Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
HATUA ya Makamu wa Rais, Dk. Dk Ali Mohamed Shein kuingia katika kinyang'anyiro cha kuwania Urais wa Zanzibar, imeelezwa kusukumwa na wagombea Urais wa Jamhuri walioko Bara, Raia Mwema...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tatizo la baadhi ya viongozi wa umoja wa vijana wa CCM (UVCCM) kudanganya umri wao Limeendelea kutafuna Umoja huo. Katika tukio la karibuni ,mjumbe wa NEC kupitia UVCCM Edwin Sanda...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
katika harakati za viongozi wa CCM wilaya Lushoto kumnadi Bwana Januari Makamba na kuwashawishi wananchi kumchagua, kampeni za kabla ya wakati zinaendelea ikiwa ni pamoja na vipepelushi vyenye...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
...Wapenzi kadhaa wa Dk Bilal.... walisema kwamba wanatarajia mara hii jina la Dk Bilal litarudishwa kwa sababu alikuwa muungwana mwaka 2000 Kamati Kuu ya CCM ilipompitisha Amani Karume kuwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
  • Closed
Sawa nimeshauriwa kama nataka kumjadili Mbowe nifungue thread mpya, sasa hii kwa kuangalia hii NGO [au niseme SACCOS ya exclusive members?] CHADEMA nimegundua mgombea urais MBOWE ni bomu heri hata...
0 Reactions
1K Replies
124K Views
kweli nguvu ya mafisadi imeonekana jimbo Same mashariki, na ukiona Mama Ana kilango analalamika kiasi kile bungeni basi AMINI ni masikitiko kutoka moyoni kwake....hali yake jimboni ni mbaya sana...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Muda mfupi uliopita wanamuziki maarufu ndani na nje ya nchi Mr Sugu pamoja na Mkoloni wamejiunga rasmi na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA). Wanamuziki hawa walikuwa wametangaza...
0 Reactions
72 Replies
10K Views
Kwa kutambua umhimu wa elimu katika maendeleo ya binadamu, na kwa kutambua umhimu wa makuzi na ujenzi wa tabia ya mtu katika umri mdogo. Ningepata nafasi ya kuwa rais wa Tanzania kwa miaka 5 ijayo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salamu wana JF jamani naombeni msaada wenu wa haraka sana. nahitaji kujua idadi ya journalists waliopo katika nchi ya Tanzania Tafadhali kwa mwenye kujua anisaidie Asante sana:smiling:
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hili lilikuwa swali la MMKJJ kwa CHADEMA November 2009!! Naona MMKJJ mahesabu yake hayakuwa sawa!! kama anatumia kigezo cha KUFANYA NINI, Namuuliza, CCJ imefanya nini mpaka tuipe dhaman aya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
By: M. M. Mwanakijiji What we are witnessing right before our very eyes as we head toward the General Elections 2010 is a clear assault on Democracy in Tanzania propagated and carried with...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Imeandikwa na Sadick Mtulya VYOMBO vya dola nchini vinahaha jinsi ya kuua makundi ndani ya CCM ili kumtengenezea mazingira mazuri yatakayomuwezesha Rais Jakaya Kikwete kuongoza nchi bila ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
*Akerwa pesa kutumika kununua umaarufu Friday, 25 June 2010 Na Kitiko Mpacha, Tanga Majira WAZIRI Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba amesema pamoja na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuamua kura...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
WanaJF Katika kuelekea uchaguzi october 2010 JK ameanza kujinadi kuwa atawashughulikia mafisadi na kusafisha chama(hii ni danganya toto) Hizi ndo zilikuwa siasa zake mwaka 2005 mpaka sasa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Natumia inverted commas nikiwa na maana ya doubt kwamba tulichonacho hapa Afrika haistaili kuitwa demokrasia". Hivi hii demokrasia bandia ni nani aliyeileta Africa? CCM karibuni walikuwa wana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mh. Shamsi Vuai Nahodha Kasema akichaguliwa atwajanza Wazanzibari Mapesa.....Isije kuwa kama Mwenyekiti wa chama UDP alivyotaka kutujaza mapesa ila hukchaguliwa. Je Kama Vuai akichaguliwa ataweza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimesikitishwa sana kwa kupata ujumbe wa kutoa ni moyo! Changia CCM kuanzia 300, 500 na 1000. Nimehuzunishwa kwani mimi si mwanachama wa CCM na wala sina ubia na chama hiki kilichojaa unyonyaji...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Jamani je ni lini tutasikiwa ubalozi wa TZ unatoa masikitiko kwenye magazeti kama dada yetu kakatwa na mapanga na ubalozi unanyamaza kama hakuna lolote lililo tokea. Je ubalozi una kazi gani...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
JK: Ningeboronga CCM ingenitimua Atamba anajivunia rekodi yake ya miaka mitano RAIS Jakaya Kikwete amesema anaamini iwapo angekuwa ameshindwa kutekeleza kikamilifu Ilani ya Uchaguzi ya Chama...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
By Mkinga Mkinga THE CITIZEN Chief Justice Augustino Ramadhan and High Court Judge Mariam Shangali follows 2010/11 budget estimates presentation for the ministry of Justice and Constitutional...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom