Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Baadhi ya wabunge jamani wanaitaji kupewa mazoezi muhimu ya kupunguza vitambi swala hili si tu litawasaidia kwenye afya zao bali hata kwenye kulinda ndoa zao katika swala la TLN...kila mtu anajua...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nadhani rais anahutubia viongozi wa dili live saa hii, kwa nyie wadau mnaoangalia mnaweza kutujulisha nini kinaendelea...asanteni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, John Tendwa Kauli ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, John Tendwa ya kutangaza kuipa kipaumbele Sheria ya Gharama za Uchaguzi katika...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Sikushangaa kusikia huyu bwana akiwa iringa kumtisha masauni ajiuzulu ai katumwa na mabwana zake vyombo vya dola.... Inashangaza sana kuona mzee mwenye umri kama huu akijifia mikononi mwa mafisadi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
HOFU ya kung'oana madarakani imegubika mkutano wa baraza kuu la ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) unaofanyika kesho, huku mwenyekiti wake, Hamad Yusuph Masauni, ambaye anadaiwa kuwa alighushi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa maoni yangu, CCM haiwezi kushinda uchaguzi bila ya kukupua tena mabilioni ya umma. Na hii ndiyo imekuwa siri kubwa kwa ushindi wa CCM hasa tangu uchaguzi wa 2000. Ni bahati mbaya tu siri...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
:mad:Wa-tz bwana.............ifungwe Taifa stars,full kulalamika,ITV,Channel 10 fukuza Maximo,..........wakiibiwa...........Mungu yupo!!!!!!!!Aaaaaaaaaaaaaaaaaagh,nendeni tena kwenye Tv mseme...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ningeweza kusema mengi lakini haitakuwa haki: Watembelee hapa: http://www.bafokeng.com/
0 Reactions
71 Replies
11K Views
Nimekuwa nikifanya tathmini kuhusu mfumo wa kisiasa uliopo nchini hapa, hususan sheria zinazohusu masuala ya chaguzi za kisiasa, kuanzia ngazi za serikali za mitaa, hadi ubunge na urais, na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Pia apinga kuwepo ukomo Mbunge wa Mbeya Mjini, Benson Mpesya. Mbunge wa Mbeya Mjini, Benson Mpesya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu wana JF binafsi sija wahi kuchangia kwenye swala la mgombea binafsi. Kwa sababu tunaelekea uchaguzi mkuu nimeona huu ni muda mwafaka kwangu kutoa maoni yangu kuhusu hili swala. Naomba wana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni Juha Tu Ambaye Haambiliki! SAFARI moja Juha alikaa mwisho wa tawi la mti, akilikata tawi hilo kwa kutumia msumeno. Akapita mtu mmoja akamtahadharisha kuwa kitendo alichokuwa akikifanya ni cha...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Vyama viwili vya siasa, vimefutwa katika daftari la Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, kutokana na kushindwa kutimiza masharti ya usajili. Vyama hivyo ni People's Democratic Movement (PDM) na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zilizonifikia sasa hivi ni kwamba Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kyela bwana Japhet Mwakasumi amefariki dunia asubuhi hii. Mungu ailaze mahali pema roho ya marehemu.
0 Reactions
18 Replies
3K Views
An arm to Blackmail Kikwete The new party CCJ could become a gathering point for MPs disillusioned with President Jakaya Kikwete but who do not want to join the opposition. The party Chama...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
There are a lot of people who think that the absence of Nyerere in present Tanzania is the source of all problems we face.I detest that,and i feel we have to move beyond that.He was good...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
CCM haitadumu chaguzi mbili kukiwapo tume ya uchaguzi huru. Hivyo ndivyo inavyoonekana kwa sababu haitaki kata kata kuwapo kwa tume ya aina hiyo. inashinda kwa sababu ya tume hii ya sasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MBUNGE wa Arusha Mjini kwa tiketi ya CCM, Felex Mrema jana alihojiwa kituo cha polisi kwa zaidi ya dakika 40 kwa tuhuma za kumtishia maisha mwandishi wa habari. Habari zilizolifikia gazeti hili...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
By ThisDay Reporter 18th May 2010 CONTROVERSY over the dubious privatisation of the Kiwira coal mine in 2005 has resurfaced following claims by former President Benjamin Mkapa that he had no...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
MWENYEKITI wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amewapuuza wanasiasa wanaobeza hatua yake ya kutangaza nia ya kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu ujao, akiwemo Katibu Mkuu wa CCM, Bw. Yusufu Makamba...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom