Mbunge wa Kawe, Rita Mlaki, ametangaza rasmi kutogombea tena jimbo la Kawe.
Rita Mlaki ametangaza kutogombea huko akiwa Bungeni mjini Dodoma, wakati akichangia makadirio ya Bajeti ya Miundombinu...
mbali na wananchi wa tz kuwa katika shida kubwa katika kipindi cha kwanza cha kikwete lakini ni umati mkubwa ulijitokeza jana kumuunga mkono mjini morogoro , sijui ni kwanini watu wamefurahisha na...
VOTE HAPO JUU,
HATA KAMA SIO MWANACHAMA WA JF UNAWEZA KUPIGA KURA
Hii ni Opinion poll ya JF kuangalia nani ni mwanasiasa maarufu na mwenye mvuto.
Majina yako in alphabetical order
Limitation...
Kwa hili tutapata wabunge watendaji japo awataweza kujitenga na ufisadi. Hapa atanafutwa panya wa kumfunga paka kengele. Tafakari
source:CCM sasa yawarusha roho wabunge wake
Zion train is coming our way;
The Zion train is coming our way;
Oh, people, get on board! (you better get on board!)
Thank the Lord (praise Fari) -
I gotta catch a train, 'cause there is no...
MM (Tanzania Daima Jumatano)
MANENO yanabeba maana. Wakati mwingine maneno yanaficha maana vile vile. Lakini wakati mwingine maneno yanakwepesha maana.
Ni jukumu la mtu mwenye akili kujua...
Ndugu wanaJF, kama mwezi hivi niliangalia TV wakati wa mjadala fulani. Kwenye huo mjadala, wachangiaji walichangia, pamoja na mambo mengine, kuwa inabidi matumizi yetu ya maneno yawe chanya...
Malecela kumrudisha Sitta kwenye uspika
Bunge la Tanzania likiendelea na mikutano yake
Kizito Noya, Dodoma na Boniface Meena Dar
WAZIRI Mkuu mstaafu, John Malecela amesema atafanya kila...
Magazeti mengi leo yameandika kuwa mbunge wa Kigoma kaskazini amusifu utendaji wa muungwana na hasa jinsi alivyo shughulikia miradi ya maendeleo huko Kigoma.
Wachambuzi wa siasa za nchi yetu...
Let me be too hard on these friends of mine today (TGNP,TAMWA et al)
Hata kama leo mtapewa 50% ya uwakilishi bungeni na huo upendeleo kwa asilimia kubwa lazima utoke CCM (iwe kwa viti maalum au...
TANZANIA: Kikwete struggles with CCM factionalism
December 2, 2009
SUBJECT: Challenges facing President Jakaya Kikwete and the ruling party.
SIGNIFICANCE: November saw deep divisions between two...
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe jana alikera wabunge wa CCM wakati alipotumia muda mwingi kusifia mafanikio yake jimboni lake katika kipindi cha miaka mitano.
Zitto, ambaye alikuwa...
SA diplomatic staff dodge traffic fines in UK
JENNI O'GRADY | JOHANNESBURG, SOUTH AFRICA
Jun 29 2010
South African diplomatic staff owe more than £600 000 (about R6,8-million) in unpaid traffic...
Jamani mkutano wa G20 unaendelea Canada! wakuu wa nchi hizi tajiri duniani zinaweka mikakati ya kukuza uchumi wa dunia na nchi zao. Nadhani Kikwete angekuwa yuko Canada angetumia muda huo kuomba...
Msanii wa Filam Tanzania Juma Chikoka ametangaza nia ya kugombea ubunge katika jimbo la Ilala kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi {CCM}.Juma chikoka ambaye ameshiriki movie nyingi kama vile My...
Moja ya sifa ya mbunge kwenye ibara ya 67 (1) (a) ni kuwa na uwezo wa kusoma na kuandika Kiswahili na Kiingereza, sasa je wabunge wote wanasifa hii? Na namna ya kuhakikisha sifa hii ni kuwapatia...
The RIGHT to VOTE and to be VOTED is Inalienable right,THE basic right of the Citizen.Anyone, anyone, who says otherwise, is deadly wrong and WE as the Citizen have right and duty to protect...
TANZANIAS FUTURE LIES IN THE POWER OF YOUR BALLOT!
Economics and politics have always been intertwined and inseparable. No politician has ever talked politics without talking economics, and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.