Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wana JF Raisi wetu kila siku anatoa vioja, hivi ni afunike zaidi au adidimize zaidi. Ninahakika hapa hakumaniisha alichosema. source: HabariLeo | Nipeni mitano mingine 'nifunike' zaidi-Kikwete
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Tanzania zaidi ya uijuavyo, inaonyesha watanzania kampeni za namna hii ndiyo unawapata. Kwa kumbukumbu Raza si wa kwanza kuahidi kusacrifice mshahara wake! Raza: Mshahara wa urais nitawapa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wana JF, Katika pitapita yangu leo nimeweza kugudua kauli mbiu ya Mh Jakaya atakayo tumia katika uchaguzi mkuu mwaka huu kama ifuatayo: KASI ZAIDI NGUVU ZAIDI ARI ZAIDI TULIAHIDI...
0 Reactions
60 Replies
11K Views
jana wakati natazama taarifa ya habari ITV niliona hayo maaandishi kwa chini kuwa Jakaya sasa ni PhD holder. wadau mtuambie, since when? au ndio zile za online? au ndio zile za heshima?
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Mgombea pekee wa urais CCM HAKUNA shaka kwamba Jakaya Mrisho Kikwete ndiye mteule wa CCM atakayegombea urais baada ya kuwa mwanachama pekee aliyechukua fomu na ambaye anazirejesha kwa mbwembwe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani huyu akifukuzwa CCM atabaki mbunge gani tena, au ndiyo YES men and women watabaki???????? Tafakari SIKU moja baada ya Spika wa Bunge, Bw. Samuel Sitta kupata tumaini jipya kwa kuungwa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari nimerushiwa kuwa ndani ya kikao cha Halmashauri kuu ya CCM ,kinachoendelea akutoshi kati ya makundi ya waliotangaza nia ya Uraisi zenji na mafisadi wa bara. Ebu leteni data mlio karibu na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba maoni yako kuhusu hawa: Shamsi vuai na dr.shein
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ilikuwa katika mkutano wa hadhara wiki iliyopita hapo Dar. Lakini wao watafanya nini na Panya, kwa vipi na kwa muda gani wakiingia madarakani? Isije kuwa na wao wataamua kukaa vikaoni na panya na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kikwete amtema rasmi Lowassa Na Mwandishi wetu, Mwanahalisi * Amwandaa Karume kumrithi 2015 * Dk. Shein ‘kupewa’ urais Zanzibar * Lengo ni kumaliza makundi, fitina RAIS Jakaya Kikwete...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Jana iliripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari kuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya Mr II atawania ubunge katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya CHADEMA, na jimbo analowania ni Mbeya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM SCHOOL LF LAW (FORMERLY FACULTY OF LAW) STAFF SEMINAR ON THE COURT OF APPEAL DECISION IN HON ATTORNEY GENERAL v. REVEREND...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Thursday, 01 July 2010 Na Yusuph Katimba, Dodoma Majira SERIKALI imesema inachunguza tuhuma zinazomwandama Mtendaji Mkuu wa TANROADS, Bw. Ephraem Mrema yakiwemo madai ya kuendelea kubaki...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwandishi Wetu Raia Mwema Juni 30, 2010 Watakiwa kujieleza kabla ya uteuzi Wengi wahofia kukatwa majina WABUNGE 275 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameagizwa kuandaa taarifa za utendaji wao...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Serikali iko katika hatua za mwisho kutekeleza majaribio ya mpango wa pensheni kwa wazee wote nchini wenye umri wa kuanzia miaka 60 na kuendelea bila kujali kuwa walikuwa watumishi serikalini au...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa mlioona yule mwanafunzi wa form 3 ambaye aliamua kupanda kwenye nguzo ya umeme pale Ubungo kwenye mataa akilalamika uongozi mbovu wa serikali ya Kikwete hauna demokrasia inayostahili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
NIMEONA HABARI YA MTOTO KWA RAIS KIKWETE KUPATA UWAKILI KISHA RAIS AKAFANYA SHEREHE YA KIFAMILIA IKULU TENA AKITUMIA NEMBO YA TAIFA/SERIKALI/STATE KWENYE KADI YA MWALIKOAMBAYO INAMAKOSA YA KITOTO...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Wanabodi, Katika kipindi cha maswali na majibu ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu bungeni asubihi hii, imedhihirika kumbe Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, haitumiki Zanzibar hata katika...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Najua kipindi hiki cha uchaguzi wasanii wetu wa vikaragozi watatufundisha mengi na kutupa burudani safi kuhusiana na uchaguzi kwa kutumia vikarosi. Ninaomba thread hii itumike kutunza vikaragosi...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
baada ya malalamiko mengi dhidi ya mwanae Januari na kutokubalika katika jimbo la bumbuli, Mzee Makamba amedokeza huenda akaamua kuingia mwenyewe kwenye ulingo...mzee Makamba alinukuliwa akiyasema...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom