Ni wazi kuwa wanaJF wengi hapa ni wapenda HAKI. Naamini kati yetu tupo tutakaopiga kura mwaka huu. sasa nauliza umejiandaaje kulinda kura yako mwaka huu. Kumbuka kuwa siku hizi haki haidaiwi...
KUELEKEA UCHAGUZI MKUU Kambi ya upinzani kuwaanika askari watakaoishabikia CCM
Imeandikwa na Shadrack Sagati, Dodoma; Tarehe: 26th June 2010, Habari Leo
KAMBI ya Upinzani Bungeni imesema...
Rekodi za bunge zinaonyesha kuwa hadi kuanza kwa mkutano wa sasa, Rostam ndiye mbunge pekee kati ya wabunge 322 aliyefanikiwa kuweka rekodi ya kuuliza maswali ya msingi 0, ya nyongeza 0, na kutoa...
Rage atangaza nia yake ya kugombea ubunge jimbo la tabora mjini
Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage akifafanua jambo wakati wa mkutano na...
Na Ezekiel Kamwaga
Imechapwa 26 May 2010
ALIPOUAWA mtawala wa Urusi, Nicholaus II, 17 Julai 1918, mauti hayakumfika yeye peke yake. Aliuwawa na watoto wake watano; Alexei, Olga, Maria, Tatiana na...
Katibu wa CCM wilaya ya Mbarali Bajoji amefariki dunia jana akiwa nyumbani kwao Kyela.
Aliumwa ghafla na juhudi za kumkimbiza hospitali hazikuzaa matunda. Inasemekana kafa kwa pressure.
Pole...
Jengo la Victoria House lililopo pembeni ya barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini, Dar es Salaam linalomilikiwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ambalo Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na...
ZANZIBAR should join the Organization of Islamic Conference (OIC) else the union government should compensate for what the isles is losing for not joining it.
Debating the Chief Minister's...
Bi kizee asafiri km 50 kupinga hotuba ya JK
* Amuonya asitumie madaraka yake vibaya
WAZEE zaidi ya 1,000 waliokuwa wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete juzi kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee...
The opposition also questioned the position of the Attorney General of the Union Government, saying it was not in the Union articles, as it has been questioning the use of Tanzania Mainland...
Wadau natumai umuhimu wa wizara ya fedha katika mustakabali wa maendeleo ya nchi yetu unaeleweka vema. ndio wizara mpangaji wa bajeti ya serikali na yenye uwezo wa kuelekezaa matumizi bora ya...
Wagombea wa CCM waweza kushinda bila ya uharamia na mchezo mchafu?
Imekuwa ni kawaida kwa CCM kwamba kila unapokuja uchaguzi (hata ule wa wao wenyewe ndani (internal party elections) huwa ni...
Wakuu habari!
CHADEMA imeendelea kujiongezea hazina ya wanawake wazuri wanaowania majimbo kwenye kinyang'anyiro cha Ubunge mwezi Oktoba mwaka huu.
Kati ya wanawake hao mmoja wao ni Leticia...
Inakuwaje mbunge ulalamike ati kuna watu wananyemelea jimbo lako! Kwani hilo jimbo umeliwekea "hatimiliki"? Nijuavyo mimi mtu anapopata ubunge, anadumu miaka mitano kisha uchaguzi unapowadia...
Diallo sues author Msemakweli for damages
By DAILY NEWS
THE Kisutu Resident Magistrate's Court in Dar es Salaam today ordered activist Kainerugaba Msemakweli to remove from circulation for...
GARI la Serikali aina ya Nissani Patrol lenye namba za usajili STK 4970, jana jioni lilinaswa na mpiga picha wetu eneo la Msamvu mkoani Morogoro likiwa na tenga la kuku juu ya tairi la akiba...
Watanzania wanalia, kina Mkapa wako wapi?
Baada ya kushindwa kutekeleza ahadi yake ya mwaka 2005 ya kuleta "Maisha Bora kwa kila Mtanzania" kupitia kauli mbiu yake ya Ari mpya, NGUvu mpya na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.