We differ in our views when it comes to the politics of our country but, we're going to elect new leaders on all levels of the gov. What do you think we should consider in this coming election...
CHAMA Cha Jamii (CCJ), jana kilishindwa kuwasilisha kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, maombi ya usajili wa kudumu na kitendo hicho sasa kitafanyika mapema wiki ijayo.
Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa...
Whose Slave Plantation is it Anyway? A Critical Reading of Wole Soyinkas Distinguished Nyerere Lecture on New Imperialisms
My observation which I fully expect will be strongly...
Tulimshuhudia Kikwete akiwakaripia wafanyakazi (TUCTA) pamoja na vitisho vingi dhidi yao na kuhitimisha kwamba hazihitaji kura zao (kama vile tayari ameshachaguliwa kuwa mgombea wa urais na chama...
Ni muda mrefu sasa uwakilishi wa wananchi hasa bungeni hauna mwongozo (uregulated). Raia mmoja anaweza kuwa mbunge kwa zaidi ya miongo minne. Ni ukweli usiopingika kuwa mwakilishi wa wananchi...
MWENYEKITI wa UVCCM, Hamad Masauni Yussuf, anadaiwa kughushi cheti cha kuzaliwa kwa lengo la kudanganya umri ili aweze kupata nafasi ya uongozi.
Anamiliki cheti cha kuzaliwa bandia chenye namba...
WAHISANI wamepunguza mchango wao kwenye bajeti ya serikali kwa mwaka 2010/2011 kwa sababu mbalimbali, ikiwamo kasi ndogo ya serikali katika kutekeleza mageuzi katika sekta za umma.
Taarifa ya...
RAIS Jakaya Kikwete amesema utekelezaji wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi hasa katika kipengele kinachokataza takrima, ni mgumu.
Rais Kikwete alisema hayo jana alipokuwa akizungumza na viongozi wa...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku cheti maalumu Katibu Mkuu Kiongozi Philemon Luhanjo kwa kutambua mchango wake katika kufanikisha kwa ufanisi mkubwa kufanyika kwa mkutano wa World Economic...
Yadaiwa ni mkono wa mtu
Aliugua gonjwa la ajabu
Alikataa kubadili nia hiyo
Jiji la Mwanza lazizima
Mwanamke aliyekuwa ametangaza nia ya kuomba uteuzi wa kugombea ubunge katika jimbo la...
Katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika mji wa Moshi yametajwa majina ya madiwani 12 wa CCM ambao wamengoza kwa kutoa, kutetea na kunyamazia hoja zinazodhoofisha maendeleo ya Moshi...
Chama kipya chenye usajili wa muda cha CCJ ambacho ni mbadala wakiitikadi, mwelekeo, mfumo na uongozi wa CCM kitafanya mkutano na waandishi wa habari Alhamisi Mei 13, 2010 majira ya saa saba...
Wakati akiwahutubia wazee wa ccm wa mkoa wa dar es salaam kuhusu mgogoro kati ya serikali na tucta ni dhairi kabisa mhe. Rias alionekana ni mtu mwenye jabza, asiyejua utawala bora na aliyolewa...
Kumekuwa na mjadala mpana kuhusu Dk. Wilbrod Slaa, Mbunge wa Karatu na Naibu Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni kugombea Urais mwaka huu ili apambane na Kikwete wa CCM.
Kwa maoni yangu, Slaa...
Zote hizi ni kwa mwezi:
[24 x 2,422,000 =
21 x 2,046,000 =
27 x 2,080,000 =
1 x 4,850,000 =
1 x 4,850,000 =
323 x 1,921,000 =
127 x 1,921,000 =] [12]
The process is also known as "the order...
Nyerere aliwahi kusema hivi "mtu akiwa anajua kuwa una akili timamu, akakwambia kitu cha kipumbavu na akajua unajua ni cha kipumbavu na ukakubari, atakudharau"
Leo hii tunapojiandaa na uchaguzi...
MIONGOZO iliyotolewa na madhehebu ya dini za Kiislamu na Kikristo nchini kuhusu uchaguzi mkuu, haina matatizo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Philip Marmo amesema.
Pia amesema Rais...
mimi naona jeikei haitaji kura za wafanyakazi..............
HAZINA MAANA SANA KWAKE,kwasababu wafanyakazi wenyewe ni wachache sana ukilinganisha na watanzania wengi wenye njaa zao......
sasa kwa...
Wananchi na wana jamii wenzagu
Kiu -halisia mshahara wa kima cha chini cha zaidi ya US dola 300 kwa wafanyakazi wa Tanzania hautekelezeki.
Haiwezekani na haiwezekani, mfanyakazi anayedai huo...
WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimebadili utaratibu wa kuwapata wagombea ubunge na udiwani kwa kuruhusu wanachama wao wote kupiga kura za maoni, uongozi wa chama hicho wilayani Sengerema, mkoani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.