Here we go again :lying:
LOL! and of course he knows he will be gone by then
Tanzania plans to move capital to Dodoma in five years
15:48, July 14, 2010
Tanzanian President Jakaya...
Kwa ujumla sielewi sheria gani zinachukuliwa mtu akitaka kugombea ubunge,Labda mtu yoyote yule anaweza kwenda kuchukua form na kujaza basi,Sidhani kama kuna sheria zozote zinaangaliwa kama...
Tanzania ilirejea katika mfumo wa Vyama vingi vya Siasa mnamo mwaka 1992, toka kipindi hicho tumeshuhudia Chaguzi tatu 1995, 2000, 2005 na mwezi October 2010 tunatarajia kufanya Uchaguzi wa nne...
Nilishangaa kumuona dokii kwenye mkutano wa ccm,
mara flora mbasha mara marlaw........
Sijui kama ni burudani au ni kuganga njaa....
But honestly ....nimeona kama hawa wasanii wamejidhalilisha...
Ukiwa kama mwana JF ambaye unataka mabadiliko ya kweli kwa watanzania, leo hii JK anakuteua kushika wadhifa fulani serikalini au katika shirika la umma; je utakubali? Kama ndio au hapana, tupe...
Habari nilizozipata hivi karibuni ni kuwa kumbe JK alidanganywa na maafisa wa NICOL na kwenda kufungua kiwanda cha samaki Mwanza na baada tu ya kufanyiwa usaini wa kuonyeshwa process ya kuakata...
Ndugu wana JF
Mimi binafsi sijafurahishwa na vile Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ulivyotumika kuwananga viongozi na wanachama wa vyama vya siasa kwa kuitwa mavuvuzela...
WAKATI vyama mbalimbali vikijitokeza kuwania nafasi ya Urais, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakina papara ya kumtangaza mgombea wa nafasi hiyo mapema kwa kuhofia...
MENEJA Uhusiano wa Benki ya NMB, Shyrose Sadruddin Bhanji, amejitosa kuwania nafasi ya ubunge jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa lengo la kuwa...
The worst dictators named by US organisation
THE SRI LANKA GUARDIAN, June 22, 2010.
http://www.srilankaguardian.org/2010/06/worst-dictators-named-by-us.html
A US organisation which prepared...
Jamani
Mahakama ya Rufani Tanzania imetoa ukumu ya Naibu waziri Maua Daftrai kumlipa mdeni wake 100.7M aliyemtapeli.
Je kwa hili anastahili kubaki waziri. Kosa ni wizi wa kujiaminisha.
Wana JF,
Nilipita mikoani katika safari yangu na kwali niliyo yaona ni mengi sana esp. ktk kinyang'anyiro cha Ubunge kweli kuna makubwa sana mfano mtu yuko mwanza anataka agombee udiwani mwanza...
Natumai wakuu mpo salama,
Kuna jambo limeanza kujitokeza nadhani linaweza kutishia mtaala wa elimu kwani limekuwa linakuwa kwakasi kubwa sana. Hili si jengine bali ni suala la tofauti baina ya...
Ndugu zangu,
Nimeona kule kwa Michuzi kwamba eti Bunge la Tanzania limepewa msaada wa kompyuta, tena zenye thamani ya TShs Milioni 20 tu, toka kwa ubalozi wa Korea ya kusini!!
==============...
Na Muhibu Said
13th July 2010
Hii ni dalili kuwa kuna upungufu wa nakala za Katiba ya nchi na wananchi wana haja ya kujua katiba inasema nini hasa, ndio maana kumekuwa na...
Wakati kipindi cha maswali na majibu kikiendelea sasa hivi, Spika wa bunge Bw. SS alisitisha maswali kwa muda na kutoa kauli kwamba amekua akipokea malalamiko kupitia ujumbe kutoka kwa wabunge...
Eti huyo Pweza anayetabiri katika mipira, akijaribiwa kwenye uchaguzi wa Uraisi Tanzania, then Akaingia kwenye Kopo la Upinzani, CCM watakubali uchaguzi ufanyike kweli?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.