how the continent can overcome the grinding poverty it is grappling with. Addressing a high level meeting...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hii nchi kila kona inamtafunaji, ni mimi tu msamaria mshika maadili nimebaki na wengine wachache wanaonifanania. Source: mtanzania
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom