Wapendwa wan JF wenzangu, nimesoma gazeti moja la nyumbani TZ nikachanganyikiwa, kwanza kusikia makamu wa rais mzee wetu Dr Shein anakwenda kugombea urais zanzibar. Hilo pia nikaishia kukubali...
Pakistan to fire MPs with fake degrees
Pakistan's top court has given a landmark ruling, ordering authorities to fire those MPs who have qualified their election victory by holding fake...
juzi nilipanda gari moja na ndani yake kulikuwa na mjadala mkali sana kuhusu namna watz wasivyoridhika na utendaji wa serikali..... ulikuwa ni mjadala wa kuvuta sana tafakari kwani kulitolewa...
Nimekuwa nikifuatilia siku zote mambo mbalimbali yanayohusu nchi yetu hii kwa namna au njia mbalimbali iwe kwa kupitia vyomba vya habari au kwa kushuhudia mwenyewe, tuko wengi na mambo ni mengi...
WAKUU KWANZA POLENI NA MIHANGAIKO YA KILA SIKU YA MAISHA.
KATIKA PITAPITA ZANGU NIMEONA KUWA MH ABOOU AMBAYE NI NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA USHIRIKIANO WA AFRICA MASHARIKI AMEPATA MASTERS YA...
Mbona kimwa mkuu? au mnajipanga kumshtaki Msajili wa vyama?
Au mpo mezani mnashughulikia ushauri wa Mzee Mtei?
Sisi wapenda mabadiliko/mapinduzi ya kweli tunawasikilizia,
Taafaadhali isije kuwa...
Mustakabari wa Nchi yetu unachukua mwelekeo ambao si tu unatishia kuipeleka nchi katika mikono ya watu wachache lakini pia tuko katika ukingo au huenda tayari tuna kuwa remote controlled na watu...
CCM sawa na gari bovu, halitufikishi mbali
Dawa ni kurekebisha injini na kubadilisha dereva
MNAMO Novemba 2002, waziri wa zamani na mbunge wa miaka mingi, Jackson Makwetta, wakati...
Kikwete na 'Don Kings' wetu!
Johnson Mbwambo
Juni 23, 2010
AGOSTI 2008 niliwahi kuandika kuhusu suala la Rais Kikwete kujiruhusu kuzungukwa Ikulu na court jesters; yaani wale walamba...
Mwandishi Wetu
Raia Mwema
Juni 23, 2010
Nia ni kufuta ndoto ya Wazanzibar kutawala Bara
Hakuwa chaguo la wanamtandao mwaka 2005
Lowassa, Mwandosya, Membe, Masha watajwa kuwania
HATUA...
Kama Watu tunao, Ardhi tunayo, Siasa safi tunayo, na Uongozi bora tunao, kwanini hatuendelei? Wadau kama mnakumbuka vizuri, enzi za Mwalimu tuliambiwa kuwa, ili tuendelee, tunahitaji vitu...
kitendo cha Vuvuzela zinazopulizwa na kutoa mlio kama wa nyuki kushindwa kuisadia Bafanabafana kushinda mechi zake kwenye michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea Afrika ya Kusini, kumethibitisha...
Kuna habari kuwa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini TAKUKURU inafanya uchunguzi juu ya tuhuma za Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni mbunge wa jimbo wa Isimani mkoani Iringa...
RAIS Jakaya Kikwete wiki hii amefanya uteuzi wa mabalozi kwenye key stations ambazo kuna diplomats wa Tanzania abroad. Mimi ninavyoona, this was a missed opportunity kwa Rais kufanya maamuzi...
Rwanda arrests football head on way to World Cup
Brig-Gen Jean Bosco Kazura (Photo from Ferwafa - ferwafa.rw/fed) Jean Bosco Kazura served in Sudan's Darfur region
The head of Rwanda's...
Mjumbe wa Kamati Maalum, Mariam Ukiwaona Ditopile Mzuzuri ( kushoto)akiikagua kadi ya CCM ya Mwanachama , Mzee Athuman Mohamed Dume ( kulia) wa CCM Tawi la Fulwe, Kata ya Mikese, Wilaya ya...
Huu kama mwaka wa uchaguzi ningependa kupata maoni yako juu ya kitu kimoja ambacho ungependa serikali ya awamu ya tano ikipe kipaumbele. Jaribu kuwaza kama umepata nafasi ya kukaa na Wagombea...
Wednesday, 23 June 2010
By The Citizen Reporter
President Jakaya Kikwete has made new ambassadorial appointments with senior Foreign Affairs and International Co-operation ministry official...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.