Walikuwa wanatarajia kuandamana kuhamasisha wananchi wasichague CCM, Wanadai CCM iliwahadaa katika ILANI yake ya mwaka 2005 ya kuanzisha mahakama ya kadhi.
Afande kova anasema kuwa Mufti wa...
Kikao cha kuwajadili chaanza leo
Watawekewa alama za kukubalika
Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC
Wagombea 11 wa nafasi ya urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha...
Tatizo la Kikwete, ndiyoo.. huyu Raisi wetu..
Yeye anaaamini mtu yeyote yule anaweza kuwa Raisi, cha muhimu ni mbinu tu tena hasa mbinu chafu kama alizotumia yeye mwaka 2005 kuhonga wanahabari...
Mramba, Chenge `ruksa kugombea ubunge
Imeandikwa na Oscar Mbuza; Tarehe: 4th July 2010 @ 08:40
WAKATI kukiwa na shauku ya kutaka kujua iwapo mawaziri wa zamani, Basil Mramba na Andrew Chenge...
Waziri wa miundo mbinu amesema majuzi kwamba serikali imeanza mchakato wa kuiunda upya lile shirika la ndege la tanzania atc lililokuwa likilalamikiwa kila siku kukichwa...yamkini wengi wanajua...
-wapeleka tuhuma zake ccm na takukuru akuna kilichofwata
waanika ufisadi mzima wa viwanja
wasimulia kwa data anavyouza viwanja
watoboa anavyopata mamilion kwenye zabunu
wadai alinunua maua kwa...
wengi wa watanzania akili yao ni ya kutingisha, maana hainingii akilini kama akili yao iko standard ama lah,
we mtu anawezaje kuuza haki yake, tena kwa kulaghaiwa na furana, doti za khanga na...
Bunge la Tanzania likiendelea na mikutano yake
Kizito Noya, Dodoma na Boniface Meena Dar
WAZIRI Mkuu mstaafu, John Malecela amesema atafanya kila linalowezekana kuhakikisha kuwa Spika wa...
New African » July 2010
An election year anywhere in the world is usually a year when the government is compassionate to the electorate. With various players wanting to grab power and rule...
Natanguliza salaam kwa wana JF wote,
Kuna jambo limekuwa linanitatiza labda wenzangu mnaweza kunisaidia kupata ufafanuzi. Kumekuwa na utata mkubwa kuhusu jumla ya pesa ambazo serikali imepanga...
Watanzania uchaguzi umewadia ila nashindwa kuuliza kama tumejitayarisha kwani hata mwenyewe bado nina maswali. Uchaguzi huu naufananisha na ile nyimbo inayoitwa Tomorrow people ni kama muimbaji...
Seif: Nitatimiza Ndoto Ya Karume
Salim Said
KATIBU mkuu wa CUF, Seif Sharif Hamad ametangaza vipaumbele 10 katika uongozi wake iwapo atachaguliwa kuwa rais wa Zanzibar, akisema kuwa anakusudia...
Mkapa aliita awamu yake ya uwazi na ukweli lakini wote tunajua hakuwa muwazi wala mkweli. Pia alijiita Mr Clean lakini ukweli hakuwa na usafi wowote kwa kuhusika kwa karibu na kashfa nyingi ambazo...
Ni mzee wa miaka 88 sasa, lakini anakumbukumbu nzuri ya alichokiona Tanzania miaka kama nane baada ya uhuru wa Tanzania....
Hii ni mara yake ya tatu sasa kuja kuishi Nchini na mara zote huwa...
Habari yenu wadau a.k.a great thinkers wa JF, naomba tujadili kauli za kikwete alizozitoa jana wakati anarudisha form zake za kuomba awamu nyingine tena ya miaka 5. nilisikiliza kwa umakini mkubwa...
Habari toka kwa ka'nzi' ni kuwa mshiko wa nguvu umekuwa ukitembezwa kwa muda sasa kuwalainisha watendaji mbalimbali serikali na Bungeni ili kuhakikisha kuwa mabadiliko ya haraka hayatokei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.