kama mtu kapoteza kitambulisho chake cha mpiga kura na tayari anayo Police Loss Report, afanye nini ku-replace kitambulisho chake? anaishi jimbo hilo hilo aliliojiandikishia.
Wadau, niliibabatiza hii kutoka stesheni flani ya redio flani asubuhi hii ktk mishe zangu za kuhemea..!
John Momose Cheyo(UDP): Ubunge ni wa wazee... nawashauri vijana wajenge maisha... waoe...
MKUTANO Mkuu wa Chama Cha Siasa, Tanzania Labour Party[ TLP] juzi kilifanikiwa kumpitisha Mutamwega Mugahywa kuwa mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho katika uchaguzi mkuu ujao.
Mkutano huo...
WanaJF nimekuwa najiuliza kwanini CHaDEMA mpaka sasa hawajatangaza Rais atakayechuana na JK au Chibuda etc. Kimya hiki kinanipa wasi wasi kinaweza kuwa kizito na cha kutingisha Medali ya siasa za...
na Mwandishi wetu
RAIS Jakaya Kikwete ameondoka nchini jana kwenda Hispania kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa kujadili maendeleo ya Afrika na nafasi na wajibu wa siasa za kimaendeleo katika...
Ndugu yetu Yohanna Mashaka kaanzisha mjadala huko kwa mithupu, ila kula vilaza wengi, napenda tu kujua kutoka kwa wachambuzi wa humu kama kweli kuna ukweli wowote humu ndani..
Source: Issa...
Nape katangaza kuwania ubunge kupitia jimbo la ubungo. Kati ya wagombea watano wa ccm waliotangaza nia ni wazi kuwa nape atapenyeza na hatimaye kukutana na kijana mwenzie, mnyika kwenye mchuano wa...
Ati mgombea mmoja wa urais waganga wake wamedhibitiwa na mmoja wa watu wake wa karibu kiasi kwamba ameambiwa hawezi kumtimua huyo jamaa kwa sababu akimtimua tu mambo yake yataenda kombo. Kumbe...
Jk alipo ingia madarakani mwaka 2005 mimi ni mmoja wa watu walio kuwa na matumaini makubwa sana na awamu ya tatu. Labda ilikua ni utoto. Labda kama wengine nili bumbuwazwa na ujio wa "raisi"...
Wapendwa wanaJF,
Wabunge waliomaliza ngwe ya kwanza ya awamu hii ya nne wanaranda sana majimboni kumwaga vijisenti ambavyo yumkini wamelambishwa toka Bungeni baada ya kutumikia Bunge kwa miaka...
Hivi kwa nini mtu mmoja agawiwe nyadhifa hizi mbili wakati kuna raia wema kibao wanaranda huku na huko kuyatafuta maisha bora kwa kila Mtanga na nyika (Mtanzania). Wana nini cha kipekee ambacho...
Dakika chache zilizopita Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe amewapokea waliokuwa viongozi wa CCJ, Richard Kiyabo aliyekuwa Mwenyekiti, Dickson Nghily...
Naomba kuuliza haya mazoea aliyonayo Rais wetu ya kukumbatiana na watu hayahatarishi kweli usalama wake? Hasa enzi hizi za zama za ugaidi (suicide bombers na Biological weapons terrorism) au kwa...
Najua wengi watajiuliza kwa nini nisiandike Simba Vs Yanga au CCM Vs Chadema. Nimeandika Simba na Yanga Vs CCM na Chadema kwa makusudi kabisa kujaribu kuoanisha mahusiano ya fani hizi mbili...
By LEVINA KATO, 15th July 2010 @ 00:51
THE Civic United Front (CUF) national Chairman, Prof Ibrahim Lipumba, has congratulated President Jakaya Kikwete for being nominated the CCM Presidential...
Ndugu wanaJF Bunge ndilo hilo leo lime vunjwa na kuashiria kuanza kwa kampeni rasmi. Kwa muda wa miezi michache serikali itaongozwa na watendaji wake wa kuajiriwa kwa maana wengi wa viongozi wa...
Nimekuwa nikifuatilia sana vipindi (miaka) ya chaguzi na kugundua kuwa fedha nyingi sana hapa Tanzania zinapotea kisa tu kufanikisha demokrasia. Naomba nieleweke, tatizo hapa sio demokrasia bali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.