Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Sitaki kusahau issue ya muhimu eti kisa Liyumba kaenda jela miaka miwili,hukumu gani hii inayohamasisha wizi wa mali za umma yaani ni nani ataogopa kuiba zaidi ya bilioni 200 kwa kwenda jela miaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo mahakama kuu ya kenya imetoa hukuma inayozipiga marufuku mahakama za kadhi huko kenya...katika kusoma wa kina nimevutiwa sana na maelezo ya chanzo cha kuwapo mahakama za kadhi .... Inaelezwa...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
RAIS mstaafu wa awamu ya pili, mzee Ali Hassani Mwinyi, maarufu kama Mzee Ruksa amesema kuwa hakuikandia serikali ya awamu ya nne wala kuihusisha na kukithiri kwa rushwa kwa kuwa rushwa ilianza...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau, miaka 5 ya kwanza awamu ya Rais Kikwete iko ukingoni. Kila kiongozi hupimwa na mazuri na mabaya yake ili aweze kuaminiwa na kupewa kipindi kingine cha uchaguzi. Viongozi wa Taifa letu tangu...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
KWELI MWAKA WA UCHAGUZI UNA MAMBO YAKE. JANA NIMEMSIKIA NAPE AKIELEZA NIA YAKE YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA UBUNGO HUKU AKIMPIGA VIJEMBE SHAMSA, NAPE ANAKUWA MWANACCM WA TATU (SHAMSA, ALFRED...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
1.dr slaa maji barabara vitongoji mpaka vijiji, 2, desamburu, mji kuwa msafi na wananchi kuwa na uelelwa wa mazingira yao, 3. wananfunzi wa masekondari kusoma buree kutokana na rasilimali za eneo...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Kule mtaa wa pili(Michuzi) kuna habari kuwa Liumba amepatikana na hatia na kuhukumiwa miaka 2 jela kwa matumizi mabaya ya ofisi. Wadau hii nayo imekaaje?
0 Reactions
122 Replies
13K Views
Kikwete atatembelea maeneo mbalimbali ya Dar kesho kuangalia matatizo ya maji yanayowakabili wananchi. Huu ni mwaka wa nne wa utawala wake na hatimaye amegundua Watu wa Dar wanamatatizo ya maji...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
The heading of this topic is a very interesting phrase and speaks volumes about the attitude of Tanzanians as a whole. We keep making the same mistakes everyday and everyday we give it the same...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Dini plus Siasa = HAPANA Siasa plus Dini = NDIYO NILIKUWA nimekaa mbele ya Kompyuta yangu nikiharii safari ya Mheshimiwa hendisamu kule USA, nilipojiwa na jamaa yangu ambaye alikuja kunitaka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
MAHALI popote duniani ambapo ufisadi umeshamiri, basi, gharama yake halisi hulipwa na maskini na matajiri waadilifu. Kwa kiasi kikubwa jamii ikikubali kuishi katika mfumo wa utawala wa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
ASKARI polisi na askari magereza hawataki kufanya maandamano na migomo kudai serikali iwasikilize na kuwalipa mishahara inayolingana na kazi yao. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Khamis Kagasheki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
And yet some guys think, tukiambiwa tumegubikwa na imani za kishirikina tunasingiziwa! Have a look on this one! Saturday, 22 May 2010 13:00 NI WALIOKUTWA NA VIUNGO VYA BINADAMU, MKUU WA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika pita pita.. nimekutana na hii, nadhani inatoka kwenye commercial fulani popular.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
KATIBU Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro, Hilda Gondwe anadaiwa kuomba auziwe kwa Sh6 milioni gari la serikali aina ya Toyota Landcruiser VX maarufu kama shangingi lililonunuliwa miaka mitatu...
0 Reactions
62 Replies
8K Views
Kaka William, kama tulivyoongea kwa simu, nakutumia details za huyo dada aliyepotea utuwekee kwenye blog ya jamii, na pia uitume kwa jamii ya watanzania waliopo Los Angels. Natanguliza shukrani...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Na Waandishi wetu, Mwanahalisi RAIS Jakaya Kikwete yuko hatarini kubebeshwa kashfa mbili kubwa, MwanaHALISI limegundua. Kashfa ya kwanza inahusu chaguo lake la Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani naona aibu, ati Rais anadai alikuwa anacheza kidali po na maaskofu na mashekhe kuhusu Takrima! Ukisikia mtu mzima hovyo, ndiye huyu anayelishikilia kasia la kuiongoza Tanzania. Yaani...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Kila mfanyabiashara atakiwa kutoa Sh. milioni 10 Lowassa aongoza kamati ya kutembeza ?bakuli? CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea "kuwakamua fedha" wafanyabiashara na wanachama wake mkoani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom